This week end: My unforgetable love songs

This week end: My unforgetable love songs

Enzi za mabreka sio vunja mifupa na naughty by nature hiphop ree oo ree oo
Umenikumbusha mbali kaka zangu walikuwa wanaenda parm beach clab kushindaba kucheza break dance daah nilikua mduchuu
 
Enzi za mabreka sio vunja mifupa na naughty by nature hiphop ree oo ree oo
Umenikumbusha mbali kaka zangu walikuwa wanaenda parm beach clab kushindaba kucheza break dance daah nilikua mduchuu
naamini kabisa hata kunanihii ulikuwa bado,yani namaanisha kuanza kusoma chekechea
 
twisted by keith sweet
all i have by j lo
try sleeping with a broken heart by alicia keys
 
Heaven sent-keyshia cole,my fav..
Wait for you-Elliot Yamin
 
At least - Kelly Price
I am your woman - Syleena Johnson
Soon as I get home - Tupac
 
Mv mapenzi, meli ya wapendano
moyo kama bahati, manahodha mimi na wewe
duniani kuna mengi, sawa sawa na bahari, kuna papa na nyangumi tena wale wa hatari
hawataki kuiona meli yetu bahatini, watafanya kila njia wagupishe safari.....:bange::bange::bange:
Mzee Sikonge
 
Last edited by a moderator:
Mimi nikiwa na maumivu ya moyo kutokana na masuala ya mahusiano au mengine napenda kusikiliza
"Where do broken hearts go" wa Whitney Houston.
Pia wimbo wa zamani wa Atlantic Stars uitwao
" Secret Lovers" unanikosha sana.
 
daah vitu vitamu sana vile; Don williams~Lord I Hope This Day Is Good...I will be missing you~P diddy .
 
Red Light Special-TLC
I will Make Love to You.-BOys II Men

ehehehe hutu tunyimbo huuuuuutuh!
bas tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom