Umenikuna aisee My BF is a hundred Miles away...........
So hard
In His Touch Celine Dion
Chezea kitu Old Skul..
Ila yote ya yote mimi kuna mdada anaitwa ENYA pale funga kazi.. album yake nzima imesimama
Kwa hili nahisi kama unafall kwenye category ya mademu wengi masistaduu wa kibongo, amabao ukiwauliza kama wana boy, husema hawana walio nae yuko majuu....!
Ila sista maandishi yako hayakuhararishi uwepo kwenye hiyo category ya masista duu uchwara, u seems decent, lovely, romantic and sweet.
Don't jst get me wrong boo!
Enya mi nimeanza kumsikiliza tokea 1988. Wimbo wake wa Orinoco Flow (Sail away) ulibamba sana UK enzi hizo. Nakumbuka performance yake kwenye Top of The Pops. Was the shit back then.
Enya mi nimeanza kumsikiliza tokea 1988. Wimbo wake wa Orinoco Flow (Sail away) ulibamba sana UK enzi hizo. Nakumbuka performance yake kwenye Top of The Pops. Was the shit back then.
Nina VHS yake hadi leo mkuu!
Leo full nostalgia humu ndani, halafu nilivyo na maumivu!!
Goodbye-Celine
It's all coming back-Celine
Think twice -Celine