Tofauti 20 katı ya Freeman Mbowe vs Tundu Lissu

Uchaguzi ulishaisha na wanachadema waliamua kumpumzisha mbowe acha apumzike nongwa inatoka wapi?? Mlitaka chama kiongozwe na mtu mmoja milele??

Kama vipi anzisheni chama mbowe awe mwenyekiti wenu
No, hatukutaka akae milele, tatizo ni mbinu haramu alizotumia Lissu kupata Uenyekiti
 
Mbowe darasa ka 14
Lissu msomi mbobevu
Wewe ni BOYA, umeandika utumbo naitumia number 6.

Eti "Mbowe anaongelea social issues, Lissu No Reforms No Election,

Hivi no Reforms No Election inahusu Nini?? Inahusu NYANI?? KIMA?? DIGIDIGI?? VICHECHE??

inahusu maisha ya watu katika category ya haki za binadamu na usitawi wao kiujumla.

Kifupi andiko lako ni UHARO WA MTORI....

Please nenda Facebook kacheze na watoto wenzako, hili jukwaa achia great thinker 🤔🤔🤔
 
Umeongea ujinga mwingi

Maumivu ya uchaguzi bado yanawatafuna, hamkutarajia Mwamba wenu Kunyooshwa
 
Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100.

1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko

2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election

3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia

4 Mbowe anajua kutafuta hela ya kujenga chama, Lissu anategemea tone tone kupata hela

5 Mbowe ana busara mno, Lissu hana hata chembe ya busara

6 Mbowe akiwa jukwaani anaongelea social issues wakati Lissu kazi yake ni no reforms no election

7 Mbowe anaamini zaidi majadiliano katika kuleta amani, Lissu anaamini kwenye kukinukisha

8 Mbowe hajawahi kukimbia nchi, Lissu amekimbia nchi

9 Mbowe ni mpole na hana hasira za kijinga, Lissu Ana hasira za kijinga

10 Mbowe hana jazba, Lissu Ana jazba

12. Mbowe hana kinyongo, Lissu Ana kinyongo

13 Mbowe haamini kama vurugu zinasaidia kwenda Ikulu, Lissu anaamini vurugu ndio njia ya kwenda Ikulu

14 Mbowe hajawahi kuitwa dikteta, Lissu ameshaanza kuitwa dikteta uchwara

15 Mbowe hana njaa, Lissu Ana njaa sana

16. Mbowe ni mtulivu katika kuendea jambo, Lissu anakurupuka sana

17. Mbowe hapendi malumbano na visasi, Lissu kwa visasi ni kiboko

18 Mbowe Ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja kuliko Lissu

19 Mbowe akiongea hata serikali ilikuwa inajipanga, Lissu makelele t na no reforms no election

20 Mbowe sio mpenda sifa, Lissu kwa kupenda sifa hajambo
Yoooote hayo wajumbe waliyajua ila wakasema Lissu yeye ndiye. Au Mbowe toka Lissu anatosha.
 
Kuwa Mwenyekiti CHADEMA taifa lazima uwe na uwezo Mkubwa sana na unakubalika na wanachedema ambao huwezi linganisha na mboga mboga za CCM, tofauti kati ya Hawa wawili ni sifa za kibinadamu ambazo hazifanani
 
Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100.

1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko

2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election

3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia

4 Mbowe anajua kutafuta hela ya kujenga chama, Lissu anategemea tone tone kupata hela

5 Mbowe ana busara mno, Lissu hana hata chembe ya busara

6 Mbowe akiwa jukwaani anaongelea social issues wakati Lissu kazi yake ni no reforms no election

7 Mbowe anaamini zaidi majadiliano katika kuleta amani, Lissu anaamini kwenye kukinukisha

8 Mbowe hajawahi kukimbia nchi, Lissu amekimbia nchi

9 Mbowe ni mpole na hana hasira za kijinga, Lissu Ana hasira za kijinga

10 Mbowe hana jazba, Lissu Ana jazba

12. Mbowe hana kinyongo, Lissu Ana kinyongo

13 Mbowe haamini kama vurugu zinasaidia kwenda Ikulu, Lissu anaamini vurugu ndio njia ya kwenda Ikulu

14 Mbowe hajawahi kuitwa dikteta, Lissu ameshaanza kuitwa dikteta uchwara

15 Mbowe hana njaa, Lissu Ana njaa sana

16. Mbowe ni mtulivu katika kuendea jambo, Lissu anakurupuka sana

17. Mbowe hapendi malumbano na visasi, Lissu kwa visasi ni kiboko

18 Mbowe Ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja kuliko Lissu

19 Mbowe akiongea hata serikali ilikuwa inajipanga, Lissu makelele t na no reforms no election

20 Mbowe sio mpenda sifa, Lissu kwa kupenda sifa hajambo
Sawa tumekusoma mke mdogo wa Mbowe, tulia sasa umzalie watoto, sawa sawa ?
 
Uko sahihi, je una lingine kwa msaaada zaidi?
 
Uko sahihi
 
Imekaa vizuri sana hii. Kazi kwao Chadema kwa kutupa nazi na kuchukua koroma!
 
Uchaguzi ulishaisha na Lisu ndiye mwenyekiti.
 
KWANI MBOWE AKIMBIE NCHI AMEWAHI KUPIGWA RISASI MIA TATU.?
 
Back
Top Bottom