The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
wapi nimesema kama mimi ni political analyst wa JF?

you didn't I did; you just didn't agree with my candid observation. From what I have seen in you writings, you definitely qualified member of that group which you created.
 
you didn't I did; you just didn't agree with my candid observation. From what I have seen in you writings, you definitely qualified member of that group which you created.

whyso.jpg
 
Katika hotuba yake ya kwanza Bungeni 2005, Kikwete alisema kuwa moja kati ya mambo atakayoyashughulikia ni financing of political campaigns (aliitoa kama ahadi).

Inawezaa kuwa alilisema hili huku akijua kile kilichofanyika kwenye EPA katika kampeni zilizopita.
Katika hotuba ya mwezi uoliopita, miaka miwili unusu tangu atoe ahadi ya kwanza, amelirudia tena in the for, opf ahadi ya kuliangalia tena.

basing on that, nadhani tunazugwa kwa sababu huwezi kutoa ahadi, halafu baada ya miaka miwili unusu, urudi tena kutoa ahadi ile ile bila kuonyesha hata hatua za awali za utekelezaji wa ahadi hiyo uliyoitoa mwanzoni.

Lakini tunapoanza kuliangalia hili, ni vema tukajiuliza, kama alivyohoji Mwanakijiji, tunao mfumo wa campaign financing?
 
It is a reality, almost a fact that CCM will have a massive win in general elections 2010!

Yes I have been one of the pundits criticizing CCM leadership and especially President Kikwete and the alleged Mafisadi, but I have to be realistic, is there a chance opposition can take over the Union Government? The answer is No, however, Opposition will win Zanzibar 2010!

For CCM to fall apart and loose 2010, the following must happen:

1. Opposition should unite and form one party.
2. Opposition must stop dependeing on Ruzuku as way and means to exist
3. Opposition needs new leadership and faces that are yet to be tarnished and compromised by CCM or the way Mtikila and Rostam deal
4. CCM fails to calm the unrest from CCM Visiwani on Muungano and Nchi issue
5. Watanzania to have change of heart and ignore CCM, however this is hard and it kind of brings me on specifics of why CCM will win.

CCM will win by;

1. Overhauling the arty image especially wagombea udiwani na Ubunge. There going to be a lot of new faces in 2009-2010 elections. Gone will be the old faces and hence Wananchi will be dillusional to see new faces forgeting that it is the same party. Part of this strategy is to rid of those who are a burden, however they will remain behind the scene to make sure their own people the new faces are fielded so that they can protect the chama. This means Mafisadi wataendelea kupeta!
2. Accomodating Zanzibar needs for Muungano issue and new katiba
3. A massive clean up in the government and CCM leadership, however this will be cosmetically done to ruse wananchi in believing that Chama kimejisafisha
4. CCM will not use any ufisadi deals, it will win clean hands down! Sadly we are waiting for another scandal, but these will befirst fair elections and CCM will come out on top. Problem is that Opposition is still not strong enough and is yet to sell itself to Wananchi and offer alternative means and better programs than CCM.
5. Wananchi are still having faith with CCM. CCM Propaganda machine has already started its work, the only matching forces is CUF and only in Zanzibar. CUF has strong loyalty in Pemba and is now spreading to Unguja. In the mainland, opposition is too weak to put up a fight.

For anyone looking for changes in Tanzania political spectrum they should start planning for 2015 and 2020, it will be a miracle if 2010 will be the year of change! If any, the changes will come from CCM itself and not through opposition!

Wandugu;

Nimekuwa kimya kidogo nikitafakari Tanzania ya baadae. Sipati jibu. Nimetembelea karibu mikoa 21 ya Tanzania. Kujichanganya na watu mi nimwepesi kiasi unaweza jua tumetoka wapi tupo wapi na tunaelekea wapi.

Rev. Kishoka nakubaliana nawe kwa asilimia nyingi. Nikiangalia jinsi tunavyoweka mabandiko hapa na ninapokunywa ka bia kangu huku mikoani naona what you said is right but might not be right if we think other way round. Mimi sina chama na sitaki kuwa na chama ila CHADEMA ikisaidiwa itaweza kuleta changamoto ya kutosha naiombea kwa Mola. Kama kuna mkakati maalumu wa kuokoa hii nchi wale ambao wanauwezo waende mbele. Nina sikitika jinsi ambavyo watu wanaenda na siasa za majitaka na sisi wengine humu tuna bebwa tu na tunakubali.

Kwa kaujuzi kangu kadogo ka research na vijihesabu vyangu vya pale Mkwawa naona matatizo ya nchi hii ni ELIMU. Kuna watu wanaamini elimu ni kuwa na cheti na tunaendelea kuaminishwa hivyo. Mfano mgombea urais lazima awa na digrii. mtu amasomea Digrii ya Uchumi badala ya kufanya kazi za kichumi hata za uteller anaenda kuhubiri au kulima baada anakuwa Rais, eti ni msomi na mambo yanaenda hivi hivi mpaka huku chini. Hapa maana yake ni nini? Niliposikia watu wanashabikia eti muungwana kafanya vizuri kupeleka EPA kwenye kilimo watu wanaandamana jamani hivi hii ndo nini? Hakuna mtu ambae angekataa hata 100% ya budget iende kwenye kilmo lakini taratibu zifuatwe. Kuna ushahidi mwingi kuwa elimu yetu ni cheti tu lakini hatuelimiki, mfano shule za kata. hapa tunatengeneza nini? Kuna kashule kapo hukoooo na nilikataa kata kata kuchangia mbele ya DC. Hivi tukasema tuweke mkakati tujenge shule moja kila wilaya ikawa kama mkwawa na ikawa nyumba za waalimu, miundombinu na waalimu wenye sifa si tunapata elimu bora? Hawa jamaa wanataka tuwe na vyeti tu bila uelewa. na makakati ndo huo na tuamke sasa. Technologies are coming in but nani anauwezo wa kuhoji? Kwani tunauelewa gani? najamaa wanatumia hii loophole kujijenga na kujiimarisha. Ukiwa na uelewa unaweza kupanga mipango ya muda mrefu na mfupi. Tukawa wajalishaji badala na kuwa wataalamu wa kutumia. Tukiwa na uelewa tunaweza kufikiri, kuhoji, kuamua, kuimarisha, kupinga na kupanga kwa mapana, marefu na mafupi tukiwa tayari kuvumilia.

Lakini mtindo huu ndio unaondolewa kwenye akili zetu tubaki tunashabikia matukio kila asubuhi pamoja na majengo mazuri yasiokuwa na tija. Namkumbuka sana rafiki yangu aliyekuwa anataka kuleta umeme wa jua wenye uwezo wa kuzalisha MW 500 eti kwa kuwa anarafiki pale posta karibu na wizara husika.

Heko HAKI ELIMU. Tuendee kupambana kwa jinsi tunavyoweza. No matter what lakini siku wakielewa hii nchi itakuwa rahisi sana.

Amen
 
Heshima mbele wakulu

Nipo hapa mbele yenu nikijiuliza maswali mengi bila ya kupata majibu ya uhakika.Hivi hawa viongozi wetu wa CCM wanazidi tu kutupeleka kwenye umaskini kila kukicha hawana wanalotuwazia wananchi wa nchi hii hawana huruma hata chembe hebu fikiria:

1. Kiteto wametumia kiasi kisichopungua milion 700/=

2.Tarime kufuru kiasi kinachokadiriwa kitafikia Billion 2/=

Hebu tujiulize jimbo dogo tu kama Tarime kufuru yote hiyo wapiga kura laki moja na arobaini sasa mwaka 2010 watakomba hazina yetu yote kupeleka kwenye kampeni tunakadiria ka Trilion 3 na ushee hivi ili tu wachukue majimbo yote CCM.

CCM mtapata laana mwogopeni Mungu Tuhurumie Wananchi.
 
Heshima mbele wakulu

Nipo hapa mbele yenu nikijiuliza maswali mengi bila ya kupata majibu ya uhakika.Hivi hawa viongozi wetu wa CCM wanazidi tu kutupeleka kwenye umaskini kila kukicha hawana wanalotuwazia wananchi wa nchi hii hawana huruma hata chembe hebu fikiria:

1. Kiteto wametumia kiasi kisichopungua milion 700/=

2.Tarime kufuru kiasi kinachokadiriwa kitafikia Billion 2/=

Hebu tujiulize jimbo dogo tu kama Tarime kufuru yote hiyo wapiga kura laki moja na arobaini sasa mwaka 2010 watakomba hazina yetu yote kupeleka kwenye kampeni tunakadiria ka Trilion 3 na ushee hivi ili tu wachukue majimbo yote

CCM CCM mtapata laana mwogopeni Mungu Tuhurumie Wananchi

Haya yako ni machozi ya samaki. Hata ukitoa kilio hakuna wa kukusikiliza.
Subirini mwokozi anazaliwa.
 
Source pls
 
Source pls

mi naseme ccm wamelaaniwa kwa vitendo vyao viovu, watakula lakini hawatashiba, watalala lakini hawatapata usingizi, wataanguKA mmojammoja mpaka wataisha, watavurugana wenyewe kwa wenyewe bila kuchonganishwa na mtu, machozi yetu hayatapotea bure! chukueni kila kitu majimbo yote na matokeo yake uchumi utaendelea kuporomoka na mtakuwa ombaomba kila kunapOkucha mtasafiri, aibu itakuwa juu yenu kwani mna mashamba mazuri, dhahabu na kila kitu wanachokitamani wazungu ila hamtaisha kuganga njaa!
AIBU I JUU YENU ENYI CCM MLIOSHINDWA KUENDESHA NCHI KWA KUENDEKEZA UFISADI LAANA ZITAWAFUATA HATA KABURINI NA HII NI MPAKA KIZAZI CHA TANO NA CHA SITA! MTATAPATAPA KAMA SAMAKI ALIYEKOSA MAJI! MTACHUKUA MAJIMBO KWA NGUVU MTASHINDWA KU PRODUCE NA ULIMWENGU WOTE UTAJUA UZEZETA WENU.
 
Hapo kuna watu wanajisafisha ndo maana wamemwaga fweza hizo wameacha kuwajengea barabara,zahanati,mashule na kuwakopesha walalahoi wao ndo kwanza wanazifuja fweza hizo watakuja zikumbuka.
 
mi naseme ccm wamelaaniwa kwa vitendo vyao viovu, watakula lakini hawatashiba, watalala lakini hawatapata usingizi, wataanguKA mmojammoja mpaka wataisha, watavurugana wenyewe kwa wenyewe bila kuchonganishwa na mtu, machozi yetu hayatapotea bure! chukueni kila kitu majimbo yote na matokeo yake uchumi utaendelea kuporomoka na mtakuwa ombaomba kila kunapOkucha mtasafiri, aibu itakuwa juu yenu kwani mna mashamba mazuri, dhahabu na kila kitu wanachokitamani wazungu ila hamtaisha kuganga njaa!
AIBU I JUU YENU ENYI CCM MLIOSHINDWA KUENDESHA NCHI KWA KUENDEKEZA UFISADI LAANA ZITAWAFUATA HATA KABURINI NA HII NI MPAKA KIZAZI CHA TANO NA CHA SITA! MTATAPATAPA KAMA SAMAKI ALIYEKOSA MAJI! MTACHUKUA MAJIMBO KWA NGUVU MTASHINDWA KU PRODUCE NA ULIMWENGU WOTE UTAJUA UZEZETA WENU.

Source pls...
 
Heshima mbele wakulu

Nipo hapa mbele yenu nikijiuliza maswali mengi bila ya kupata majibu ya uhakika.Hivi hawa viongozi wetu wa CCM wanazidi tu kutupeleka kwenye umaskini kila kukicha hawana wanalotuwazia wananchi wa nchi hii hawana huruma hata chembe hebu fikiria:

1. Kiteto wametumia kiasi kisichopungua milion 700/=

2.Tarime kufuru kiasi kinachokadiriwa kitafikia Billion 2/=

Hebu tujiulize jimbo dogo tu kama Tarime kufuru yote hiyo wapiga kura laki moja na arobaini sasa mwaka 2010 watakomba hazina yetu yote kupeleka kwenye kampeni tunakadiria ka Trilion 3 na ushee hivi ili tu wachukue majimbo yote

CCM CCM mtapata laana mwogopeni Mungu Tuhurumie Wananchi

Taja wachangiaji Jeetu Patel, Yusufu Manji, Rostam Azizi, Mohamed Enterprises, Bharessa, Jonson Lukaza, Malegesi, Chenge, Mramba, Vilman wa Serengeti Brewaries, DT dobie, Subash Patel, Edward Lowasa, Karamagi (sijui kama siku anachagia maana 2005 alichangia ile mbaya na kwa sasa sijui kama anajiamini tena kisiasa), Njake wa Arusha, na list yote ya EPA members ambao nimewasahau hapa. Tena kwa sasa ni lazima wajipendekeze ile mbaya.
 
Haya yako ni machozi ya samaki. Hata ukitoa kilio hakuna wa kukusikiliza.
Subirini mwokozi anazaliwa.

Wapo wengi wanazaliwa na watazaliwa tu yako macho Hata Mbeki hakuamini yaliyomtokea ndio maana akashindwa kuhudhuria kwenye kuapishwa kwa Motlante, Mugabe je sasa hivi wapo nusu nusu haamini
 
Source pls...

Wachangiaji wengi tu malumbano kati ya Tossi.Slaa na Msekwa hukuyasikiliza jana Channel 10. Kwa taarifa yako Msosi,Maji hadi kuni za kupikia wanachukua kwa Zakaria na Gachuma na Tossi kakubali - Mkamata fungu Cashier Komredi Makamba
 
Haya yako ni machozi ya samaki. Hata ukitoa kilio hakuna wa kukusikiliza.
Subirini mwokozi anazaliwa.

Machozi ya samaki yana chumvi.
Kila samaki katika dimbwi akilia mtindo mmoja dimbwi litajaa chumvi,vyura watadhani dimbwi limegeuka bahari wataruka nje.

Kilio cha samaki si bure pale chozi litokapo katika kila jicho la samaki.
 
Taja wachangiaji Jeetu Patel, Yusufu Manji, Rostam Azizi, Mohamed Enterprises, Bharessa, Jonson Lukaza, Malegesi, Chenge, Mramba, Vilman wa Serengeti Brewaries, DT dobie, Subash Patel, Edward Lowasa, Karamagi (sijui kama siku anachagia maana 2005 alichangia ile mbaya na kwa sasa sijui kama anajiamini tena kisiasa), Njake wa Arusha, na list yote ya EPA members ambao nimewasahau hapa. Tena kwa sasa ni lazima wajipendekeze ile mbaya.

Hakuna aliyechangia kati ya wote ulio wataja, roho zao zimekunjana kuliko korosho za Mtwara.
Fedha hii yote inachotwa kutoka serikalini.
 
Yanayotokea hapa USA ndiyo yatakayotokea hapo bongo...Hata haya yote yanayotokea nilishawahi kuyasema huko nyuma.

Kuhusu wale wanaowanyonya wananchi...Always wana mwisho na migodi yote na utajiri wa wananchi waliojimilikisha watanyang'anywa na wananchi...Its just the matter of time na kama wanataka kuwa upande mzuri wa historia basi wanajuwa cha kufanya..Kwanza warudishe mali za Taifa halafu mengine baadae.

Waliohujumu uchumi pia wawajibike kabla ya vurugu ambazo zitaturudisha nyuma zaidi kimaendeleo.
Tuna vita kwanza dhidi ya ujinga, maradhi nk.

Sasa tukianza kujenga matabaka na wengine kumiliki njia kuu za uchumi na kuwanyonya wananchi kama ilivyokuwa wakati wa ukoloni na utumwa mnategemea nini?
Masatu unaweza kunijibu?
 
Hivi hawa CCM kuna wakati wanakaa na kumuogopa Muumba kwa matendo na vitendo vyao viovu ?
 
Back
Top Bottom