Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Umeamua kunimaliza kabisa, basi sawaHahah
We si ndio namba 1, wangu so lazima uwepo
Umeamua kunimaliza kabisa, basi sawaHahah
We si ndio namba 1, wangu so lazima uwepo
??Ulipotelea wapi mume wangu?
Kuna tofauti kubwa sana kati yangu mimi na Miss Natafuta.Tatizo unathibitisha vipi kwamba wote uliotaja ni females!?
Pia kuna uwezekano mtu mmoja akashiriki mara nyingi zaidi multiple IDs.
Mfano Nif.... na M...N.... walinichanganya juzi kiasi naona ni mtu mmoja.
Mummy sijasema wewe jamaniKuna tofauti kubwa sana kati yangu mimi na Miss Natafuta.
Tuliza akili, utaigundua.
Jitetee!!!!
daah mbona mapemahaaa aaa heri ha sikukuu na wewe mkuu
hata Leo si holiday mkuu ndio maana tuko nyumbanidaah mbona mapema
Kwenye hii list kuna madume watatu.Habari zenu wakuu
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread mbalimbali imenielimisha&kuburudisha&kuonya pia kunipa nguvu ya kutokata tamaa katika maisha
1.Heaven sent
2.Faiza Foxy
3.Nifah yanga
4.Heaven on earth
5.Geniveros
6.Sky eclat
7.Evelyn salt
8.Atoto
9.Afrodenzi.
10.Miss Natafuta
Nathamini pia michango mizuri sana ya wana jamii forum wote ambao kwa kiwango kikubwa sana yamenifanya niendelee kuwa na furaha katika maisha yangu
Marry X mass & Happy new year to All JF MEMBERS.
Sio list ya 'uwapendao' hiiBila kumtaja rafiki yangu Shunie itkuwa ni kuipelekea JF kukosa maana!.....ila nashukuru faizafoxy yupo tatu bora!
Binamu acha wivu basi
Yep! apo itakuwa sawa, sema alikuwa ana mean end of yr 25thhata Leo si holiday mkuu ndio maana tuko nyumbani
Kwenye hii list kuna madume watatu.