Sidhani kama Kylie ana wimbo wenye jina hilo kwenye catalog ya nyimbo zake.
Duet ninayoikumbuka mimi ambayo ilibamba sana ni 'Especially for You' aliyoiimba na Jason Donovan. Kylie na Jason walikuwa pia nyota kwenye soap opera ya Neighbours.
Halafu cheki jeans zao...enzi hizo acid wash na stone wash ndo zilikuwa kwenye chati.
hahahahaHahaaaas Mapi yote sawa tu umenikumbusha mbali mno enzi za.JUMA KAKERE na SINTA ambaye aliact kama BETTY
Mkuu kuna nyimbo ilitoka miaka ya 96 nafikiri. Ssikumbuki title ila chorus ilikua inasema " I get knocked down,but I get up again you never gona keep me down x 2" sijui unaukumbuka. Sababu design you like an encyclopedia of oldies!
Say I love u but I lie _Michael Borton
Kwa hili nahisi kama unafall kwenye category ya mademu wengi masistaduu wa kibongo, amabao ukiwauliza kama wana boy, husema hawana walio nae yuko majuu....!
Ila sista maandishi yako hayakuhararishi uwepo kwenye hiyo category ya masista duu uchwara, u seems decent, lovely, romantic and sweet.
Don't jst get me wrong boo!
KOMANDO HAMZA KALALA nimekusamehe lakini sitakusahau
kuna ule ubeti unasema hivi:
Nimekusamehe lakini sitakusahau
visa ulivyonitendea kalala eeh eeh
ulinikana wakati nina shida
ukasahau yote tuliyofanya mimi nawee
wakati unaelewa hakuna bingwa wa shida
leo nakukumbusha shida ujana hupitaa
yaliyopita si ndwele tugange yajayo maamaaa
kweli nimekusamehe lakini sitakusahau....!
HUU UBETI UNA MSG ISIYOCHUJA
hahaUmenikumbusha mbali niliwahigi kumtumia My BF title ya huo wimbo
"I said I Love you but I lied"....wacha apanick hapo hajashtuka kuwa ni wimbo
anaanza kuniuliza kwa nini sijui nini...kuja kushtuka baadae
haha
kipindi cha analogia??
sio hii ya wabana pua sikuhizi kero tupudu kweli bongo fleva za mwanzoni kabisa
hahaa sa baadae alivong'ang'ania kwa nini nikamwambia
This is more than Love I feel Inside.........
nikamtajia kuwa ni wimbo ausikilize vizuri
ushawahi kuwa dj au ushafkria hlo?