Nakubaliana na yote kasoro hili....
4. CCM will not use any ufisadi deals,it will win clean hands down! Sadly we are waiting for another scandal, but these will befirst fair elections and CCM will come out on top. Problem is that Opposition is still not strong enough and is yet to sell itself to Wananchi and offer alternative means and better programs than CCM.
Zamani wakati kweli CCM kilikuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi pesa ilikuwa kama ni taboo kwao.Kwanza ingetoka wapi?Ndio maana viongozi wa zamani wengi walikuwa ni 'watongozaji' wazuri kuliko wa sasa,kwa sababu hio zamani ndio ilikuwa ni silaha yao pekee.
Sikuhizi silaha imekuwa pesa,hata wale waliokuwa wazuri zamani now have turned their backs on that na wamegeukia pesa.
Pesa hiohio ndio imefanya CCM sikuhizi kimekuwa ni chama cha wafanyabiashara zaidi kuliko wakulima na wafanyakazi.Kubadilika kwa haraka kwamba kwenye uchaguzi ujao mambo yawe tofauti na washinde 'kihalali' ni kitu ambacho kila mtu anataka kusikia.Lakini at the same time tukumbuke kuwa hii ni nchi maskini,yenye viongozi maskini wanaotawala maskini kimaskini! Umaskini in its natural form unaleta ujinga,moja ya ujinga wetu huo sisi kama watanzania ni uwoga wa mabadiliko.Na hii ina historia ndefu sana,kuanzia kwenye kura za maoni whether we should adopt a multi party system or continue with single party,80% voted for the latter,wakati nchi nyingine zote opted for multi partyism.
Opposition has been with us since 1995.Uchaguzi ule tulishuhudia NCCR ikipata wabunge wengi,na Mrema kupata kura ambazo any observer would have said opposition ya Tanzania inaelekea pazuri.Fast forward that to 2005.NCCR is nowhere to be seen,Mrema huyohuyo alishagombea urais kwa kupitia chama kingine na kupata matokeo mabaya kufananisha na 1995,wengi waliokuwa ni wabunge wa NCCR wa wakati huo wamejiunga na CCM,thats within 10 years! CUF ni hao hao wanaogombea miaka nenda rudi,then wanatoa kilio hichohicho kuwa its time for change!Mimi huwa najiuiliza mwenyewe,what change! CCM has been extremely clumsy in its dealings,lakini nobody seems to take advantage of the situation.
Lowassa anazomewa Coco beach na vijana wa uswahilini..'fisadi...fisadi!' Lakini leo bado tunasikia kuna Kilokiro.Kwamba,kwa jinsi watanzania walivyo wajinga,Lowassa anaweza kusafishwa within 2 years na akagombea urais.Maana yake nini,maana yake CCM wanajua hata wakiweka punda pale atashinda tu.Nani leo atasimama aseme kuwa Lowassa will make a good president,waziri mkuu wa kwanza kujiuzuru kwa kashfa anataka kuwa the next president of this country! Only in bongo!
Hata wapinzani leo wakiungana sidhani kama kutakuwa na tofauti.Uchaguzi wa mwisho tumeona wakiachiana majimbo,was there any change?
Hapa pia inatakiwa chama kipya kabisa cha upinzani ambacho kita appeal kwa vijana.Post azimio la Arusha vijana.Hawa waje na mwamko tofauti,sio mwamko wa kutaka kuishinda CCM tu,bali mwamko wa kuleta mabadiliko.Hao vijana waliozaliwa baada miaka hio ni wengi sana.Viongozi wao pia wawe ni vijana hivyohivyo,sio kuwa na jibaba la CCM la zamani.Waanze taratibu,wasiwe na papara ya kutaka kushinda the next elections.Wawe na sera za kisasa zitakazowalenga vijana,ili ku attract vijana wengi kujoin chama chao.Waje na mwamko mpya kabisa.Hapo ndio kweli ntasema tutaanza kuona mabadiliko na mwamko mpya....real change
Back to the point kuhusu CCM kutokutumia pesa za kifisadi...CCM hawana miradi yeyote ya kuwaingizia pesa.They will end up depending on donations from big corporations,na at the end of the day these favours will have to be redeemed.
Thats my take,but otherwise Rev i concur with everything else u have written