Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Mimi A level
1. Physics sikusoma mechanics yote,wave zote, current electricity, na ile ya molecules
Nilitoka na E necta
2.Chemistry organic chemistry yote sikusoma nimetoka na B necta
3. Mathematics differential, integration, probability sikusoma nimetoka na A necta hii ilikuwa 2022

O level sasa
1. History topic za form 3 zote sizijui nimepiga C necta
2. Civics sexy nimepiga B
3. Geography physical yote sikusoma nimechomoa B necta
4. Physics topic za form 3 nilikuwa weak sana nimechomoa C necta
5. Chemistry Nilikuwa nipo good nashaanga nimepiga C
6. Kiswahili ximamoto nikatusua B yangu safi
7. Mathematics mpenxi wangu A nilikuwa najua kila topic hivyo nilikua sure
8. English kama mathe tu
9.Biology nilikuwa nipo avg kwenye kila topic Nikapiga B yangu fresh

Hiii ilikuwa 2019
Muwe mnaamikia watu hapa kabla ujapost.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna topic kama dimensional analysis,heat, elctronics, hizo ndo nilikuwa fresh hivyo zile za mechanics nilikuwa na jibu kutokana na zima moto yangu ilivyoakilini ndo maan nilipiga E mkuu
Good 👍👍.... Hiyo ni 2019 mkuu sio
 
Polynomial function kila swali likiletwa mi jibu langu ni all real numbers except four.Nilimsikia mwalimu wangu anasema .NECTA nusu saa nshamaliza natoka nje nasikia eti kulikua kuna swali la kutumia four figure na yote nimeyajibu bila four figure.Matokeo F.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom