Hata wewe uki ikadiria unaijua, maana list yangu itakuwa ina endana ya kwako kidooogo.Shusha list yako ya madem/wanawake wa JF bora 2016.
mnaapeeendaaa Yale mambo ya pale kati patamu eeeh!!Bila kumtaja rafiki yangu Shunie itkuwa ni kuipelekea JF kukosa maana!.....ila nashukuru faizafoxy yupo tatu bora!
Bila ya Shunie hiyo list kidogo inawalakini..... Unless kama hutembeLei lile jukwaa pendwa.
mnaapeeendaaa Yale mambo ya pale kati patamu eeeh!!
Hata wewe kuto kuwepo imeniuma sanaacha unaaa...au kwa kua wizooo hayupoo?!!
nipo pale hujaniona...Hata wewe kuto kuwepo imeniuma sana
*Usimwambie babu lakin hii
Kweli mkuu, maana humu hatujuani, ni fake IDs and therefore, you can not tell precisely, for sure the sex of any member!
Nasubiri niwaoneShusha list yako ya madem/wanawake wa JF bora 2016.
Ikifika zamu ya JF Top 10 best maleHata wewe uki ikadiria unaijua, maana list yangu itakuwa ina endana ya kwako kodooogo.
Ni bora angesema Nifah The bold maana wewe ndiye zaidi ya vyote.Eti "Nifah yanga" hahahah
Mama unaona mpaka watu wamekupachika surname nyingine hahahaha!! Ntaanza kukupiga marufuku kwenda Jangwani..
Hapo kwa nifah yanga ungeandika nifah alikiba au nifah the bold.
Ni bora angesema Nifah The bold maana wewe ndiye zaidi ya vyote.
Ila nimecheka sana
Hapo kwa nifah yanga ungeandika nifah alikiba au nifah the bold.
Hapo umenipendelea bhanaList yangu mimi supermarket.
1. Shunie
2. Mamaafacebook II
3. Sakayo
4. Miss chagga
5. Geniverous