Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Huo mtihani sitausahau KBS uliyeyusha ndoto zangu za kua mchumi mbobezi
Wajamaa walituamulia aisee....hatukuwa vilaza eti Ila history 1&2,Geog 2,Eco 1&2 niliandika mpaka nikanyang'anywa Pepa afu unakuja cdd aisee...bado nawalaumu necta maana hawakututebdea haki
 
Uchukie physics tangu njuka af upate C unafanya mchezo nn huenda una zali sn co bure
Wala practical nilifanya fresh..nakumbuka walisahau kutuwekea betri tukakaa kwenye chumba 4 hours hivi maana walishtuka tumeshaingia tayari.
 
Aisee nadhani hautosahau kamwe, inakuwa kama mwaka fulani ambapo matokeo ya form four yalitoka mara mbili ilikuwa patashika nguo kuchanika
Ndio huo mwaka..yalitoka yakafutwa yakarudiwa. Yakamwachisha kazi Ndalichako
 
Shule ya msingi: Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwenye sayansi ilinisumbua sana.
O-level: Ile kuchanganua sentensi kwa njia ya mataei ilinisumbua sana,Ila topic zote zilinisumbua kasoro kitabu cha Hawa the bus driver na Mabala the farmer.
Advance na mbeleni huko sikufanikiwa kufika kabisa.

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom