Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,467
- 3,381
Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata
Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji
Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe
Kwamba ukiwa na 20,000 hupati kilo 7 za Mchele, wakati wazalishaji ni sisi?
Hiyo ni mifano michache tuu kati ya vitu vingi visivyonunulika Kwa Tsh 10,000 Kwa sasa, wakati vitu hivyo, miaka miwili iliyopita vilikuwa vikinunulika Kwa Tsh 3000 hadi 4000
Ni zaidi ya kuishi kwenye nchi yenye vita na ukaona maisha ni rahisi kulikoni kuwa hapa tulipo!
Jambo la kula sasa linaonekana ni kama kitu cha anasa vile, kula inahangaisha wenye ndevu zao na wengine kukimbia family zao
Atakayeichagua CCM 2025, amelogwa wallah nawaambia!
2025, Ole wa familia yangu aende tu hata kwenye kampeni za Mdugu ccm! Namvunja miguu