Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Yani waislamu wamemzuia Allah na radi zake na kujitapa kwake kote anampiga nazo amtakae 🤣😂😂😂
Na hii verse wanaisoma
Koran
93;13. Na radi inamtakasa Allah kwa kumhimidi, na Malaika pia, kwa kumkhofu. Naye hupeleka mapigo ya radi yakampata amtakaye...................
😂🤣😂🤣🤣🤣🤣😂🤣
Chukua hatua
Eti wewe towashi huingii katika ufalme wa Mungu ??