Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,467
- 3,381
- Thread starter
- #21
Mafisadi ndo zao!Sema kwako tangu utawala mpya uanze watu wameanza kujenga nyumba kwa kasi sana aisee
Mafisadi ndo zao!Sema kwako tangu utawala mpya uanze watu wameanza kujenga nyumba kwa kasi sana aisee
Mkuu, nafahamu wewe ni CCM damu, embu sema ukweli wako, suala la ugumu wa maisha likoje?Tuhamie somalia au
USSR
Tanzania hatutaki kuongizwa na dicteta tuu, Bali twahitaji tuongozwe na Gaidi haswaa!Kwatulipofika kurudi kwenye mstari wa Utaifa na Uzalendo ni ngumu sana. Ubinafsi umeota mizizi.
Nchi hii viongozi wote ni waongo, na siku zote mwizi lazima awe muongoKinachokera zaidi ni serikali kusema mfumuko wa bei ni kwa asilimia 4 tu.
Mafuta ya kupikia niliyokuwa nanunua kwa sh 22,000 sasa ni sh 40,000, hapa naliona ongezeko la asilimia 82, sasa wenzetu wanafanyaje fanyaje kupata hiyo 4%?
Pengine kwa hesabu hizo ndo maana hawaoni kama tatizo ni zaidi ya ukubwa
Hakuna unafuu wowoteSisi hatujafikia hata robo ya maisha magumu ya somalia, fikiria watu Wana karibu mwaka wa 3 sasa mvua hainyeshi, bado vita ni Kila kukicha hawana muda wa kuzalisha, sisi tuna afadhali japo sio salama sana
Nyie si ndo mnakuta chakula kipo tayari tu na hujui kilikotoka, embu achana na maisha ya kiyoyozi uingie madukani ujue bei zilizoko sokoniSisi hatujafikia hata robo ya maisha magumu ya somalia, fikiria watu Wana karibu mwaka wa 3 sasa mvua hainyeshi, bado vita ni Kila kukicha hawana muda wa kuzalisha, sisi tuna afadhali japo sio salama sana
Unajua kusoma ukaelewa?Sijaona ulinganifu wa hiyo elfu 20 au 10 na bidhaa unazoweka kununua Somalia ili sasa tuone ni bota kuishi Somalia.
Ni mpumbavu na mjinga pekee ndio anayaweza kulinganisha thamani ya mchele na vita!! Wakati unawaza kula leo, wenzio Somalia wanakula lakini wanawaza hata wakila leo - nini maana ya wao kuishi!
Huifahamu Somalia, unaisikia tu. Acha kufanya ulinganifu wa vitu usivojua vizuri. Kuna wengine zamani walilinganisha pesa na elimu, hasa wakati ule wa debates za shule za sekondari miaka ya 1980-90. Leo wanajaribu kuiomba samahani pesa kwa kuwa walisema elimu ni bora!!
Huko ndio maelekezo ya serikali yalielekeza.Burundi
Tunapambana ila badoKalime uuze Bei rahisi...si mnadai mjini akili nguvu shamba!!..na bado,mpunga gunia kwa Sasa ni laki na tano elfu,kufika oktoba 130..ni wakati wa wakulima kujenga,kuendesha vogue