The US $m 1 million dollars ni "Vijisenti"? & 5 million UK's Pounds, another "Vijisenti" tena in Tanzania? in Afrika? yaaani in East Africa? Waziri wa Tanzania, mwenye mshahara wa US dollars $ 1,500 kwa mwezi! Uwaziri ambao toka aupate ni miaka miwili tu? Yaani $ 1500 x 24 Months= jawabu ni "Vijisenti" $ 1,000,000 plus UK Pounds 5,000,000!
I mean huyu economic genius ni the best candidate wa urais wa the World Bank na IMF combained, sio waziri wa Tanzania,
Please take me to another planet! [/B]
Najaribu tu kulinganisha miaka alofanya serikalini na "vijisenti"
Let assume tangu alipoanza kazi miaka 30 iliyopita mshahara wake ulikuwa ni $1500 average.Sasa tuone anaweza kukusanya hivyo vijisenti kwa miaka mingapi,naassume pia kuwa katika mshahara wake hakugusa hata sentim tano zote alipeleka benki kuhifandhi.
$1,000,000 /$1,500 = miezi 667
Miezi 667/12 = Miaka 55 na miezi 7
Kwa mujibu wa hesabu hizo,huyu Mwizi Chenge ili aweze kuwa na limbikizo hilo kwa assumption nilizofanya alitakiwa awe amalitumikia taifa kwa miaka 55 na miezi 7 bila kula hata senti moja.
Kweli kifo cha panzi kimefika!
Kumbukeni kuwa huyu Chenge ndio mwenyekiti wa kamati ya maadili ya CCM.
Kama mwizi huyu anaweza kupewa nafasi ya kwenda kuangalia maadili ya wenzake ndani ya chama na kuyakemea hivi hapo kuna chama kweli?
Kwa moyo wa dhati kabisa nawaomba wana CCM waliopo hapa wawe wa kwanza kuhoji na hata kumtaka walau aondoke kwenye kamati ya maadili kama mwenyekiti na hata mjumbe kwa masilahi ya taifa.
Nchi hii kuna siku inaweza kulipuka kwenye list yetu ya mafisdadi tunaona timu inapungua kila siu hivyo huienda tukaweka wachezaji wa ziada kama 7 hivi karibuni stay tuned.
Pia tumeweza kumpata kocha msaidizi wa first 11 yetu hivyo huenda tukawa tunashinda kila wakati na kila mechi.
Na hapo kwa mujibu wa hesabu zako ni kwamba he was paid na kuweka bank na si kulipa kodi ya nyumba na kuishi maisha me ngine ama hii balance baada matumizi mengine ?
Chenge kufuru tupu, amiliki bilioni 25
*Amchotea kigogo bilioni moja
*Amwashia indiketa Ben Mkapa
Na Saed Kubenea
Follow the money....source http://www.halihalisi.co.tz/08/04/16/
Chenge anasema hawezi kujiuzulu, kwa kuwa hayo mambo yanachunguzwa
halafu kama hamjawagutukia hawa jamaa wanaendesha mchi kama vile wanaigiza tamthilia, manake lilikulupushwa la buzwagi, likaja sijui la balali, mara likaja la richmond, mara tena likaja sijui la nani mungu wangu na sasa limekurupushwa hili la chenge, sasa jinsi watanzania walivyo oya oya wataamshiwa jingine na hili watalisahau...amini maneno haya