mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Duh hayasijui hata napenda tu kuwa kawaida
Duh hayasijui hata napenda tu kuwa kawaida
Hebu sogea karibu niku hug maana kama kamkosi kamukupitia karibu vile... i have to comfort with big hug bibie unatumia juice gani nikuagizie...jamaa bna nikimuambia tukutane ndo tutoe maamuzi anadai yeye ni msabato jmosi yupo kanisani basi nikamuambia na jpili na mimi nipo kanisani kwa hyo tukaachana hivo .mission immposible.sipendi mtu mbinafsi mimi .anataka tufate ratiba yake tu haangalii wengine kila mtu abaki tu na mishe zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwahiyo sisi wengine ni madada hewa au ?? bora usingewataja ....ungesema madada wote wa humu jf ..ubaguzi huo..au kwa vile ni wakongwe wa humu may be
si unajua mm mkubwa nipo kwa wakubwa wenzangutatizo shunie kahamia kule haonekani ila yupo juu bora anitoe mimi amuweke shunie
kweli bora angenitoa mimi amuweke shunie
baunsa wangu mmList yangu mimi supermarket.
1. Shunie
2. Mamaafacebook II
3. Sakayo
4. Miss chagga
5. Geniverous
6. _aysher
7. Aishah2016
8. Ukhuty
9. Atug
10. jje's
mzee wa mita 200 mbishi wwYeah hiyo ndio malkia wa huko...Kwa vile list imejumuisha majukwaa yote
I think she deserves...
Makubwa haya tokea lini mm au sbbu ya yule chizi kutumia avatar yanguTehe tehe tehe si mwanaume huyo
huwa nawakubali sana madada wanaokuaga kwenye majukwaa magumu huko hakuna usister du ni positive minds tutetetetet
swissme
mweeehKulalaleki Roho yangu imeniuma sana kutokuwepo kwa Shunie
Nyang'au wewe.huwa nawakubali sana madada wanaokuaga kwenye majukwaa magumu huko hakuna usister du ni positive minds tu
nakupenda piaMi nakupenda tena sana tuu
Naomba amin Hisia zangu mamaa
[emoji8][emoji8]Daa miss chaga & shunie siwakuwaacha kabisa mkuu!