Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Kwa hiyo umefikia kiwango cha wazimu kuedit qauli ya haqi ya muhammad, na kujiona ww ni mjuzi zaidi yake! Ndivyo??
muhammad anasema aliye kuwa akimpa wahyi ni ADUI YAKE JIBRIL ww unasema sivyo aliyekuwa akikupa wahyi ni JIBRIL![emoji15][emoji12]
Soma tena ayat!
[emoji116][emoji116]

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Mbona hii aya hata mtoto mdogo ana elewa wewe , siku ya kwanza Mohamad anatokewa na jibril mapangoni ndio uadui ulikuja , Mohamad kama binadamu alikuwa na hofu lazima na maisha yake, hivyo kitu kinacho taka kumdhuru lazima akijengee uadui, ila baadae wakawa marafiki baada ya kujua kuwa yule ni Jibril , ndio maana ya hiyo aya “ALIYE KUWA “” tafsiri yake hapo inaposoma hiyo AYA sio adui tena ni jambo la nyuma, kama hauna maswali pumzika
 
Hili govi la ukafiri limeota kuvu akili mwako, limekufanya kuwa ni sikio la kufa halisikii dawa.

Hivi huwezi kufikiri hata kidogo ikiwa huo moto au chaka lako ndio Mungu , Huyo Mtume Mussa hakujua hata amwombe Mungu amwone ????

Yaani ombi la Mussa ni la nini ???

Alipoufikia moto akasikia sauti inamwita , aya haisema moto ukamuita

Ukisikia sauti ya mgen kwenye redio hiyo haina maana mgen ndiye radio

Mungu ni tofauti na chochote ambacho akili ya mwanadamu inaweza kufikiria au kufikiria, kwa hiyo akili itachanganyikiwa ikiwa inajaribu kumpiga picha Mungu.

Hata hivyo, inawezekana kuelewa sifa za Mungu ambazo hazihitaji mtu atengeneze picha zozote za akilini Zake.

Kwa mfano, moja ya majina ya Mungu ni al-Ghaffar, ambayo ina maana kwamba Anasamehe dhambi zote.

Kila mtu anaweza kuelewa hili kwa urahisi kwa sababu hivyo ndivyo akili ya mwanadamu inavyoweza kumfikiria Mungu.

Mafundisho ya Kiyahudi na ya Kikristo juu ya Mungu yanatatanisha kwa sababu ya uelewa usio sahihi wa suala hili.

Torati ya Kiyahudi inafundisha kwamba Mungu ni kama mwanadamu.

“Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; Mungu akamfanya mtu kwa mfano wake.” (Mwanzo 1:26-27)

Zaidi ya hayo, makanisa fulani yana sanamu au sanamu za mzee mwenye ndevu nyeupe zinazoonyesha Mungu.

Baadhi ya hizi zilitolewa na watu kama Michelangelo ambaye alionyesha Uso na Mkono wa mungu - mzee mgumu - katika picha za kuchora.

Kutoa picha za Mungu katika Uislamu ni jambo lisilowezekana, na ni sawa na ukafiri, kwa vile Mungu anatuambia katika Quran kwamba hakuna chochote kinachofanana Naye:

“Hakuna chochote kinachofanana Naye, ila Yeye ni Mwenye kusikia Mwenye kuona.” (42:11)

“Hakuna chochote kinacholingana Naye.” (Quran 112:4)

Ombi la Musa Kumwona Mungu

Macho hayawezi kubeba maono ya Mungu. Anatuambia katika Quran:

“Uoni hauwezi kumshika, lakini Mshiko Wake uko juu ya kila uoni.” (Quran 6:103)

Musa, ambaye Mungu alizungumza naye na kumpa miujiza mikubwa, alichaguliwa na Mungu kuwa Nabii wake.

Inasemekana kwamba alifikiri kwamba, kwa kuwa Mungu alikuwa akizungumza naye, huenda angeweza kumwona Mungu kihalisi.

Hadithi hiyo iko kwenye Quran, ambapo Mwenyezi Mungu anatueleza kilichotokea:

Na alipo kuja Musa kwenye miadi yetu, na Mola wake Mlezi akamsemeza, alisema: Mola wangu Mlezi! Nionyeshe nikutazame. Mwenyezi Mungu akasema: Hutoniona. Lakini utazame huo mlima. Ukibaki pahala pake basi utaniona. Basi alipo jionyesha Mola Mlezi wake kwa mlima, aliufanya uvurugike, na Musa akaanguka chini amezimia. Alipo zindukana alisema: Subhanaka, Umetakasika! Natubu kwako, na mimi ni wa kwanza wa Waumini.

” (Quran 7:143)

Mungu aliweka wazi kwamba hakuna mtu yeyote, anayeweza kustahimili maono ya Mungu, kwa maana Mungu ni mkuu mno kuweza kushikwa na macho ya wanadamu katika maisha haya.

Kwa mujibu wa Quran, Musa alitambua ombi lake lilikuwa na makosa; kwa hivyo, aliomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa kuomba.
Hii khutba Peleka huko msikitini kwenye watu Kama ww ukazawadiwe takbirr!
Jibu ni Hili umeandika mnyewe Kwa mfano!
[emoji116][emoji116]
[Ukisikia sauti ya mgen kwenye redio hiyo haina maana mgen ndiye radio]

Umepatia Hakika [emoji117]allah ni shehetan kamili kajidhihirisha ktk umbile la moto[emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
haya abudu moto kama mungu , wenzako maparisi ndivyo wanavyofanya kuabudu moto , hivyo ndivyo govi la ukafiri liliomo kichwani mwako linavyokuongoza 😛 😛 😛
 
Mbona hii aya hata mtoto mdogo ana elewa wewe , siku ya kwanza Mohamad anatokewa na jibril mapangoni ndio uadui ulikuja , Mohamad kama binadamu alikuwa na hofu lazima na maisha yake, hivyo kitu kinacho taka kumdhuru lazima akijengee uadui, ila baadae wakawa marafiki baada ya kujua kuwa yule ni Jibril , ndio maana ya hiyo aya “ALIYE KUWA “” tafsiri yake hapo inaposoma hiyo AYA sio adui tena ni jambo la nyuma, kama hauna maswali pumzika
Aya nakuwekea hapa sasa pigia mstari kwenye hiyo aya Hicho ulicho andika.. [emoji15][emoji12]
[emoji116][emoji116]

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Hii khutba Peleka huko msikitini kwenye watu Kama ww ukazawadiwe takbirr!
Jibu ni Hili umeandika mnyewe Kwa mfano!
[emoji116][emoji116]
[Ukisikia sauti ya mgen kwenye redio hiyo haina maana mgen ndiye radio]

Umepatia Hakika [emoji117]allah ni shehetan kamili kajidhihirisha ktk umbile la moto[emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Did GOD ever appear in a human form to anyone?

When GOD Almighty spoke to Prophets like Moses, Abraham and others, which are documented in the Bibles and the Glorious Quran, did He appear in an actual human form?

Quite honestly, it doesn't really matter.

GOD Almighty can appear as a dog, cat, cow or a rock if He wanted to.

So it is not about the impossibility of GOD doing it, but rather would GOD Almighty do it?

For example, is GOD Almighty right now appearing to someone or some other creation, like animals or insects and talking directly with them?

Surely, nothing is impossible for GOD Almighty.

But would He do it?

He actually wouldn't (unless He purposefully wants tothoroughly deceive certain people as the Bibles' elaborate on on the topic of the Bibles' lying spirits that GOD Almighty sends to deceive false people) because that would make mighty creations of GOD Almighty be mistaken for Him, as is the case with the polytheist trinitarian pagans.

The very Bibles' themselves answer this fundamental question:

Exodus 6:3

3. I appeared to Abraham, to Isaac and to Jacob as God Almighty, but by my name the LORD I did not make myself fully known to them.

Numbers 23:19

19 God is not a man, that he should lie; neither the son of man, that he should repent: hath he said, and shall he not do it? or hath he spoken, and shall he not make it good?

GOD is not a flesh and blood man (Numbers 23:19).

Judith 8:16

Do not try to bind the purposes of the Lord our God; forGod is not like man, to be threatened, nor like a human being, to be won over by pleading.

So if GOD Almighty is not a man, then He wouldn't appear as a man to anyone. He might appear as a Light in a silhouette of a man, perhaps, but he wouldn't appear as a flesh and blood man. This is further proven here:

Luke 1:11-12

And there appeared to him an angel of the Lord standing on the right side of the altar of incense. And Zechariah was troubled when he saw him, and fear fell upon him.

Exodus 3:2

2. There the angel of the Lord appeared to him in flames of fire from within a bush. Moses saw that though the bush was on fire it did not burn up.
 
Koran imesema allah anapiga radi kwa mtu amtakae, sasa unawezaje kumzuia?
Kwani wamemzuia Allah au radi? Allah akitaka anapiga hapo hapo , hata binadamu wakiumwa wanakunywa Dawa, ila Mungu akitaka hata unywe dawa gani anakuchukua kwa maradhi hayo hayo, jifunze kutafakari
 
Aya nakuwekea hapa sasa pigia mstari kwenye hiyo aya Hicho ulicho andika.. [emoji15][emoji12]
[emoji116][emoji116]

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Hii ni meshajibu usiwe mjinga Ndio maana una amini Mungu aliteswa na watu alio waumba ili awaokoe watu alio waumba tena
 
Aya nakuwekea hapa sasa pigia mstari kwenye hiyo aya Hicho ulicho andika.. [emoji15][emoji12]
[emoji116][emoji116]

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Malaika wa Kutisha:

Wanaume tu kuwatokea Mitume wanaume haileti moja kwa moja hofu na woga mwingi ndani ya mioyo yao.

Lakini katika mifano ifuatayo, tunaona kwamba wakati Malaika wa MUNGU Mwenyezi walipotokea, Malaika walionekana kama Malaika wa kutisha na wenye nguvu Wakiwa ndani, - labda, - silhouettes za kibinadamu (miguu, mikono, mwili, kichwa, mdomo, nk...) .

Manabii waliogopa sana walipokutana nao. Wanadamu wa nyama na damu tu hawangesababisha hili isipokuwa wangekuwa na silaha na walionekana kuwa na uadui.

Lakini Malaika wakitokea bila silaha na kusababisha vitisho kwa hakika inathibitisha kwamba walionekana katika michoro ya kibinadamu huku ni dhahiri wakionekana kama Viumbe wa Malaika wa kutisha na wenye nguvu:

"Na hofu kuu ya giza ikamwangukia." (Mwanzo 15:12)

“Mwonekano wangu ulibadilika sana na sikuwa na nguvu.” ( Danieli 10:8 )

"Mariamu alifadhaika sana kwa maneno yake, akastaajabu ni salamu ya namna gani hii?

Lakini malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, umepata neema kwa Mungu." ( Luka 1:29-30 )

"Malaika wa Bwana akamtokea, amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia. Zakaria alifadhaika alipomwona, na hofu ikamwangukia." ( Luka 1:11-12 )
 
haya abudu moto kama mungu , wenzako maparisi ndivyo wanavyofanya kuabudu moto , hivyo ndivyo govi la ukafiri liliomo kichwani mwako linavyokuongoza [emoji14] [emoji14] 😛
Kumbe ulikuwa hujui allah ni shetani KAMILI KTK umbile la; moto??
Ndio ujue unamuabudu shetani govina[emoji134]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wamemzuia Allah au radi?
Wamemzuia Allah , kumbuka Allah kasema radi inamsifia na anaitumia kumpiga amatakae , hakuna radi inaweza kumpiga mtu bila allah kuituma , ndio unaona mpaka majumbani tunamzuia Allah asiweze kutupiga na radi kwa kuweka vifaa maaalum
 
Kiswahili kigumu sana, wapi Allah kasema kujikinga na radi ni kosa?
 
Hii khutba Peleka huko msikitini kwenye watu Kama ww ukazawadiwe takbirr!
Jibu ni Hili umeandika mnyewe Kwa mfano!
[emoji116][emoji116]
[Ukisikia sauti ya mgen kwenye redio hiyo haina maana mgen ndiye radio]

Umepatia Hakika [emoji117]allah ni shehetan kamili kajidhihirisha ktk umbile la moto[emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Spirits that GOD Almighty sends down including lying ones in the Bibles:

Some of the Spirits that GOD Almighty sends down upon His creations in the Old Testament:

Isaiah 11:1-3 "1. A shoot willcome up from the stump of Jesse; from his roots a Branch will bear fruit.

2. The Spirit of the LORD will rest on him (Jesus)-- the Spirit ofwisdom and of understanding, the Spirit of
counsel and of power, the Spirit of knowledge and of the fear of the LORD(Jesus fearing his GOD)--

3. and he will delight in the fear of the LORD. He will not judge by what he sees with hiseyes, or
decide by what he hears with his ears;"

1 Kings 22:22 " 'By what means?' the LORD asked. " 'I will go out and be a lying spirit in the mouths of all his prophets,' he said. " 'You will succeed in enticing him,' said the LORD. 'Go and do it.'

1 Kings 22:23 "So now the LORD has put a lying spirit in the mouths of all these prophets of yours. The LORD has decreed disaster for you."
 
Back
Top Bottom