Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

Ok, naiandaa na naimwaga leo, make hapa ofisini niko peke yangu kuna wakati nasikia kama mtu anafungua mlango wa ofisi nikienda sikuti mtu.
Fanya hivyo bila shaka
 
Halafu watu muache kuamini chumvi badala ya kuamini Mungu

Chumvi haiwez fanya kazi bila nguvu ya Mungu nyuma,
Mwamini Mungu kwanza ndio uje kwa chumvi

Imani ni kitu cha muhimu kwa Mungu aliye hai,
Naona watu wana amini chumvi zaidi halafu Mungu wamemuweka nyuma

Hiyo chumvi haitofanya kazi labda kama nyuma mna muamini shetan cz na yy ana nguvu zake

Mwaminini Mungu kwanza halafu ndio mje kuamini chumvi

Kila kitu ni mtumishi wa Mungu, unaweza hata liombea jiwe likafanya kitu kwaajil yako au hata mchanga tu lakin umelisemesha kwa nguvu ya Mungu aliye hai nalo litatii

vyote vilifanyika kwa huyo wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika Yohana 1:3
 
Maarifa yanaongezeka!
Sasa Mshana Jr; kwa kuwa sabuni ya maji ingredients zake mojawapo ni chumvi inaweza kusaidia au lazima itumike chumvi kama chumvi?
 
Neno Mungu aliye hai unajua maana yake?
Kama kuna Mungu aliye hai ina maana kuna Mungu aliyekufa?
Mungu yuko hai siku zote na yuko ndani ya kila binadamu mwenye pumzi.
 
Chumvi pure tena ile ya mabonge
 
Kuna posts nilikuwa nazisoma kwenye 2014, kweli zilikuwa zina mambo mengi ambayo ukiyazingatia unaona majibu.
1. Kuna miti fulani hivi waiita mipanga uzazi ... kuna bibi mmoja alikuta naukata asubuhi alinambia "UMEJIONGEZA" sikumjibu.

2. Kuna mtu hapa JF alinambia kuwa mti wa mbaazi una maajabu mengi; nilipoupanda nyumbani .. kuna vibibi vilikuwa vimezoea kukatiza kwangu wakati hakuna njia rasmi ... viliacha na sasa hivi vinanisalimia kawaida - TULIKUWA HATUPATANI KWA SABABU HIYO

3. Kuna mti maarufu kama Jerusalem white flower - nimekuwa nikiutumia kuwasaidia wenye matatizo ya meno. Unafanya kazi vizuri

4. Kuna mti wa mlongelonge - nilijifunzia hapa hapa

Kwa ujumla mambo mengi nimejifuza kupitia hapa JF Big ap moddy
 
Neno Mungu aliye hai unajua maana yake?
Kama kuna Mungu aliye hai ina maana kuna Mungu aliyekufa?
Mungu yuko hai siku zote na yuko ndani ya kila binadamu mwenye pumzi.
Wanao budu mawe je? ,miungu, miti, shetani. Ni hao ninao wazungumzia hapa.
Sio kila mtu anayeita mungu ana maanisha Mungu aliye hai.
Hata hao waabudio mungu asiye hai wanaweza pata kitu wakiomba

Ndio maana nikasema Mungu aliye hai
 
Kuna posts nilikuwa nazisoma kwenye 2014, kweli zilikuwa zina mambo mengi ambayo ukiyazingatia unaona majibu.
1. Kuna miti fulani hivi waiita mipanga uzazi ... kuna bibi mmoja alikuta naukata asubuhi alinambia "UMEJIONGEZA" sikumjibu.

2. Kuna mtu hapa JF alinambia kuwa mti wa mbaazi una maajabu mengi; nilipoupanda nyumbani .. kuna vibibi vilikuwa vimezoea kukatiza kwangu wakati hakuna njia rasmi ... viliacha na sasa hivi vinanisalimia kawaida - TULIKUWA HATUPATANI KWA SABABU HIYO

3. Kuna mti maarufu kama Jerusalem white flower - nimekuwa nikiutumia kuwasaidia wenye matatizo ya meno. Unafanya kazi vizuri

4. Kuna mti wa mlongelonge - nilijifunzia hapa hapa

Kwa ujumla mambo mengi nimejifuza kupitia hapa JF Big ap moddy
Mti wa mbaazi uko na nguvu gani mdau. Tuelimishane tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom