SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
Sema mlinyonyana sana midomo sio 😹😹 na kushikanashikana akili za o level hizo utoto utoto mwingiNilikuwa nafundisha tuition wanafunzi wenzangu somo la biology, hadi nikapata identical twin kuwa wapenzi wangu kwa wakati mmoja na wote wakawa wanajua ila hatukuwahi fanya matusi