Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Red Light Special-TLC
I will Make Love to You.-BOys II Men
ehehehe hutu tunyimbo huuuuuutuh!
bas tu!
Mmmmhhhh!!
Red Light Special-TLC
I will Make Love to You.-BOys II Men
ehehehe hutu tunyimbo huuuuuutuh!
bas tu!
Mv mapenzi, meli ya wapendano
moyo kama bahati, manahodha mimi na wewe
duniani kuna mengi, sawa sawa na bahari, kuna papa na nyangumi tena wale wa hatari
hawataki kuiona meli yetu bahatini, watafanya kila njia wagupishe safari.....:bange::bange::bang e:
Mzee Sikonge
Mmmmhhhh!!
naamini kabisa hata kunanihii ulikuwa bado,yani namaanisha kuanza kusoma chekechea
Ushawahi kuwa Dj au ushafkria hlo?Bys 2 men- end of the road bys 2 men-On bended knees My all -mariah carey hero -mariah carey I'd rather- luther vandross Lady- Kenny Rogers
natafuta cd ya BIEVENIE GATHO
Kwa walio mbali na Wapenzi wao, poleni sana ila msivunjike moyo.
Brandy anakuja na kibao kilichoandikwa na Bruno Mars kiitwacho LONG DISTANCE.