Walisamaki
Senior Member
- Nov 28, 2022
- 199
- 326
Phonology
Organic 2CYCLE
ORGANIC CHEMISTRY 😂😂😂😂😂😂😂😂
but look at me now 🙏 grateful 😍
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] Biology, Physics, Chemistry, ndio ilikuwa maji yangu, badae kuna Bro akanija upepo nideal na Math niwe Engineer kisa ina madili ile Telecom Eng enzi hizo.. nipo form 3 mwishoni nikaanza soma hesabu nika drop Biology but mbwa yule asinge nichanganya ningekuwa Doctor wa wanawake au wa mifumo ha fahamu[emoji28][emoji28][emoji28]
Aaaah bios nayo ni uoxo tu o level sawa ni sexy A level sasa loooh PCB wa watu walikuwa wanakomalia lile likitabu lao la green sijui university biology ila watu wanaxinguaga tu bios hapana kwa kweli form 2 nilipigaga c mkuuu form 4 practical ilinibeba sana 😹😹😅😅 Biology, Physics, Chemistry, ndio ilikuwa maji yangu, badae kuna Bro akanija upepo nideal na Math niwe Engineer kisa ina madili ile Telecom Eng enzi hizo.. nipo form 3 mwishoni nikaanza soma hesabu nika drop Biology but mbwa yule asinge nichanganya ningekuwa Doctor wa wanawake au wa mifumo ha fahamu😅😅😅
Banaaa weee hii JF , tunapiga ma story tu hapa..
Chochote kile kikubwa na mimi niwe mtu wa kupambania tuu mkuu....😂😂😂Unataka upambanie nini tena mkuu? 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wali komaa na projectiles km vichaa uwiiiiihLooh kweli tunatofautiana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliikimbia tu pale nilipoanza soma ile projectile motion
Mie phy n math sinaga bahati [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 hiki kichwa cha kusoma basi kusoma kipaji aisee 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hukusomaaa??
Jamaa alihamisha magori now ningekuwa doctor zamani sana..Aahahahahahahah Dr wa wamama na watoto... Ndoto za Poor Brain
Eeh acha tu mkuu😂😂Ahahahahahaah ukaona yamekushinda mambo yana wenyewe hayo..
Una GPA ya ngapi?...Sijawahi kuona ugumu wa Elimu labda tu mikiki mikiki ya vi lecture kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mbaya... Umeishi kwa ndoto zako...Jamaa alihamisha magori now ningekuwa doctor zamani sana..
Wee km mie tunawaza kujunjana na kuzagamuana, kusoma sio shida zetu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiki kichwa cha kusoma basi kusoma kipaji aisee [emoji28]
Aah may b mkuu ,Pole sana, tunatofautia ndoto na shauku ila wote akili zipo
Nilikuwa nafundisha tuition wanafunzi wenzangu somo la biology, hadi nikapata identical twin kuwa wapenzi wangu kwa wakati mmoja na wote wakawa wanajua ila hatukuwahi fanya matusiAaaah bios nayo ni uoxo tu o level sawa ni sexy A level sasa loooh PCB wa watu walikuwa wanakomalia lile likitabu lao la green sijui university biology ila watu wanaxinguaga tu bios hapana kwa kweli form 2 nilipigaga c mkuuu form 4 practical ilinibeba sana 😹😹
Ahahahahahah watu wanao jua haya madude class nilikua nawaona kama majini hivi😂😂😂Eeh acha tu mkuu😂😂
FactUna GPA ya ngapi?...
Je ulishawahi kuwa Tanzania One?
Sio unasema hujaona ugumu wa elimu halafu una ufaulu wa kawaida.. Maana ya ufaulu wa kawaida ni kwamba elimu kwako pia ilikuwa ngumu
Ahahahahahahahah ngoja ni kutag kwa ule uzi kule National AnthemNilikuwa nafundisha tuition wanafunzi wenzangu somo la biology, hadi nikapata identical twin kuwa wapenzi wangu kwa wakati mmoja na wote wakawa wanajua ila hatukuwahi fanya matusi
Aah may b mkuu ,