Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 678
ipelekwe kule nnauliza hivi
1.M.Pinda
2.J.P Magafuli
3.S.Salim
4.Zitto Kabwe
5.Dr Slaa
6.Prof. Mwandosya
8.Idd Simba
Naomba tuwe na List ya Maana
Kwa kweli mtu kama slaa ni vyema angesubiri 2015 kwani hapo ndipo kutakua na changamoto kubwa na kama opposition wakielekeza nguvu zao bungeni kwa sasa itakua jambo bora zaidi.
Still we need him in the parliament.Pia kuhusu sula la elimu ya uraia opposition ndio wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa sapoti kwa NGO mbalimbali kwani CCM hawatafanya hivyo kwani hicho ni kiama kwao.
Sasa hivi ni takribani mwaka na nusu umebaki.Ni muda mchache sana umebaki kwa upinzani kujipanga na masuala kama muafaka nk ni masuala ambayo CCM pia wanayafanya ili kupoteza muda wa opposition kujipanga for the forthcoming election.Shame on them!
Mimi naona mtu anaefaa ni Salim Ahmed Salim.
Nna uhakika Salim akiwa raisi, atafanya mambo na mipango ya maendeleo itatekelezwa.
Atatengeneza mazingira mazuri kwa watanzania walio nje ya nchi kurudi nyumbani kurudisha ujuzi mbalimbali ambao wengine wameupata kwa kusomeshwa na fwedha za serikali na wengine wamechakarika wenyewe.
Hawa watasaidia sana kuindeleza Tanzania kwa kufuata sheria na utaratibu ambao kwa sasa vimewekwa kapuni na UFISADI unatawala.
Kwa wale wanaomfahamu vizuri alipokuwa Waziri Mkuu alibanwa kidogo na pale Wizara ya Ulinzi Upanga alipendwa kwa style yake ya kujua nini kinaendelea na kuna shida gani itatuliwe na mpaka akawa anaitwa mzungu.
Moja ya sifa kubwa ya kuishi na kufanza kazi nje (Ulaya Magharibi) ni pale ambapo "systems" zote zinafuatwa na ni "straight forward" na pia huwezi ukasema kwamba utaishi kwa kubangaiza.
Ntapenda kuona ndugu Salim anafuata mfano wa wa-Israel waliokuwa nje ambao wamerudi Israel na wameijenga Tel Aviv na inaonekana mfano wa Ulaya ya Mediterranean.
Nadhani tuangalie kwanza sifa za mtu anayefaa kuwa rais kabla ya kuanza kuangalia majina ya watu
Nasikia wakati wa kampeni ya u rais ni mtuu pekee ambaye alikuwa hamwagi mapesa na alikataa wadhamini mafisadi na ndio maana kushindwa .....inawezekana he was out of reality au aliamini CCM ni clean
CCM wampitishe Dr Shein kuwa mgombea upresident mwaka 2010 na Upinzani wampitishe Prof Lipumba!..... hili ni pendekezo tu.
CCM wampitishe Dr Shein kuwa mgombea upresident mwaka 2010 na Upinzani wampitishe Prof Lipumba!..... hili ni pendekezo tu.
1.M.Pinda
2.J.P Magafuli
3.S.Salim
4.Zitto Kabwe
5.Dr Slaa
6.Prof. Mwandosya
8.Idd Simba
1)tuanze na pinda...
mpaka sasa hana jipya alilolifanya, na hata huko nyuma hajafanya kitu cha kupelekea tumuite shujaa...hafai
2)john pombe magufuli...
ana kashfa ya kumuuzia mdogo wake nyumba, hivyo anaweza kuja kumalizia kuiuza nchi...hafai
3)salim a. salim...
alikuwa AU muda mwingi lakini je alifanya nini alipokuwa huko cha kuinufaisha nchi yake?...hafai
4)zitto kabwe...
ni shujaa, ila kwa sasa anatakiwa atafute viatu vya sokoine ndo aweze kutawala... tumpe muda wa kujijenga zaidi.
5)prof. mwandosya...
ni msomi namuheshimu, ila anautumiaje usomi wake kukemea maovu ya wadogo zake kielimu ambao wako nae katika zizi moja la CCM?...mwoga hafai
6)iddy simba...
sihitaji kumzungumzia, nadhani mnakumbuka kile kilichomfanya ajiuzuru uwaziri wa viwanda...hafai
7)DR wilbroad slaa...
nazani alishushwa toka mbinguni kuja kuongoza taifa hili, ni shujaa, sio mwoga, anakubalika, ni mtendaji, anajua mwongozo wa katika ya nchi, anajua sheria na hazipindishi, ana uelewa wa mapema, huyu anaweza kututoa shimoni tulikotumbukizwa...ANAFAA