Umenikuna kwelikweli na hizi nyimbo. Hao Kut klose nawahusudu zaidi kwenye wimbo huu hapa chini uitwao Giving You All My Love: Kut Klose - Giving You My Love Again (HQ) - YouTube
Pia ukishawataja Kut Klose, huwezi kumsahau Producer wao, Keith Sweat ambao alishirikiana na Marehemu Roger Troutman, mtu aliyeubadilisha wimbo wa Tupac (California Love): Keith Sweat ft. Roger Troutman - Put Your Lovin' Through The Test (HQ) - YouTube
Keith Sweat pia alitengeneza wimbo wa Silk: Silk - Freak Me - YouTube Let me lick you up and down till you say STOP.....
Duu, naona R Kelly hatujamuweka: R. Kelly - Your Body's Callin - YouTube (Your Body's callin')
Namalizia kwa Mzee Mwenyewe, Barry White: Barry White - Can't Get Enough Of Your Love Baby. - YouTube
Kuna Member kaandika wimbo wa Neville Brothers ila nimeshindwa kujua ni nani. Amenikumbusha wimbo huu wa zamani na enzi hizo ndiyo naanza maisha na Wazaramo ............
unakumbuka na kile kitu cha aaron hall 'I miss you' kikali balaa nacho..
if i was your man-joe
Thanx man. Such is life, the beat goes on!
Nilimwonaga kylie 2005 kwenye club inaitwa Colosseum, ndio alikua katoa nyimbo ya I just can get you outta my head! Yuko fine bi dada!
Alitoa nyimbo laki duet in the late 80s "Nothing is gonna change my love for you".
Aliimba na nani vile?
Nobody knows but me, ile version ya kwanza acha ya babyface.nadhani ni isle brothers kama sijakosea...bonge moja la RnB..
natafuta cd ya BIEVENIE GATHO
Mpenzi - The Mushroom
U can't be serious.....sio wala siwezi kuwa
Stir it up
Guava Jelly
Baby we've got a date
Zote za Bob marley
Cherry oh cherry oh baby-Eric donaldson/ UB 40
Subah la kheri mpenzi
Mpenzi nipepeee nataka kulala
Hizi ni taarab za kale
Mimi nikiwa na maumivu ya moyo kutokana na masuala ya mahusiano au mengine napenda kusikiliza
"Where do broken hearts go" wa Whitney Houston.
Pia wimbo wa zamani wa Atlantic Stars uitwao
" Secret Lovers" unanikosha sana.
if i was your man na heaven sent, ni among my best songs. I love them