Top 10 of best female JF members

Top 10 of best female JF members

Habari zenu wakuu

Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread mbalimbali imenielimisha&kuburudisha&kuonya pia kunipa nguvu ya kutokata tamaa katika maisha

1.Heaven sent
2.Faiza Foxy
3.Nifah yanga
4.Heaven on earth
5.Geniveros
6.Sky eclat
7.Evelyn salt
8.Atoto
9.Afrodenzi.
10.Miss Natafuta

Nathamini pia michango mizuri sana ya wana jamii forum wote ambao kwa kiwango kikubwa sana yamenifanya niendelee kuwa na furaha katika maisha yangu

Marry X mass & Happy new year to All JF MEMBERS.
Inshallah. Mungu atufikishe salama
 
kwahiyo sisi wengine ni madada hewa au ?? bora usingewataja ....ungesema madada wote wa humu jf ..ubaguzi huo..au kwa vile ni wakongwe wa humu may be
 
Tatizo unathibitisha vipi kwamba wote uliotaja ni females!?
Pia kuna uwezekano mtu mmoja akashiriki mara nyingi zaidi multiple IDs.
Mfano Nif.... na M...N.... walinichanganya juzi kiasi naona ni mtu mmoja.
 
Umetumwa na nani........mbona sukari tamuu hayupo kwa list...
 
Back
Top Bottom