Tofauti 20 katı ya Freeman Mbowe vs Tundu Lissu

Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100.

1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko

2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election

3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia

4 Mbowe anajua kutafuta hela ya kujenga chama, Lissu anategemea tone tone kupata hela

5 Mbowe ana busara mno, Lissu hana hata chembe ya busara

6 Mbowe akiwa jukwaani anaongelea social issues wakati Lissu kazi yake ni no reforms no election

7 Mbowe anaamini zaidi majadiliano katika kuleta amani, Lissu anaamini kwenye kukinukisha

8 Mbowe hajawahi kukimbia nchi, Lissu amekimbia nchi

9 Mbowe ni mpole na hana hasira za kijinga, Lissu Ana hasira za kijinga

10 Mbowe hana jazba, Lissu Ana jazba

12. Mbowe hana kinyongo, Lissu Ana kinyongo

13 Mbowe haamini kama vurugu zinasaidia kwenda Ikulu, Lissu anaamini vurugu ndio njia ya kwenda Ikulu

14 Mbowe hajawahi kuitwa dikteta, Lissu ameshaanza kuitwa dikteta uchwara

15 Mbowe hana njaa, Lissu Ana njaa sana

16. Mbowe ni mtulivu katika kuendea jambo, Lissu anakurupuka sana

17. Mbowe hapendi malumbano na visasi, Lissu kwa visasi ni kiboko

18 Mbowe Ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja kuliko Lissu

19 Mbowe akiongea hata serikali ilikuwa inajipanga, Lissu makelele t na no reforms no election

20 Mbowe sio mpenda sifa, Lissu kwa kupenda sifa hajambo
Mbowe huyu huyu ambaye hata CCM kutia mipesa ili ashinde lakini akashindwa??

Mbowe huyu huyu ambaye ameshindwa kuipigania Kampuni ya Baba Mkwe ndo huyu huyu Mbowe?
 
Ilishatoka hiyo, chadema ipo awamu ingine kabisa sasa hivi amka usijekuchafua malalio
 
Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100.

1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko

2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election

3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia

4 Mbowe anajua kutafuta hela ya kujenga chama, Lissu anategemea tone tone kupata hela

5 Mbowe ana busara mno, Lissu hana hata chembe ya busara

6 Mbowe akiwa jukwaani anaongelea social issues wakati Lissu kazi yake ni no reforms no election

7 Mbowe anaamini zaidi majadiliano katika kuleta amani, Lissu anaamini kwenye kukinukisha

8 Mbowe hajawahi kukimbia nchi, Lissu amekimbia nchi

9 Mbowe ni mpole na hana hasira za kijinga, Lissu Ana hasira za kijinga

10 Mbowe hana jazba, Lissu Ana jazba

12. Mbowe hana kinyongo, Lissu Ana kinyongo

13 Mbowe haamini kama vurugu zinasaidia kwenda Ikulu, Lissu anaamini vurugu ndio njia ya kwenda Ikulu

14 Mbowe hajawahi kuitwa dikteta, Lissu ameshaanza kuitwa dikteta uchwara

15 Mbowe hana njaa, Lissu Ana njaa sana

16. Mbowe ni mtulivu katika kuendea jambo, Lissu anakurupuka sana

17. Mbowe hapendi malumbano na visasi, Lissu kwa visasi ni kiboko

18 Mbowe Ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja kuliko Lissu

19 Mbowe akiongea hata serikali ilikuwa inajipanga, Lissu makelele t na no reforms no election

20 Mbowe sio mpenda sifa, Lissu kwa kupenda sifa hajambo
Sawa ndugu msemaji wa chair mstaafu.
 
Timu FAM bado mnateseka na kampeni wakati uchaguzi ulishakwisha miezi 3 iliyopita
 
Back
Top Bottom