This week end: My unforgetable love songs

This week end: My unforgetable love songs

HAFSA KAZINJA-MASHALLAH
mashairi yake mojawapo ni

nilitokwa na chozi
walipokusema wazushi
eti kwanini waishi nami sina uzazi.......
sikuwajali kwani mpenzi hukuwaamini....
ulinifariji yalaaa aah mashallah...

mpenzi mwenye huruma mpenzi mwenye mapenzi ya kweliii
yalaaaaa aah MASHALLAH
 
Ndugu/wanachama/wakuu wa hapa idadi yao inakaribia laki mbili, na hapa MMU idadi ya wachangiaji ni wengi sana, sasa nashindwa kuelewa, kwanini michango katika huu uzi haijafikia hata elfu moja, wakati hali halisi ya maisha yetu mapenzi ndio yametawala, na katika maisha yetu ya kila siku, watu wamepitia/walipitia hali tofauti tofauti. Siamini kama kuna watu ambao tokea walipoanza mahusiano hawajawahi kukutana na vikwazo.
Lengu langu, nataka tuuendeleze huu uzi. Leteni vibao vinavyowakumbusha enzi zenu, iwe kwa raha au shida ikiwa imelenga katika mchepuo wa mapenzi
 
[video=youtube_share;wNJP6RH35jI]http://youtu.be/wNJP6RH35jI[/video]
 
Ndugu/wanachama/wakuu wa hapa idadi yao inakaribia laki mbili, na hapa MMU idadi ya wachangiaji ni wengi sana, sasa nashindwa kuelewa, kwanini michango katika huu uzi haijafikia hata elfu moja, wakati hali halisi ya maisha yetu mapenzi ndio yametawala, na katika maisha yetu ya kila siku, watu wamepitia/walipitia hali tofauti tofauti. Siamini kama kuna watu ambao tokea walipoanza mahusiano hawajawahi kukutana na vikwazo.
Lengu langu, nataka tuuendeleze huu uzi. Leteni vibao vinavyowakumbusha enzi zenu, iwe kwa raha au shida ikiwa imelenga katika mchepuo wa mapenzi
The coconut band-LALA SALAMA

Lala lala salama
jua limekuchwa usiku umeingia
njoo mpenzi wangu tukalale salama

wimbo huu unanikumbusha wayback 1996 mpaka wa south afrika na zimbabwe BEITBRIDGE, na mphiwe R.I.P mtoto wa kizulu, kweli udongo unakula vingi
 
AL SHARPTON huu wimbo nikumbushe kumbe kaimba nani vile?

Huu wimbo kaimba nguli mmoja wa kudance anaitwa Stanley Kirk Burell a.k.a MC HAMMER au King Hammer. Unakumbuka wimbo huu? 'You can't touch this.'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom