Vita Kati ya Israel na Hamas ni matokeo ya makosa ya Umoja wa mataifa, Israel, Palestine na warabu

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885
Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia .

Vita Kati ya Israel na hamas (Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za kwa nini akili inatakiwa itumike kumaliza vita hii.

1. Umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati wanatengeneza taifa la Israel baada ya kuwa Wana isael kuwa uhamishoni kwa miongo mingi .katika kikao kile walitambua uwepo wa taifa la Israel lakini wasitambue uwepo wataifa la Palestina .kama wangefanya hivyo na kwa kuangalia historia ya mipaka ya nchi hizi mbili kabla ya na baada ya masihi Yesu christo (Issa bin Mariam ) ugomvi wa sasa usingekuwepo .

2.Warabu wanazingua sana .tena sana .Haiji akilini Leo waislamu wanasema eti Mji mtakatifu Jerusalem eti ni Mji wao eti ni Mji mtakatifu wa kislamu.jamani ukiangalia ramani ya kipindi ya Yesu na huduma zake ,utangundua kuwa kulikuwepo nchi mbili Yani Israel (Uyahudi ) na Palestine (Gaza) .Jerusalem ulikuwa ni Mji mtakatifu tena Mji mkuu wa Isael kipindi cha Yesu .sasa waislamu ( warabu ) mnawezaje kusema eti Jerusalem ni Mji wa kislamu ( palestine ,Arab) wakati Iko wazi kabisa kwamba Jerusalem ni Mji mtakatifu wa taifa la Israel kabla na baada ya Yesu ? Tumieni akili basi

3.Israel inapokataa mpango wa umoja wa mataifa kutambua nchi mbili Yani Israel na Palestina hapa inazingua.kinachotakiwa ni kwamba western bank ivunjwe isiwe Palestina Bali iwe makazi ya Israel ,halafu Gaza iongezewe ukubwa na kuwa taifa la Palestina (soma Ramani ya maisha na huduma ya Yesu).

Bila Israel kukubari mpango wa amani wa kutambua nchi mbili,bila ya warabu (waislam na Hamas,na Palestina ya sasa) kuajana na Imani potofu kuwa Jerusalem ni Mji wa Palestina mara ni Mji mtakatifu wa kislamu (warabu) ,vita hii itapiganwa mpaka Mwenye kuumba na kutumia akili Yesu kristo ( Issa bin Mariam) atakapokuja kuamua ugomvi katika vita ya Halmagedoni
 
Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia .

Vita Kati ya Israel na hamas ( Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za kwa nini akili inatakiwa itumike kumaliza vita hii.

1.umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati wanatengeneza taifa la Israel baada ya kuwa Wana isael kuwa uhamishoni kwa miongo mingi .katika kikao kile walitambua uwepo wa taifa la Israel lakini wasitambue uwepo wataifa la Palestina .kama wangefanya hivyo na kwa kuangalia historia ya mipaka ya nchi hizi mbili kabla ya na baada ya masihi Yesu christo ( Issa bin Mariam ) ugomvi wa sasa usingekuwepo .

2.Warabu wanazingua sana .tena sana .Haiji akilini Leo waislamu wanasema eti Mji mtakatifu Jerusalem eti ni Mji wao eti ni Mji mtakatifu wa kislamu.jamani ukiangalia ramani ya kipindi ya Yesu na huduma zake ,utangundua kuwa kulikuwepo nchi mbili Yani Israel ( uyahudi ) na Palestine ( Gaza ) .Jerusalem ulikuwa ni Mji mtakatifu tena Mji mkuu wa Isael kipindi cha Yesu .sasa waislamu ( warabu ) mnawezaje kusema eti Jerusalem ni Mji wa kislamu ( palestine ,Arab) wakati Iko wazi kabisa kwamba Jerusalem ni Mji mtakatifu wa taifa la Israel kabla na baada ya Yesu ? Tumieni akili basi

3.Israel inapokataa mpango wa umoja wa mataifa kutambua nchi mbili Yani Israel na Palestina hapa inazingua.kinachotakiwa ni kwamba western bank ivunjwe isiwe Palestina Bali iwe makazi ya Israel ,halafu Gaza iongezewe ukubwa na kuwa taifa la Palestina ( soma Ramani ya maisha na huduma ya Yesu ) .

Bila Israel kukubari mpango wa amani wa kutambua nchi mbili,bila ya warabu ( waislam na Hamas,na Palestina ya sasa) kuajana na Imani potofu kuwa Jerusalem ni Mji wa Palestina mara ni Mji mtakatifu wa kislamu ( warabu) ,vita hii itapiganwa mpaka Mwenye kuumba na kutumia akili Yesu kristo ( Issa bin Mariam ) atakapokuja kuamua ugomvi katika vita ya Halmagedoni
Tatizo ni double standard za US and UN security council, sio mtu mgine, kuna haja UN kufumliwa na kuundwa umpya.
 
Hii hapa ni ramani ya waarabu walipokuwa mwaka 504.
Angalia ramani ya chini uone waarabu waliposasa ila bado tunaaminishwa kuwa wayahudi ni wezi ardhi sio waarabu na Dunia imeamini kabisa.
 
Attachments

  • received_737633991755939.jpeg
    received_737633991755939.jpeg
    62.3 KB · Views: 8
Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia .

Vita Kati ya Israel na hamas ( Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za kwa nini akili inatakiwa itumike kumaliza vita hii.

1.umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati wanatengeneza taifa la Israel baada ya kuwa Wana isael kuwa uhamishoni kwa miongo mingi .katika kikao kile walitambua uwepo wa taifa la Israel lakini wasitambue uwepo wataifa la Palestina .kama wangefanya hivyo na kwa kuangalia historia ya mipaka ya nchi hizi mbili kabla ya na baada ya masihi Yesu christo ( Issa bin Mariam ) ugomvi wa sasa usingekuwepo .

2.Warabu wanazingua sana .tena sana .Haiji akilini Leo waislamu wanasema eti Mji mtakatifu Jerusalem eti ni Mji wao eti ni Mji mtakatifu wa kislamu.jamani ukiangalia ramani ya kipindi ya Yesu na huduma zake ,utangundua kuwa kulikuwepo nchi mbili Yani Israel ( uyahudi ) na Palestine ( Gaza ) .Jerusalem ulikuwa ni Mji mtakatifu tena Mji mkuu wa Isael kipindi cha Yesu .sasa waislamu ( warabu ) mnawezaje kusema eti Jerusalem ni Mji wa kislamu ( palestine ,Arab) wakati Iko wazi kabisa kwamba Jerusalem ni Mji mtakatifu wa taifa la Israel kabla na baada ya Yesu ? Tumieni akili basi

3.Israel inapokataa mpango wa umoja wa mataifa kutambua nchi mbili Yani Israel na Palestina hapa inazingua.kinachotakiwa ni kwamba western bank ivunjwe isiwe Palestina Bali iwe makazi ya Israel ,halafu Gaza iongezewe ukubwa na kuwa taifa la Palestina ( soma Ramani ya maisha na huduma ya Yesu ) .

Bila Israel kukubari mpango wa amani wa kutambua nchi mbili,bila ya warabu ( waislam na Hamas,na Palestina ya sasa) kuajana na Imani potofu kuwa Jerusalem ni Mji wa Palestina mara ni Mji mtakatifu wa kislamu ( warabu) ,vita hii itapiganwa mpaka Mwenye kuumba na kutumia akili Yesu kristo ( Issa bin Mariam ) atakapokuja kuamua ugomvi katika vita ya Halmagedoni

Mkuu Zalemeda:

Mkuu hoja zako hazizungumzi katika Ukweli wa Kihistoria.....

1.umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati wanatengeneza taifa la Israel baada ya kuwa Wana isael kuwa uhamishoni kwa miongo mingi .katika kikao kile walitambua uwepo wa taifa la Israel lakini wasitambue uwepo wataifa la Palestina .kama wangefanya hivyo na kwa kuangalia historia ya mipaka ya nchi hizi mbili kabla ya na baada ya masihi Yesu christo ( Issa bin Mariam ) ugomvi wa sasa usingekuwepo .

Facts: UN Iliigawa eneo hilo kwa kitu kinachotambulika United Resolution 181 , kutengeneza: a) Jewish State. b) Arab State na c) Jerusalem District.
1705194601023.png

Hivyo sio kweli Waarabu hawakupewa land!
 
View attachment 2871065
Hivyo sio kweli Waarabu hawakupewa land!

Hivyo Mkuu Zalemda, mgaoo ulikuwepo na Israel ikaukubali, lakini Waarabu wakaukataa. Israeli katika kile kipande ilichogawiwa ikiajitengezea uhuru wake May 1948! Hivyo Israel iko hapo kihalali kabisa na wala United Nations haijawahi kutengeua uamuzi wake!

Waarabu walipoukataa mpango huo wakaamua kupigana vita 1948! Baadhi ya Waarabu waliokuwa mahali hapo (ambao baadaye walikuja kujulikana kama Wapelestina) Waliamua kuondoka kwa mategemeo Israel itashinda vita! Kwa sababu mataifa matano kwa pamoja yaani ( Egypt ikiwa na majeshi ya Saudia, Lebanon, Syria, Iraq) Waliamua kuivamia Israel, ili kuiondoa katika mipaka iliyopewa na UN, la kusikitisha Waarabu walishindwa vita hivyo, na Waarabu wengi waliokuwepo kukimbia, na baadhi kuondolewa na Israel! Waarabu wanaita Nakba! Waarabu waliondoka/na kuondolewa kwa kushindwa vita walivyo vianzisha wenyewe!
 
Back
Top Bottom