Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Unamjua ROHO anayezungumziwa na waislamu ? Huyu hapa ?

16. Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki.
17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.
18. (Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mchamngu.
19. (Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika.
20. Akasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba?
21. (Malaika) akasema: Ndio hivyo hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa.
22. Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali.
23. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
24. Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!
25. Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.
26. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu.
27. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
28. Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.
29. Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi. (Mariam : 16-29)

Huyo ndio ROHO na huo ndio uzao wa YESU.
sadakta ustadh zurri
 
Achana na maria we mwenyewe jini kichwan mwako likikosa damu na kuzingua unatafutiwa shekhe akuombee sasa kwann usijiombee mwenyewe kwann unamuogopa maria sana au kisa amemzaa yesu kwa uwezo wa roho mtakatifu au nyie bila lugha ya kiarabu mgekua kimya sasa ivi nashangaaga eti unasoma kitabu chenu chenye lugha ya kiarabu chote na unatupa tafsiri alafu kiarabu ujui hapo ndo naposhindwa kuwaelewa kuwa mmekariri au nini au mnaongozwa na vijini kidg

Hivi umeacha kwenda kuungama makosa yako kwa Padri wako ??
 
Hivi umeacha kwenda kuungama makosa yako kwa Padri wako ??

Umeona sasa kumbe ujui chochote ndo mana tatizo ndugu yng ujapata nafasi ya kwenda kumrushia shetani jiwe kule makka ndo mana aupo sawa unataka kujua pale mbele ya padri kinaongeleka nini mkuu shekhe ubwabwa
 
sadakta ustadh zurri
Basi mtume (mudi) akafanya hofu akarejea kwa mkewe, akamwadithia na palepale homa kubwa kabisa ikampanda, akataka afunikwe na maguo mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema: «Najihofia nafsi yangu kuchezewa na mashetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga! embu tuanzie apo mashetani yalimfanya nn mudi

MUHAMMAD APEWA UTUME NA MKEWE ILI KUMFARIJI!

Pale pale bibi Khadija akamdakiza, akamwambia, "Wacha hayo siyo yatakayokuwa hayo, wewe huwezi kuchezewa na mashetani, shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako, wewe unatazama vema Jamaa zako, unawadhihirisha watu sifa nzuri, ambazo hukuwa mwenye nazo, unachukua mizigo ya watu wasiokuwa wako, unafanya hivi, unafanyi hivi, furahi ndugu yangu, pumua moyo wako, Wallahi mimi mkeo naona umekwisha kuwa mtume."
 
Hivi umeacha kwenda kuungama makosa yako kwa Padri wako ??
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389)
 
sikujua una akili ndogo kihivyo hadi mfano mdogo huutambui! labda nikupe mfano mwepesi [emoji117] NJOO ule pilau ni MWITO [emoji106]UKIITIKIA MWITO UTAKULA KIPUNGA NA KURUDI UMESHIBA [emoji123][emoji106] UKIKAIDI UTAKULA JEURI YAKO NA NJAA ITAKUUA [emoji44][emoji12]
Mjinga pekee ndio atachagua dunia na sio akhera. Na kanisa limewaona wajinga na kuwapigia kengele kama wanyama na nyie mnakwenda. Na kwa maneno yako mwenyewe umesema kuwa wewe ni mjinga! sasa eti Mjinga akuite ukale pilau 😀 😀 😀
 
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389)
Ewe mfuasi wa Mwanaharamu ambae hatouona ufalme wa mungu!

Nini maana ya Hadithi? Na ile hadithi uloileta ukasema kwa mujibu wa akaunti fulani, twambie akaunti?
 
Hawa wanakokotana vipofu hivyo WOOTE shimoni [emoji23][emoji23] mfano mwepesi unashindwa kuelewa Kumbe shida iko hapa [emoji121][emoji116]
IMG_20190716_162249_920.jpeg
IMG_20190706_205749_949.jpeg
 
Hawa wanakokotana vipofu hivyo WOOTE shimoni [emoji23][emoji23] mfano mwepesi unashindwa kuelewa Kumbe shida iko hapa [emoji121][emoji116]View attachment 1155032View attachment 1155034
Kanisani kila ukenda wanakuzidisha ujinga. Unaleta aya unaikata nusu unaogopa kuiweka yote, unayoweka yote inathibitisha ujinga wako wa kutoelewa jambo. Sishangai, na ndio maana mkawa rahisi kuamini maneno ya wazinifu, wauhini na wauaji 😀 😀 😀 😀 😀
 
Ewe mfuasi wa Mwanaharamu ambae hatouona ufalme wa mungu!

Nini maana ya Hadithi? Na ile hadithi uloileta ukasema kwa mujibu wa akaunti fulani, twambie akaunti?

Embu thibitisha kwamba hadith hiyo ni uongo, alafu mungu wa herufi ndogo simuitaji
 
Kanisani kila ukenda wanakuzidisha ujinga. Unaleta aya unaikata nusu unaogopa kuiweka yote, unayoweka yote inathibitisha ujinga wako wa kutoelewa jambo. Sishangai, na ndio maana mkawa rahisi kuamini maneno ya wazinifu, wauhini na wauaji 😀 😀 😀 😀 😀

Maudhui nishapata sina haja ya kupoteza wakti! Sasa wewe wa kukariri Sema kama Baba Fatuma Alijua KUSOMA au kuandika NI [emoji117] al nabi ul ummi [emoji23][emoji23]
 
Ewe mfuasi wa Mwanaharamu ambae hatouona ufalme wa mungu!

Nini maana ya Hadithi? Na ile hadithi uloileta ukasema kwa mujibu wa akaunti fulani, twambie akaunti?
Kumbe wee ni kafir unampuuza hata mungu wako aliye kuagiza haya [emoji116]
IMG_20190704_151754_530.jpeg
 
Umeona sasa kumbe ujui chochote ndo mana tatizo ndugu yng ujapata nafasi ya kwenda kumrushia shetani jiwe kule makka ndo mana aupo sawa unataka kujua pale mbele ya padri kinaongeleka nini mkuu shekhe ubwabwa

si unaungama makosa yako kwa padri shoga ??
 
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389)
😛 😛 😛 😛 😛 😛

Hivi unafikiri ndio unamnusuru huyo kiumbe unayemwabudu ??

Jesus is insane—and we are not the only ones who think so.

Even his family thought Jesus was nuttier than a fudge sundae. Mark 3:21 says ‘When his family heard about this, they went to take charge of him, for they said, He is out of his mind.’”

Do we really want to entrust our souls to a man who had a disciple who ran around with nothing but a towel on?” (John 21:7)
 
Kwa hiyo hata mungu wako aliye sema Mimi MSOMI na wewe Hujui KUSOMA na raqaa yako NI uongo na uzushi NI muongo?[emoji44]View attachment 1154154View attachment 1154156View attachment 1154157

Lineage of God ?

The Consequence of Attributing Lineages to a Man who had No Lineage

The uniqueness of Jesus (Peace be upon him) as the Muslims see it is his miraculous birth, being born of the Virgin Mary. This was a greater miracle than arising out of Royal descent. But Mathew and Luke for some reason couldn’t just see it that way, they were hell bent on fulfilling Old Testament prophecies, so what did they do; they manufactured one for him. The story begins at the annunciation.
Luke 1:34-35
Then said Mary to the angel,”How shall this be, since I don’t know any men?”
And the angel said,”The Holy Spirit shall come on you,and the potency of the Highest shall cover you…”
Jesus’s followers claimed that he was GOD’s illegitimate son, conceived out of wedlock and without a biological father. But, regardless, they say Jesus’s mother’s husband, Joseph, adopted him, so he had a real father after that.

BLUNDER: GUESS WHO ENTERS INTO THE DIVINE LINEAGE OF JESUS

The book of Genesis records in chapter 38 a story in which Judas (the father of the Jewish race) commits incest. He is tricked into sleeping with a harlot; who turns out to be his daughter-in-law. And word went around that she had a child by whoredom. Tamar, the prostitute was to give birth to twins whom would be named Pharez and Zarah. This clear act of illegitimacy and incest conception was in blatant violation of the Law. So when we read at Mathew 1:3
And Judas begat Phares and Zara of Thamar; and Phares begat Esrom; and Esrom begat Aram;
A prostitute and the product of incest becomes honoured in the lineage of Jesus. Despite the many injunctions in Bible ostracising sinners from the house of God for generations.
A bastard shall not enter into the congregation of the LORD; even to his tenth generation shall he not enter into the congregation of the LORD.
Deuteronomy 23:2
So According to this Jesus A.s came from Illegal relationship, ..Nauzbillah!

How can they do like this,with the person they claim they love most !
 
😛 😛 😛 😛 😛 😛

Hivi unafikiri ndio unamnusuru huyo kiumbe unayemwabudu ??

Jesus is insane—and we are not the only ones who think so.

Even his family thought Jesus was nuttier than a fudge sundae. Mark 3:21 says ‘When his family heard about this, they went to take charge of him, for they said, He is out of his mind.’”

nakuwekea kwa kiswahili usome kwa makini the whole story ache kukamata vi mstari hata huelewe nini kilitokea

Mark 3
20 Mkutano wakakusanyika tena, hata wao wenyewe wasiweze hata kula mkate.
21 Jamaa zake walipopata habari wakatoka kwenda kumkamata; maana walisema, Amerukwa na akili.
22 Nao waandishi walioshuka kutoka Yerusalemu wakasema, Ana Beelzebuli, na, Kwa mkuu wa pepo huwatoa pepo.
23 Akawaita, akawaambia kwa mifano, Awezaje Shetani kumtoa Shetani?
24 Na ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, ufalme huo hauwezi kusimama;
25 na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
26 Na kama Shetani ameondoka juu ya nafsi yake, akafitinika, hawezi kusimama, bali huwa na kikomo.
27 Hawezi mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu, na kuviteka vitu vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu; ndipo atakapoiteka nyumba yake.
28 Amin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote;
29 bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele,

Do we really want to entrust our souls to a man who had a disciple who ran around with nothing but a towel on?” (John 21:7)
soma kwa makini maana unadangwanywa kwenye mihazara unaleta kichwa kichwa story za kwenye kahawa

John 21
4 Hata asubuhi kulipokucha, Yesu alisimama ufuoni; walakini wanafunzi hawakujua ya kuwa ni Yesu.
5 Basi Yesu akawaambia, Wanangu, mna kitoweo? Wakamjibu, La.
6 Akawaambia, Litupeni jarife upande wa kuume wa chombo, nanyi mtapata. Basi wakatupa; wala sasa hawakuweza kulivuta tena kwa sababu ya wingi wa samaki.
7 Basi yule mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda akamwambia Petro, Ndiye Bwana. Naye Simoni Petro, aliposikia ya kwamba ni Bwana, akajifunga vazi lake, (maana alikuwa uchi), akajitupa baharini.
8 Na hao wanafunzi wengine wakaja katika mashua; maana hawakuwa mbali na nchi kavu; ila yapata dhiraa mia mbili; huku wakilikokota lile jarife lenye samaki.
 
Back
Top Bottom