fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,033
Wanawake mmebarikiwa kuisoma mioyo ya vidume, but hii tuiache iendelee kama utani.najuaga utani aki tena si naona hapo umeongea kwa kumaanisha ndio mana nimeshtuka yaan wivu kabisa
Wanawake mmebarikiwa kuisoma mioyo ya vidume, but hii tuiache iendelee kama utani.najuaga utani aki tena si naona hapo umeongea kwa kumaanisha ndio mana nimeshtuka yaan wivu kabisa
Mmh nakuja pmWanawake mmebarikiwa kuisoma mioyo ya vidume, but hii tuiache iendelee kama utani.
Karibu bebi.Mmh nakuja pm
Hongera sana aise na wewe umeingia top 10. Big up sana kila la kheri mwaka 2017 uendelee kutuwakilisha vyema hapa JFGlory be to God. Shukrani sana mpendwa.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]List yangu mimi supermarket.
1. Shunie
2. Mamaafacebook II
3. Sakayo
4. Miss chagga
5. Geniverous
6. _aysher
7. Aishah2016
8. Ukhuty
9. Atug
10. jje's
Amen. Mungu azidi kutupa hekima na maarifaHongera sana aise na wewe umeingia top 10. Big up sana kila la kheri mwaka 2017 uendelee kutuwakilisha vyema hapa JF
Ongeza10 yangu hapo mkipata mnistueBasi tuungane kutafuta 20
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kanazunguka na ana account feki sita kidogo za kuchambia
Kweli Magu kabana...leo hii unakunywa maji badala ya beer ama kitochi?Nipo huku nakunywa maji
Acha kumtaja mshana jr uone kama sikukuu utaila sehemu salama zaidi ya Makaburini.Ikifika zamu ya JF Top 10 best male
1. Iceman 3D
2. Hance mtanashati
3. Peninsula
4. Gbefa
5. Zamiluni zamiluni
6. Bonny
7. Daby
8. STUNTER
9. Ushimen
10. QUIGLEY
Sio Mzee ni Nyanya wa watu.Huyu siyo binti huyu ni mzee..
mkuu ukishajua thread hii inahusu nn basi majibu umeshapata
Huyo Ndio bibi kenzo?
Mbona rangi ya miguuni na rangi ya usoni havifanani?Huyo Ndio bibi kenzo?
Hongera Nifah manake naona members wengi wamekukubali umekua approval. Hii ni ishara kwamba una mahusiano mazuri na marafiki hapa JF. Kila la kheri katika maisha yako siku zijazo InshaAllah.
Nipo my dear,asante kwa kila kitu.Nifah yupo eeh at least umejitahid kuwa orodhesha[emoji122][emoji122]