Tofauti 20 katı ya Freeman Mbowe vs Tundu Lissu

Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100.

1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko

2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election

3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia

4 Mbowe anajua kutafuta hela ya kujenga chama, Lissu anategemea tone tone kupata hela

5 Mbowe ana busara mno, Lissu hana hata chembe ya busara

6 Mbowe akiwa jukwaani anaongelea social issues wakati Lissu kazi yake ni no reforms no election

7 Mbowe anaamini zaidi majadiliano katika kuleta amani, Lissu anaamini kwenye kukinukisha

8 Mbowe hajawahi kukimbia nchi, Lissu amekimbia nchi

9 Mbowe ni mpole na hana hasira za kijinga, Lissu Ana hasira za kijinga

10 Mbowe hana jazba, Lissu Ana jazba

12. Mbowe hana kinyongo, Lissu Ana kinyongo

13 Mbowe haamini kama vurugu zinasaidia kwenda Ikulu, Lissu anaamini vurugu ndio njia ya kwenda Ikulu

14 Mbowe hajawahi kuitwa dikteta, Lissu ameshaanza kuitwa dikteta uchwara

15 Mbowe hana njaa, Lissu Ana njaa sana

16. Mbowe ni mtulivu katika kuendea jambo, Lissu anakurupuka sana

17. Mbowe hapendi malumbano na visasi, Lissu kwa visasi ni kiboko

18 Mbowe Ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja kuliko Lissu

19 Mbowe akiongea hata serikali ilikuwa inajipanga, Lissu makelele t na no reforms no election

20 Mbowe sio mpenda sifa, Lissu kwa kupenda sifa hajambo
WAKE ZAKE MBOWE MNA KAZI.
 
Jan 21 imeleta maumivu sana.
 
Usisahau kuchukua kitenge chako na gagulo za hapo lumumba. Wanagawa jumamosi. Mumpuzishe mbowe wanawake mnaomtaka mmekuwa wengi sana
 
Na. 14 imenichekesha sana.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
RUBBISH

MB.PNG
 
Chama dola kongwe tayari mnaanza kumkumbuka mwaba mwenyekiti mstaafu Freeman Aikael Mbowe, mliokuwa mnalilia sana angatuke bila kupitia tanuru la moto wa demokrasia wa CHADEMA ili muendelee na propaganda zenu kuwa Tundu Lissu hajachaguliwa kwa kikao halali cha CHADEMA

Sasa moto wa tanuru lililo mtengeneza mwenyekiti mpya wa CHADEMA limeelekezwa kwenu chama dola Kongwe

Tayari mnaaza kupiga kelele kuwa Tundu Lissu moto wake wa No Reforms No Election unawaunguza vibaya sana CCM na 'vyombo vyake' kama INEC Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa, wateuliwa wa rais kama maDED, mzee Steven M. Wasira , mwenyekiti Samia Hassan, katibu uenezi CPA Amos Makala n.k wote wanausikia moto wa No Reforms No Election 2025
 
Tujikumbushe TOKA MAKTABA :

Vyama rafiki vya CCM , asasi za chama dola kongwe pamoja na CCM walivyombeza na kumbagaza Freeman Aikaeli Mbowe, Sasa fastfoward 2025 wanamkumbuka Freeman Mbowe

"MBOWE Anajifanya MUNGU Mtu, Ajivue UENYEKITI Chadema" -

View: https://m.youtube.com/watch?v=DKpCHQM8pfU
MKURUGENZIKAIMU Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi za kiraia (ADO), Zinazojihusisha na utetezi wa haki za binadamu, amezungumza na waandishi wa habari leo Januari 6, 2018 kuhusiana na sakata la muswada wa mabadiliko ya vyama vya siasa ambalo siku za hivi karibuni limekuwa gumzo baada ya Vyama vya upinzani kuungana na kupinga muswada huo ambapo mpaka sasa kesi ipo katika Mahakama Kuu ya Tanzania.
 
Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100.

1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko

2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election

3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia

4 Mbowe anajua kutafuta hela ya kujenga chama, Lissu anategemea tone tone kupata hela

5 Mbowe ana busara mno, Lissu hana hata chembe ya busara

6 Mbowe akiwa jukwaani anaongelea social issues wakati Lissu kazi yake ni no reforms no election

7 Mbowe anaamini zaidi majadiliano katika kuleta amani, Lissu anaamini kwenye kukinukisha

8 Mbowe hajawahi kukimbia nchi, Lissu amekimbia nchi

9 Mbowe ni mpole na hana hasira za kijinga, Lissu Ana hasira za kijinga

10 Mbowe hana jazba, Lissu Ana jazba

12. Mbowe hana kinyongo, Lissu Ana kinyongo

13 Mbowe haamini kama vurugu zinasaidia kwenda Ikulu, Lissu anaamini vurugu ndio njia ya kwenda Ikulu

14 Mbowe hajawahi kuitwa dikteta, Lissu ameshaanza kuitwa dikteta uchwara

15 Mbowe hana njaa, Lissu Ana njaa sana

16. Mbowe ni mtulivu katika kuendea jambo, Lissu anakurupuka sana

17. Mbowe hapendi malumbano na visasi, Lissu kwa visasi ni kiboko

18 Mbowe Ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja kuliko Lissu

19 Mbowe akiongea hata serikali ilikuwa inajipanga, Lissu makelele t na no reforms no election

20 Mbowe sio mpenda sifa, Lissu kwa kupenda sifa hajambo
No reform No election - usijisahaulishe
 
Back
Top Bottom