Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Kama húpendi meza sumu ya mbewa usepe dogo!
Ilaha piga ua galagaza bidua!;
Hakuna Mungu Apaswaye Kuabudiwa kwa Haki Ilaha Yesu na Paulo ni Mtume Wake

لا إله يستحق العبادة إلا يسوع وبولس من رسله
la 'iilah yastahiqu aleibadat 'iilaa yasue Wabulis min rusilh
[emoji123][emoji106][emoji109]
[emoji116][emoji116]

YN. 1:1-3,14 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
[emoji123][emoji2533][emoji106][emoji109]
[emoji116][emoji116]
YN. 1: 1-3 ، 14 في البدء كان الكلمة والكلمة كان عند الله وكان الكلمة الله. كانت تلك البداية مع الله. كل هذا حدث له. وبدونه لم يكن هناك شيء من هذا القبيل. والكلمة صار جسدا وحل بيننا. ورأينا مجده ، مجد المولود الوحيد من الآب ، المليء بالنعمة والحق. إنه مملوء نعمة وحقا.

[emoji116][emoji116]
YN. 1: 1-3 , 14 fi albad' kan alkalimat walkalimat kan eind allah wakan alkalimat allah. kanat tilk albidayat mae allah. kulu hadha hadath lah. wabidunih lam yakun hunak shay' min hadha alqabili. walkalimat sar jasadan wahala bynana. wara'ayna majdah , majd almawlud alwahid min alab , almali' bialniemat walhaq. 'iinah mamlu' niemat wahaqaa.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Yohana 1:1 “Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu”.

Hayo ni maneno ya Yohana na si maneno ya Yesu,

vile vile, neno la kwanza la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “HOTHEOS” ambalo linamaanisha “Mungu” likiwa na M kubwa, wakati neno la pili la Kigiriki kwa ajili ya Mungu ni “TONTHEOS” ambalo linamaanisha “mungu” likiwa na “m” ndogo.

Je, huko si kukosa uaminifu kwa wale waliotafsiri Biblia ya Kigiriki?

nukuu hiyo ya Yohana 1:1 inatambuliwa na kila mwanazuoni wa Kikristo aliyeisoma Biblia kwamba imeandikwa na Myahudi aitwae Philo Alexandria kabla ya Yesu na Yohana?

, neno “god” au “TONTHEOS” pia limetumika kuashiria wengine kama ilivyo katika Wakorinto 2 4:4 (Na Shetani ndie) mungu wa ulimwengu huu na katika Kutoka 7:1

“Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao; ?
 
Usiwe Mjinga hadi unamuamini shetatani kuwa ni Mungu![emoji15][emoji12]
Why don't you know you are going to hell?? [emoji91]
wewe Kwani hujui unaenda jehannam?? [emoji91]
[emoji1370][emoji1370]
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe Makazi yake ni jehannam!

Kama unabisha Tuwekee ushahidi alitoa mguu wake jehannam![emoji1358]
[emoji1370][emoji1370]
llah's Statement: "...It (Hell) will say: 'Are there any more (to come)?" (V.50:30) (1)باب ‏{‏وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏}‏

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kwa akili yako unajua kuwa Allah ana mguu? hiyo ni lugha ya picha tu wewe kilaza Mungu wetu hafanani na chochote hana mguu wala hana mikono, lakini anaweza kukufikia popote ulipo, hapo tafsiri yake Mungu atatumia uungu wake mpaka moto utathibitisha kuwa umejaa, mimi nikajua unaelewa kumbe unasoma AYA kama Gazeti, kwa akili yako hii ndio maana unasema Mungu wako walimtemea mate maana huna akili

Ndipo wakamtemea mate ya uso, wakampiga makonde; wengine wakampiga makofi,

Matayo 26:67

Kama huu ujinga unaweza kuamini kafanyiwa Mungu wako ndio maana unafikiri Allah ana mguu
 
Kujikinga inamaana haumuamini allah , kama unamuamini huwezi jikinga
Nani kasema kujikinga na radi ni kuto kumuamini Allah ? wote tunajua tutakufa lakini tunachukua tahadhari kwa kila hatari, Mungu hajatukataza kuchukua tahadhari kwa hatari, sio radi kila hatari ya dunia hii kama Mungu hajataka haikupati
 
Achana na maneno ya vijiweni,hakuna anae weza toa dau wakati mtume mwenyewe alifanya majadiliano na watu tofauti
Muhammad alikuwa anaogopa debate , akatunga aya hii, ikawa haiwezekani tena kufanya majadiliano nae

Koran 3: 61. Watakao kuhoji katika haya baada ya kukufikilia ilimu hii waambie:Njooni tuwaite watoto wetu na watoto wenu, na wake zetu na wake zenu, nasisi wenyewe na nyinyi wenyewe, kisha tuombe kwa unyenyekevu tutake laanaya Mwenyezi Mungu iwashukie waongo.
 
Nani kasema kujikinga na radi ni kuto kumuamini Allah ? wote tunajua tutakufa lakini tunachukua tahadhari kwa kila hatari, Mungu hajatukataza kuchukua tahadhari kwa hatari, sio radi kila hatari ya dunia hii kama Mungu hajataka haikupati
Sasa unachukua tahadhari ya nini kama unaamini maneno ya allah? yeye kasema anaitumia radi kumpiga amatake , watu tusio muamini ndio tunaona kaongea ujinga hajui ata radi ni nini yeye anajua ni kiumbe hai na kinamsifia
 
Kwahiyo kwa akili yako unajua kuwa Allah ana mguu? hiyo ni lugha ya picha tu wewe kilaza Mungu wetu hafanani na chochote hana mguu wala hana mikono, lakini anaweza kukufikia popote ulipo, hapo tafsiri yake Mungu atatumia uungu wake mpaka moto utathibitisha kuwa umejaa, mimi nikajua unaelewa kumbe unasoma AYA kama Gazeti, kwa akili yako hii ndio maana unasema Mungu wako walimtemea mate maana huna akili
Kumbuka Allah ni physical na ana shape
 
Kwahiyo kwa akili yako unajua kuwa Allah ana mguu? hiyo ni lugha ya picha tu wewe kilaza Mungu wetu hafanani na chochote hana mguu wala hana mikono, lakini anaweza kukufikia popote ulipo, hapo tafsiri yake Mungu atatumia uungu wake mpaka moto utathibitisha kuwa umejaa, mimi nikajua unaelewa kumbe unasoma AYA kama Gazeti, kwa akili yako hii ndio maana unasema Mungu wako walimtemea mate maana huna akili

Ndipo wakamtemea mate ya uso, wakampiga makonde; wengine wakampiga makofi,

Matayo 26:67

Kama huu ujinga unaweza kuamini kafanyiwa Mungu wako ndio maana unafikiri Allah ana mguu

Alie Ongea kuwa Allah Ana miguu ni muham mad!
Hivyo Kambishie! Dhahir msukule ww?!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Sasa unachukua tahadhari ya nini kama unaamini maneno ya allah? yeye kasema anaitumia radi kumpiga amatake , watu tusio muamini ndio tunaona kaongea ujinga hajui ata radi ni nini yeye anajua ni kiumbe hai na kinamsifia
Tahadhari ni jukumu la binadamu ndio maana amepewa akili, anajua kufa ni lazima lakini anakwepa magari, Mungu akitaka hata ukikwepa litakugonga
 
Muhammad alikuwa anaogopa debate , akatunga aya hii, ikawa haiwezekani tena kufanya majadiliano nae

Koran 3: 61. Watakao kuhoji katika haya baada ya kukufikilia ilimu hii waambie:Njooni tuwaite watoto wetu na watoto wenu, na wake zetu na wake zenu, nasisi wenyewe na nyinyi wenyewe, kisha tuombe kwa unyenyekevu tutake laanaya Mwenyezi Mungu iwashukie waongo.
Mohamad kafanya debate nyingi sana soma historia yake, kuna wakati alifanya debate mpaka na mfalme, Mohamad sio mtu wa mchezo mchezo
 
Alie Ongea kuwa Allah Ana miguu ni muham mad!
Hivyo Kambishie! Dhahir msukule ww?!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app

Sifa zisizomfaa Mungu katika Biblia.

Mungu kuwa Kinyozi:

Biblia inasema

"Siku hiyo Bwana atanyoa kichwa na nywele za miguuni, kwa wembe ulikodiwa, yaani, kwao ng'ambo ya Mto, na kwa mfalme wa Ashuru; nao utazimaliza ndevu." ( Isaya 7:20 )

Hivi ndivyo Mungu anafanya?? Atanyoa miguu ya watu, ndevu na kichwa kwa wembe wa kukodiwa. Hana hata yake mwenyewe. Je, hii ni kazi ya Mungu?

B. Mungu atapiga mluzi:

“Naye atawainua bendera mataifa kutoka mbali, na kuwapigia mluzi kutoka miisho ya dunia; na tazama, watakuja kwa kasi upesi” (Isaya 5:26).

"Na itakuwa katika siku hiyo, kwamba Bwana atawapigia makofi inzi aliye katika mwisho wa mito ya Misri, na nyuki aliye katika nchi ya Ashuru." ( Isaya 7:18 )

Hivi ndivyo Mungu anafanya?? Kwamba anaenda kupiga mluzi kama nyoka

C. Kunguruma Mungu.

"BWANA atatoka kama shujaa, ataamsha wivu kama mtu wa vita; atalia, naam, atanguruma; atawashinda adui zake." ( Isaya 42:13 )

“Watakwenda kumfuata BWANA; atanguruma kama simba; ( Hosea 11:10 )

D. Si Mwenye Nguvu Zote.

"Naye BWANA alikuwa pamoja na Yuda, naye akawatoa wenyeji wa mlimani; lakini hakuweza kuwatoa wenyeji wa bondeni, kwa sababu walikuwa na magari ya chuma." ( Waamuzi 1:19 )

Ambapo biblia hiyo hiyo inatuambia kwamba Mungu ni muweza wa yote.

"...lakini kwa Mungu yote yanawezekana." ( Mathayo 19:26 )

Mtu anaweza kuona migongano ya wazi katika sifa za Mungu katika biblia iliyobadilishwa na mwanadamu.
 
Hilí fungu linakuhusu dogo!
[emoji116][emoji116]
John 8:32

Then you will know the truth, and the truth will set you free.”
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
Mwaka huu hautapita kabla hujampokea Yesu!
 
Mohamad kafanya debate nyingi sana soma historia yake, kuna wakati alifanya debate mpaka na mfalme, Mohamad sio mtu wa mchezo mchezo
mtu akikupa aya masharti unaweza ku angaika ku debate naye

"Njooni tuwaite watoto wetu na watoto wenu, na wake zetu na wake zenu, nasisi wenyewe na nyinyi wenyewe,"
 
Allah hana wa kufanana nae kwahiyo hawezi kuwa na shape yeyote
Hakuna mtu anasema kafanana na kitu chochote , ila ana shape

Tukusikilize wewe au Muhammad?
Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
 
Hilí fungu linakuhusu dogo!
[emoji116][emoji116]
John 8:32

Then you will know the truth, and the truth will set you free.”
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
Mwaka huu hautapita kabla hujampokea Yesu!
Hilí fungu linakuhusu dogo!
[emoji116][emoji116]
John 8:32

Then you will know the truth, and the truth will set you free.”
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
Mwaka huu hautapita kabla hujampokea Yesu!
 
Hakuna mtu anasema kafanana na kitu chochote , ila ana shape

Tukusikilize wewe au Muhammad?
Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573

Wewe bila figisu figisu huwezi kuleta hoja yaani uongo unawazidi waliokuandikia biblia

Hiyo hadithi ni ndefu wala haisemi hivyo , Laana ya Allah ikuangukie kafiri wewe

Wewe bila figisu figisu huwezi kuleta hoja yaani uongo unawazidi waliokuandikia biblia

Hiyo hadithi ni ndefu wala haisemi hivyo , Laana ya Allah ikuangukie kafiri wewe
Hadith ni ndefu ndio maana umeona nimeweka vi doti , ila shape ipo pale pale huo ndio ukweli Allah ana shape
 
Back
Top Bottom