Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Habarini za usiku huu
Ningependa kushare nanyi hii tiba mbadala ya chumvi kwa wale waamini na wenye uhitaji, hii si uchawi ushirikina wala ulozi na wala huhitaji kwenda kwa 'mtaalam' kupoteza pesa na muda wako huku ukiwa kwenye hatari ya kutapeliwa nk

Chumvi yenye matokeo bora ni chumvi ya mabonge, au ile chumvi ya kuchimba kwa vifaa vya kawaida (epuka chumvi ya viwandani ni mfu) japo inaweza kusaidia kwa kasi chake

Chumvi ni kinga bora kwa nguvu hasi zote ushirikina na nguvu nyingine za giza! Hata wale wanaohisi kuibiwa ama kuchafuliwa nyota zao, stimulus bora ni chumvi... Hata zile hatari nyingine katika ulimwengu wa roho, zote zinazokunyelemea kinga kuu pamoja na sala na imani yako kwa Mungu ni chumvi

MATUMIZI
Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka kitanda, chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinia ama kunuizia yale utakayo... Fanya ukiamini na kumaanisha.

Hapo hiyo ni kinga ya kujikinga na nguvu hasi lakini ukitaka kusafisha nyota yako(mtima/aura) kila uogapo weka chumvi kidogo kwenye maji kisha ogea..... Masharti ya kuoga ni siku 7 14 au 21 ama la mara 7 14 au 21
Nb: hii haipingani na imani yako kwakuwa hata kwenye maandiko tunaona chumvi ilivyotumika kutakasaView attachment 552038

Mubashara:
Pamoja na kwamba mada yetu ni ya chumvi lakini nakupa nyongeza ya hii ya kipande cha mkaa kwa wale wenzangu wa Uswazi kwenye chumaulete zongo na kulogana kusikoishaView attachment 552039

Alamsiki.......!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri na tunaupokea sasa je vipi kuhusu wale wabaya wanaoweza kukutegea njiani kazini na nk inakuwaje?

Hizo elfu 4 nazo ni OG
Fanya window shopping mdogo wangu, utakutana na bidhaa za kila aina, pia bei hutofautiana kulingana na sehemu na sehemu. Hata mafuta ya nazi pia ni hivyo hivyo, mi hutumia mafuta ya nazi kama lotion huwa nayanunua shs elfu kumi chupa kubwa ya kampuni ya Parachute.
 
Mkuu tetee, tayari ushaanza manuizi nini? Maana hii Id yako imenikaa akilini, na inaelekea moyoni.
Yani nimeanza kupenda jina tu. Ama kweli chumvi ni nowma!

-Kaveli-
[emoji1] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji1] kweli chumvi kiboko,,, nshaanza mfikirisha mtu ka huba kananinyemelea uwiiiiii.... Mshaanaa ubarikiwe......
 
Yani tayari nakufikiria kwa mwendo kasi. Saaivi hapa nautafuta mlango wa chumbani kwako nibishe hodi. Daah ama kweli chumvi kiboko ! 🙂🙂🙂

-Kaveli-
 
mshana jr hii ni kweli kabisa,
hapo majuzi nilikuwa nimelala home tena pekee yangu,
ile nashtuka usiku wa manane nikakuta siafu wamejaa ndani
yaani wametapakaa kuanzia jioni hadi room kwangu; Mind u kuwa
nyumba ina tiles na haina vitu vilivyojazana.

Bahati mbaya sana sikuwa hata na x-pell, nikakumbuka
kwenye Bible yameandikwa maandiko ya chumvi,

Nilienda jikoni, nikachukua chumvi tena hii chumvi ya kawaida
nikaweka kwenye kikombe nikatia maji, nikanyunyuza kote
kwenye siafu. Kufumba na kufumbua sikuona hata mdudu mmoja.

NB: hilo eneo walozi wamejaa kibao.
 
Safi sana hao hawakuwa siafu wale wa kawaida tunaowajua sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana jr hii ni kweli kabisa,
hapo majuzi nilikuwa nimelala home tena pekee yangu,
ile nashtuka usiku wa manane nikakuta siafu wamejaa ndani
yaani wametapakaa kuanzia jioni hadi room kwangu; Mind u kuwa
nyumba ina tiles na haina vitu vilivyojazana.

Bahati mbaya sana sikuwa hata na x-pell, nikakumbuka
kwenye Bible yameandikwa maandiko ya chumvi,

Nilienda jikoni, nikachukua chumvi tena hii chumvi ya kawaida
nikaweka kwenye kikombe nikatia maji, nikanyunyuza kote
kwenye siafu. Kufumba na kufumbua sikuona hata mdudu mmoja.

NB: hilo eneo walozi wamejaa kibao.
NB hao siafu niliwaleta mimi, bahati yako ulikumbuka chumvi...

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
Kwa nini unapata shida kuweka imani yako katika chumvi na baadhi miti vilivyotengenezwa na Mwenyezi Mungu siku moja? Mungu mwenyewe katuhakikishia ulinzi wetu wa nafsi, mwili na roho zetu basi tuweke imani yetu kwake. Ukishafanya mambo ambayo ni kinyume na maelekezo ya Kimungu basi ujue unahatarisha usalama wako na hautakuwa salama atakama itachukua mda. Mambo mengine ni hatari japo yanapakwa asali. Ni ushauri na utakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la chumvi kufukuza siafu, nyoka, na preservation, sio swala la imani linaelezeka kisayansi kama pesticide na preservative. Chukulia mfano mafuta ya taa, mkojo wa binadamu vinafukuza siafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom