SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
[video=youtube_share;caNRc1ER8p4]http://youtu.be/caNRc1ER8p4[/video]
ahhahhhahahaha sitaki maswali!
Thanx man. Such is life, the beat goes on!Pole na maumivu.
Enya ananikumbusha mbali sana. Baadhi ya contemporaries wake kwenye miaka ya 80 ni Kylie Minogue na The Bangles.
And Kylie is like fine wine. Man oh man!
du pole kaka...nina cd na dvd yake nazitunza kama lulu
Thanx man. Such is life, the beat goes on!
Nilimwonaga kylie 2005 kwenye club inaitwa Colosseum, ndio alikua katoa nyimbo ya I just can get you outta my head! Yuko fine bi dada!
Alitoa nyimbo laki duet in the late 80s "Nothing is gonna change my love for you".
Aliimba na nani vile?
kaka acha kabisa UB 40 ni habari nyingine, ukiacha RED RED WINE.....goes in ma head...! kuna PLEASE DON MAKE ME CRY na LETS KISS N SAY GOODBYEThanx mkuu.
Sijaona ngoma ya UB40 humu red red wine!!
Dah ningejua nitazikumbuka hivi oldies sijui ningezisikiliza kwa nguvu zaidi zamani! Hahaha! Don't know what difference it would have made.
Mpenzi - The MushroomHapa nyimbo zote za kidhuuungu mkianza za kiswahili na mie nitakuja na chaguo langu
Hapa nyimbo zote za kidhuuungu mkianza za kiswahili na mie nitakuja na chaguo langu
RAHA YA TUNDA wadada fulani watatu waliimba na Dully sykes wana mimacho mikubwa ya kurembua mno sijui wako wapi siku hiziHapa nyimbo zote za kidhuuungu mkianza za kiswahili na mie nitakuja na chaguo langu
Mpenzi - The Mushroom
Zuwena - Marijani Raajab
RAHA YA TUNDA wadada fulani watatu waliimba na Dully sykes wana mimacho mikubwa ya kurembua mno sijui wako wapi siku hizi
MARLAW kidato kimoja
RAFAEL tukalewa tukalewa, manka alikuwepo shiroma alikuwepo munisi alokuwepo....hahaaa eti chuwa naye alikuwepo
mtunzi ni DAUDI KABAKA toka Mombasa Kenya
mojawapo ya beti zake inasema hivi:
mpenziiii sogea karibu
mambo tuliyofanya jana ni siri yetu.....
RAHA YA TUNDA wadada fulani watatu waliimba na Dully sykes wana mimacho mikubwa ya kurembua mno sijui wako wapi siku hizi
MARLAW kidato kimoja
RAFAEL tukalewa tukalewa, manka alikuwepo shiroma alikuwepo munisi alokuwepo....hahaaa eti chuwa naye alikuwepo