Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Logarithm ile ya fomr two..

Teacher alitoa paper ya midterm halafu maswali yote ni topic ya log.. Nikazungusha karai langu fresh tu ila roho iliniuma sana ..

Nilienda mchikichini kwa ajili ya ile topic tu..

sent using Simenzi mayai
Ukaona liwalo na liwe dharau za logarithm zilizidi😂😂😂😂😂.
GLU™
 
Wave Part 2 A level mamaee...nkasema liwaloo na liweee sikugusa hata defn.

O level Account walahi mpaka nikaona wanaosoma Biashara ni wachawiii mambo ya credit sijui debt duu nilisota nazo sikuelewa nilikuja kuelewa Chuo tena mwaka wa mwisho nkagundua tatizo sio soma tatizo aliekuwa ananifundisha nae alikuwa amekariri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ndiyo shida ya Waalimu wetu kuanzia primary hadi varsities, hakuna somo gumu kwa mwenye akili bali wapo waalimu wabovu.
 
Salaam wana jamvi, matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaendelea . Straight to the point,tukumbuke enzi za kitabu, kiukweli kuna topic ziliwahi nisumbua wakati nasoma moja wapo ilikuwa ni Electromagnetism na Co-ordinate II ,share na wewe topic ambazo zilikuwa pasua kichwa kwako
Mm form kwny mashairi sijawah ya soma na kwny mtihan sikujibu, advances propability ilikuwa ina zingua nika ignore, electromagnetism pia
 
Hii ndiyo shida ya Waalimu wetu kuanzia primary hadi varsities, hakuna somo gumu kwa mwenye akili bali wapo waalimu wabovu.
Mwalimu mwenyewe anakwambia feli usifeli mshahara wangu napata tu ,😒.
GLU™
 
O Level

1. ENGLISH, C
-Arrange 5 sentences in a proper order
-Summary
-Literature (St kayumba )

2. KISWAHILI, C
-Ushairi ( Necta walileta swali la 1 ushairi, na sehemu C swali la Lazima Ushairi )

3. GEOGRAPHY, C
-Physical geography (Shield volcano )
-Map (zile ramani sijui walikuwa wanatoa wapi)
-Picture (sijui ilikuwa Cotton sijui Pareto, kivuli hakiomekani )

4. HISTORY, C
-Section C, (nakumbuka nilikuwa natumia peni ya SPEEDO ili nijaze page tu)

A Level

1. PHYSICS, A
-Rotational
-Electromagnetism (Ila Necta walikaza Modern Physics ilibidi nifanye tu Electromagnetism )

2. CHEMISTRY, B
-Inorganic Chemistry
-Practical (Partition) Yangu haiku-separate ikanikosti A 😂

3. BIOLOGY, C
-Topics zote zilikuwa rahisi sema Necta sijui walikuwa wanasahihisha Vipi

-Practical (Partition)

3. BIOLOGY, C
-Topics zote zilikuwa rahisi sema Necta sijui walikuwa wanasahihisha Vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Certified comment ✅.
GLU™
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom