Happy New Year pia.
Ngoja niukumbuke tu
K_CI N JOJO, Tell me its real
K_CI N JODECI Wanna love u for life
UB 40, please dont make me cry, lets kiss n say goodbye
BRANDY have u ever been
MB DOG si ulinambia
RAY C mahaba ya dhati
​I need need you-Mark Anthony
I will be there for you-Back street boys
Sacrifice-Elton John
omg........!!!!!!!!!!!!
Mshana Jr. Lets just kiss and say goodbye by Manhattans. Have you ever loved somebody so much till you cry.... Brandy. Hakuna kitu kamaKCI and Jodeci. Hiyo ni sawa na kusema PembaK,Unguja na Zanzibar! I stand to be corrected.
kwa mwezi mmoja anaalbamu 4Usiku anatunga mashairi asubuhi anafanya mazoezi mchana studio Kesho yake ngoma iko hewani loh...!
Kwa walio mbali na Wapenzi wao, poleni sana ila msivunjike moyo.
Brandy anakuja na kibao kilichoandikwa na Bruno Mars kiitwacho LONG DISTANCE.
yeah ni kwamba UB 40 wana LETS KISS N SAY GOODBYE hata saa hii naisikiliza hapa nilipo, kuhusu KCI N JOJO, mwanzoni kabisa kabla haeajatengana na mwenzao mmoja walijulikana kama KCI N JODECY hii ni kwa kumbukumbu zangu lakini naweza nikawa nimekosea kidogo
hahahanakumbuka sugu aliwahi kusema katika maisha yake ya muziki alitoa zaidi ya album kumi! nilibaki tu kuguna
niko siriazi ujue...
roni - bobby brown
weak - swv
surrender - kut klose
going for mine - keith sweat
I will never lie - immature
work me slowly - xscape
rain - swv
za whitney karibu zote....
...to mention a few..ni nyingi mno nizipendazo....
Thanx bro kwa ufafanuziNi kweli Mshana Jr. Wimbo ni huo huo isipokuwa UB 40 wameupiga kama sweet reggae wakati original composer waliupiga kama Blues. Nakumbuka Manhattans ndo waliupiga kwanza. Then ukaja rudiwa na hawa wengine. Ni kama wimbo wa Georgina wa Marijani Rajabu au Malaika. Nadhani hakuna local bendi hawajawahi kuupiga nyimbo hizi mbili. Mwingine uliorudiwa sana na different reggae artists ni Red Red Wine wa UB 40. One of the hits of all time.
kaka acha kabisa UB 40 ni habari nyingine, ukiacha RED RED WINE.....goes in ma head...! kuna PLEASE DON MAKE ME CRY na LETS KISS N SAY GOODBYE