Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Mimi A level
1. Physics sikusoma mechanics yote,wave zote, current electricity, na ile ya molecules
Nilitoka na E necta
2.Chemistry organic chemistry yote sikusoma nimetoka na B necta
3. Mathematics differential, integration, probability sikusoma nimetoka na A necta hii ilikuwa 2022

O level sasa
1. History topic za form 3 zote sizijui nimepiga C necta
2. Civics sexy nimepiga B
3. Geography physical yote sikusoma nimechomoa B necta
4. Physics topic za form 3 nilikuwa weak sana nimechomoa C necta
5. Chemistry Nilikuwa nipo good nashaanga nimepiga C
6. Kiswahili ximamoto nikatusua B yangu safi
7. Mathematics mpenxi wangu A nilikuwa najua kila topic hivyo nilikua sure
8. English kama mathe tu
9.Biology nilikuwa nipo avg kwenye kila topic Nikapiga B yangu fresh

Hiii ilikuwa 2019
Hapa kwenye math umetupiga kamba parefu sana huwezi usisome probability paper 2 section A siku hizi marks 15 swali la lazima ,integration paper 1 marks 10 nalo swali la lazima hiyo differential ni optional ila nayo ni topic rahisi tu hafu upige A ya advanced math kijana hapa umejimwafai.
 
Kwanza hata wenyewe madogo.. hukuti wakisoma past paper za miaka hiyo ahahhahahah weeeh ile ilikua phy..au matatizo
Hiii physics ya 2013 hio pepa niliionaga kwenye review maswali mengi ni out of sylabus aiseee

Rotational dynamics ni kisanga sijui Cha wapi fluid dynamics kimbilio la wengi ndo usiseme khaa aseee 😠

Paper 3 nipumbu kabisa watu walibamizwa sana ule mwaka imagine T.o ana C ya 67 physics ndo topper tz nzima hahahaha
 
Kwanza hata wenyewe madogo.. hukuti wakisoma past paper za miaka hiyo ahahhahahah weeeh ile ilikua phy..au matatizo
Si unaona siku hizi wanavyonyuka one za 3 sio mchezo wakati miaka hiyo TO anaanzia 1.4 tena kuna mwaka TO alikuwa na 1.5
 
Hiii physics ya 2013 hio pepa niliionaga kwenye review maswali mengi ni out of sylabus aiseee

Rotational dynamics ni kisanga sijui Cha wapi fluid dynamics kimbilio la wengi ndo usiseme khaa aseee 😠

Paper 3 nipumbu kabisa watu walibamizwa sana ule mwaka imagine T.o ana C ya 67 physics ndo topper tz nzima hahahaha
Ahahahahahah rotation of rigid body.
Humu kuna jamaa anaitwa Baba Swalehe ni fundi sana wa haya mambo
 
Si unaona siku hizi wanavyonyuka one za 3 sio mchezo wakati miaka hiyo TO anaanzia 1.4 tena kuna mwaka TO alikuwa na 1.5
Kipindi kile ile mizigo sio poa ...
Maswali yalikua yanatungwa.? . au sijui walitoa kitabu gani khaaaa.
 
Hapa kwenye math umetupiga kamba parefu sana huwezi usisome probability paper 2 section A siku hizi marks 10 marks 15 swali la lazima ,integration paper 1 marks 10 nalo swali la lazima hiyo differential ni optional ila nayo ni topic rahisi tu hafu upige A ya advanced math kijana hapa umejimwafai.
Hahha am serious mkuu nilikuwa makini na paper 1 sana hivyo nguvu niliweka kwenye topic zingine mkuuu na niliuwa najihesabia kati ya topic 9 za maswali 9 paper 1 sikosi 75 and above nilikuwa accurate sana

Na paper 2 probablility nilikuwa nazimia moto sio kwamba siisomi kabisa hivyo swali la marks 15 sikosi 5 au less lakini maswali mengine nilikuwa deep sana necta wakaleta maziwa nikaya mwaga

Naposema sikusoma sisemei nilikuwa kapaaa kabisa no ila knowledge ilikuwa ndogo sababbu ya zima moto ila nilikuwa na kitu kidogo akilini
 
Ahahahahahah rotation of rigid body.
Humu kuna jamaa anaitwa Baba Swalehe ni fundi sana wa haya mambo
Hii subtopic ya mechanics Watu wanaiogopaga bure ila ni simple ukipata mwalimu mzuri akuvunjie.....kwanza ni kama Newtons tu sema yenyewe kwenye force unaweka torque yahn unageuza vimaneno....

Binafsi phy nimeibonda sana sema Necta ilinisaliti na huku kitaa inaniweka mjini kwa kupigisha mapind.....ila nikiri haijanilipa kabisa
 
Hahha am serious mkuu nilikuwa makini na paper 1 sana hivyo nguvu niliweka kwenye topic zingine mkuuu na niliuwa najihesabia kati ya topic 9 za maswali 9 paper 1 sikosi 75 and above nilikuwa accurate sana

Na paper 2 probablility nilikuwa nazimia moto sio kwamba siisomi kabisa hivyo swali la marks 15 sikosi 5 au less lakini maswali mengine nilikuwa deep sana necta wakaleta maziwa nikaya mwaga

Naposema sikusoma sisemei nilikuwa kapaaa kabisa no ila knowledge ilikuwa ndogo sababbu ya zima moto ila nilikuwa na kitu kidogo akilini
Basi advanced Mathematics imekuwa nyanya sana kwa kifupi Zaman huwezi ukapata Au hafu hizo topic usizijue labda probability enzi zetu ilikuwa section B hata mimi hii topic niliipga chini nikakomaa na trig, differential na cord 2
 
Hii subtopic ya mechanics Watu wanaiogopaga bure ila ni simple ukipata mwalimu mzuri akuvunjie.....kwanza ni kama Newtons tu sema yenyewe kwenye force unaweka torque yahn unageuza vimaneno....

Binafsi phy nimeibonda sana sema Necta ilinisaliti na huku kitaa inaniweka mjini kwa kupigisha mapind.....ila nikiri haijanilipa kabisa
Yaaah phy hata ikikusaliti necta wee uhakika unao mtaani...
Hapo kwenye rotation hapo wanaoteseka ni PCB mtu ana BAM alafu unamletea integration zile unazani atachomoa 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom