The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
Kwa kweli nimeona nitoe hii habari hasa kwa hao viongozi wa chama huyu bwana kawafanyia nini jamani!!!ndugu john shibuda amesikika akilalamika jinsi anavyoishi kama mfungwa katik chama chake anachokipenda,habari zaidi ziansema shibuda alilalamika hayo baada ya kuondlewa katika kamati!!alipotaka kugombea kwenye jumuiya ya wazazi!

Ni kweli niko chamani nahisi kama mfungwa wa kisiasa kila nilnalotaka kufanya kukitumikia chama changu nakumbana na vizingiti toka kwenye kamati,hizi NAJUA tatizo langu ni kugombania urais,lakini si tatizo na nwatangazia kabisa wajitayarishe 2010 niko kwenye uchaguzi wa rais tena naomba niwatangazie mapema,,ebu angalieni kila ukigombea mtu unakumbana na vijikamati kamati,what is kamati?

ni basi tu nakipenda chama changu,ila kimejaa majungu tupu,,
SRC:MWANACHI
POLE NDUGU YANGU:::SOLN UNAIJUA
 
kwani kutumikia chama lazima uwe kiongozi? Mbona sisi wengine tunatumikia chama bila kuwa viongozi? ina maana anataka kutuambia na sisi ni wafungwa ndani ya Chama? Huyu anaonesha kuwa lengo lake ni kuwa kiongozi, kwa mtaji huu anatakiwa kuwekewa viulizo.
 
Mama Mia,
unaweza kuiweka hii habari kwa ukamilifu, nina maana yote kama ilivyoandikwa. Nimejaribu kuiangalia toka kwa Mwananchi sijaipata. Tuwekee habari yote tafadhali.
 
Mkuu nipe muda kidogo nimeiacha ofisini!!!mkuu ilikuwa kwa ndani mkuu pg nafikiri pg no 4.ntailet mkuu....
 
kwani kutumikia chama lazima uwe kiongozi? Mbona sisi wengine tunatumikia chama bila kuwa viongozi? ina maana anataka kutuambia na sisi ni wafungwa ndani ya Chama? Huyu anaonesha kuwa lengo lake ni kuwa kiongozi, kwa mtaji huu anatakiwa kuwekewa viulizo.

Swadakta! Kuna watu wanadhani wamezaliwa kuwatawala wenzao na wakikosa hizo nafasi inakuwa nongwa!

Shibuda ni contraversial figure kila siku anakwaruzana na wenzio katika kada za kiwilaya na mkoa. Hii habari ya kugombea urasi ni unafiki tu kwani si aligombea 2005 na akashindwa viweje anajiona kuwa ni tishio 2010 huko ndio kukomaa kwa demokrasia ndani ya chama agombee tu mikwara ya nini?

Hawa ndio wanasiasa wa magazeti...
 
Kwa kweli masatu haya mambo ni ya ajabu sana ,kwanza nafikiri alitakiwa akawakilishe matatizo yake kichama adala ya kulalamikia magazetini labda atapata masaada kwenye hizi kamati ,,,,mi nashauri wanakamati mzidi kukomaa tu ,na shibuda we komaa ndugu yangu usikate tamaa ila kwa 2010?mhhhhh!

ukipata mwanya sasahivi kumbuka kuiba vyema ila usisahau kuacha nusu kwenye acc ya jina lisilo lako ziweze kutolewa kama mdhamana incase ,kama hutopata uraisi 2010!!
kila la kheri kaka yangu!!!
 
Ndio wengi wa wana CCM wanadhani wao wameumbwa ili waje kuwaongoza wenzao ni wengi wapo wa aina ya Shibuda akikosa uongozi lazima anze kuponda...

Kama haja yake ni uongozi si amepata ubunge hautoshi ndio hao unapewa nyazifa kibao mwisho wa yote unashindwa kufanya kazi...Kupenda misifa tu na ubinafsi hakuna lolote...
 
Huyu analalamika nini wakati anakijua chama chake kilivyo?Kwani lazima ateuliwe yeye kugombea nafasi hiyo?
Huyu mwaka jana si ndiye aliyeripotiwa na mgosi Makamba kuwa anakigawa chama chao huko Maswa?poor shibuda

Hata kama atagombea urais 2010,mbona mchujo utapitia tena katika kamati hizo hizo.
 
swadakta! Kuna watu wanadhani wamezaliwa kuwatawala wenzao na wakikosa hizo nafasi inakuwa nongwa!

Shibuda ni contraversial figure kila siku anakwaruzana na wenzio katika kada za kiwilaya na mkoa. Hii habari ya kugombea urasi ni unafiki tu kwani si aligombea 2005 na akashindwa viweje anajiona kuwa ni tishio 2010 huko ndio kukomaa kwa demokrasia ndani ya chama agombee tu mikwara ya nini?

Hawa ndio wanasiasa wa magazeti...

lakini pia hakuna watu walioumbwa kuwazuia wengine kugombea uongozi kwa kuwawekea kamati za mizengwe
 
kwani kutumikia chama lazima uwe kiongozi? Mbona sisi wengine tunatumikia chama bila kuwa viongozi? ina maana anataka kutuambia na sisi ni wafungwa ndani ya Chama? Huyu anaonesha kuwa lengo lake ni kuwa kiongozi, kwa mtaji huu anatakiwa kuwekewa viulizo.

ukiachana na mambo anayoyataka shibuda (uongozi)..lkn ukweli ni kwamba hicho chama kina wenyewe wengine ni wasindikizaji tuu, toka tumezaliwa ni kingune.. kikwete,, sijui malechela sijui mkapa , mramba ndo kabsaaaaaaaa.....kwani hakuna watu wengine??????
 
“Mimi napenda kukiri utaratibu wa kupanga mchujo, ulikuwa wa uwazi na ukweli bila nongwa toka kwenye vikao vya maandalizi ya vikao, Kamati Kuu, Halmashauri Kuu (NEC) hadi Mkutano Mkuu.

“Sisi wagombea wote ambao hatukupata uteuzi, tumpongeze Mheshimiwa Mkapa kwa maneno yenye maono kwa maslahi ya CCM japo ni machungu kama Mwarobaini kwa sisi sote tuliokuwa na mategemeo sawa ya kupata,” alisema. (John Shibuda,Peacock Hotel,May 2005)
 
Ah! watu wengine kwa kulalamika! sijui wakoje. Hawa ndo akina Lyatonga, bila kuwa viongozi hawasikii raha. Anajua hata hiyo 2010 hana chake ndo maana anaanza kelele sasa. Mi namshauri akaanzie ngazi ya balozi wa 10x10. Atapanda chat mpaka afikie urais.

Kutumikia chama sio lazima uwe kiongozi. Kama wote wangetaka kuwa viongozi nani angeongoza mwingine. Ni lazima tukubali kuongozwa na wale walioonwa na wengi kuwa wanafaa kuongoza sio yule mwenyekufikiria kuwa ni lazima awe kiongozi.
 
Nina kijiswali kidogo, Shibuda siku hizi kaacha kale Ka-walwa konyagi? Na je ametoka au bado yumo UWT? Na ile tifu na jiraniye wa Bariadi bwana vijisenti imeeishia wapi? Otherwise people knows what is imminent!!! OR read as "Pita kwa uangalifu Matengenezo ya barabara yanaendelea"
 
Kwisha habari zake. Wameshamntengeneza kuanzia huko kwao Maswa na anajua fika kuwa hapati tena ubunge. Anachofanya sasa ni kutapatapa
 
ukiachana na mambo anayoyataka shibuda (uongozi)..lkn ukweli ni kwamba hicho chama kina wenyewe wengine ni wasindikizaji tuu, toka tumezaliwa ni kingune.. kikwete,, sijui malechela sijui mkapa , mramba ndo kabsaaaaaaaa.....kwani hakuna watu wengine??????

1. Vyama vyetu vya siasa, vyote bongo, hakuna sheria au katiba inayokataza viongozi wake kutogombea uongozi baada ya muda fulani, ndio maana kwa muda mrefu sasa viongozi wake wamekua ni wale wale, kuanzia CCM, Chadema, mpaka CUF.

2. Shibuda:- A longtime friend, ninamkumbuka sana enzi zile bongo imevaa jeans, yeye alikuwa akipiga masanga tu pale Kilimanjaro Hotel, kila siku tulikuwa tunajiuliza anapata wapi pesa maana hakuonekana kuwa anafanya kazi mahali, ndipo baadaye tukamshitukia kua ni mtu wa serikali.

- A good man, lakini nina wasi wasi sana na skills zake kiuongozi, a very outspoken man lakini siku zote ukisoma maneno yake huwa hayana substance, kwa muda mrefu sana sasa amekua akililia nafasi ya Wazazi hata CCM huwa hawaelewi the mystery ya Shibuda na Wazazi, I mean kuna wakati aligombea na Idd Simba, aliposhindwa akaleta mtafaruku mkubwa sana hata CCM ya Mkapa walitaka kumfukuza chama, lakini akaokolewa na Chenge rafiki wa Mkapa,

- Kwenye uchaguzi wa rais 2005, again akaleta mtafaruku mkubwa sana Dodoma, kwa kujaribu kuwalazimisha wajumbe wa kaskazini wampigie mgombea wake tu, again CCM wakamuonya sana na ni kwa bahati bahati sana akaweza kupata ubunge, akadhani kwamba ukorofi wake utamsaidia kupata uwaziri,

Mimi binafsi zamani nilikuwa ninamuaminia sana kwamba huenda akawa kiongozi makini, lakini nilibahatika kuyaona mafaili ya malalamiko yake against Idd Simba, ndio akanikatisha tamaa kuwa ni bomu la kutupa, kwa kweli Shibuda ni mkorofi mno na hasa akiweka masanga inakwua patashika sana, he does not stand for anything serious kwa wananchi au taifa, yeye ni yeye tu! Amekwua bungeni sasa muda gani je amewahi kusema nini cha maana kwa wananchi au taifa? Ana bahati kubwa sana kwamba anatokea mikoa ya kaskazini, ambako kuna some heavyweights wa CCM na serikali, othersiwe angetakiwa awe amefukuzwa chama siku nyingi sana, ni mkorofi na ni mtovu wa nidhamu kwa viongozi wake wakuu na chama pia, ingawa personally ni a good man.
 
Huyo ndio kashajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, come 2010 hata huo Ubunge CCM hawatampitisha kugombea. Labda akimbilie upinzani!
 
Sasa kwenye magazeti ya leo jioni, alasiri na dar leo, anetangaza kugombea urais 2010 kwa kupitia ccm.

Macinkus
 
CCM sio chama perfect kama vilivyo vyama vingine. Lakini tusikichafue CCM au tusivichafue vyama vingine kwa power ambitions za watu. Huo si uungwana, kuna taratibu za kugombea (safi na chafu) anaweza kutumia hizo. Sio kuanza kukuwa defensive sasa ili akishindwa(which is obvious) iwe kisingizio.
 
The way ninavyomjua huyu mkulu, nilitegemea kuwa by now angekua upinzani siku nyingi sana, nashangaa mpaka leo bado yupo CCM?
 
Back
Top Bottom