The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Jamani mimi ninaomba niambiwe hasa kazi na majukumu ya chomo kama USALAMA WA TAIFA.Namwonea huruma JK kwa kutujua watu wanaomzunguka.
 
Mimi najiuliza watu wa usalama wako wapi, au nielimisheni kazi yao ni nini???. si nikufichua maovu??? anyway kwa kuwa wanafanya kazi kwa siri sana labda wapo kazini, lakini mashaka yangu ni mpaka wananch au vyombo vya nje viseme ndo unaona kuna hatua zinachukuliwa, hapa si bure naona mkubwa aliambiwa na wakubwa wenzake toka UK kuwa wanataka kuona hatua inachukuliwa bila hivyo hawatachangia bajeti inayokuja miezi miwili tu iliyobaki

Kwani hujui kuwa usalama ua taifa hawafanyikazi ya taifa ila wanafanya kazi ya kulinda maslahi ya mafisadi, kwanza tunahitaji maelezo yao ya kuhusika na kuchukua hela EPA
 
mama mdogo

Makosa ya Chenge ni:-
a) kutokuwa mkweli na juu ya mali anazomiliki kama Waziri
b) Kukosa uzalendo kwa kuziweka fedha hizo zote nje ya nchi, zilipaswa kuwa tanzania (NBC,CRDB etc) ila mzunguko wake uwafaidishe Watanzania.
c) Fedha hizo amezipata akiwa AG na Waziri wa miundombinu hali inayotiliwa shaka kwamba zinatokana na rushwa.

[B]Wana JF nisaidieni, huyu wa Tshs bilioni 1.2 benki huko JERSEY na huyu wa Paundi millioni 5 huko UK ndiye huyo huyo au ni mawaziri wawili tofauti? Mja mzito akisoma habari za ufisadi wa namna hii anaweza jifungua kabla ya muda wake kwa mshituko!!! Nawakilisha, naomba munisaidie majibu niondoe utata akilini mwangu, ufisadi huu unachanganya akili!!![/B]

ni huyo huyo
mama mdogo
 
Jamani mimi ninaomba niambiwe hasa kazi na majukumu ya chomo kama USALAMA WA TAIFA.Namwonea huruma JK kwa kutujua watu wanaomzunguka.

Are you sure hawajui watu wanaomzunguka au changa la macho??? Utawezaje kumpa mtu madaraka makubwa kama ya uwaziri bila kumjua? Don't tell me that JK is also shocked to hear the news!!!!!😱
 
Natamani wizara ya utawala bora ingeongozwa na Slaa.... ahh..kumbe ni mpinzani bana!!! sasa tuunde serikali ya mseto ili watu wawe serious kidogo
 
I am optimistic, najaribu kulitazama hili swala kwenye microscope, then nawaza jee hapa hakuna mtego wa kumshika Ben Mkapa? Naliangalia kwa karibu sana hili swala, then naleta all the future results into present.

Nadhani Ben ashajua kabisa kwamba this nightmare fix to backfire, nadhani Mh.Jakaya anaweza kumake crazy decisions kama CCM hawatamzuia kama walivyofanya kwa Rostam. I am optimistic, i nanusa harufu ya KAFARA, kuna mtu atachinjwa baharini. Sijaujua ni nani?

We will see.
 
[B]Wana JF nisaidieni, huyu wa Tshs bilioni 1.2 benki huko JERSEY na huyu wa Paundi millioni 5 huko UK ndiye huyo huyo au ni mawaziri wawili tofauti? Mja mzito akisoma habari za ufisadi wa namna hii anaweza jifungua kabla ya muda wake kwa mshituko!!! Nawakilisha, naomba munisaidie majibu niondoe utata akilini mwangu, ufisadi huu unachanganya akili!!![/B]

I guess ni Chenge huyo, lakini hili gazeti limemuweka kama unknown. Ukistahajabu ya musa utaona ya firauni
 
Kuna habari sasa hivi kuwa kafukuzwa kazi jana saa tano usiku. Hebu tutafute ukweli wa taarifa hizi.
Kafukuzwa??...Utaratibu ni kuandika barua kwa Rais maana ndiye aliyemteua ili dhamana yake apewe mwingine.Kama unakumbuka chenge walivomsakama alisema wamuulize Rais kwa kuwa ndo kamteua.
 
Jamani watanzania tusiwe watu wa ajabu mtu ana 5milioni pound kwenye account moja tunamfukuza anaondoka na pesa za umma.

Kabla ya kufukuzwa inatakiwa akamatwe mara moja na uchunguzi wa kina ufanyike.

Hizo pesa ndizo amekura baada ya kuuza nchi. Inawezekana kuna miaccount mingine ameficha baada ya mikataba mibovu anaweza kusaidia kujua jinsi nchi ilivyoliwa. Baada ya kugundua source hata makampuni yaliyohusika kama yapo Tanzania yashughulikiwe kwa sheria za tanzania.
 
1. Kuna mtu aliwahi kudai kuwa mama yake Chenge alikuwa mmoja wa wanakamati ya ufundi wa Mwalimu. Kwa hiyo huenda ameweza kuhimili vishindo kutokana na msaada wa mama yake. Inasemekana alikuwa pia akimsaidia Big Ben. Mjadala kama nguvu za giza zina nguvu au la ni mjadala mwingine.

2. Huyu jamaa alikuwa anautaka urais (sijui kama kwa hili atakata tamaa) japo akiwa kaimu kwa nafasi yake kama Waziri Mkuu, na alikuwa amejipanga kuwa Waziri Mkuu chini ya Mheshimiwa sana, almanusura-rais Fredrick Tulway Sumaye, mzee wa Kibaigwa na Havard mwenzie kama AC!

3. Bado naamini JK anawajua "marafiki-maadui" zake na hivyo amekuwa akiwalia mingo kwa sababu kwa siasa za Kiafrika ukiwatosa wazi wazi hiyo vita hutaimaliza. Hawa ndiyo walioshiriki kumweka madarakani. Na yeye madaraka alikuwa anayataka kweli. Anachofanya sasa ni ule msemo wa "Mchawi mpe mwana alee", na wakati huo huo akijifanya hajui kinachoendelea. Na pia atawatumia hao hao kujijengea umaarufu pale "anapowatosa".

4. Mnashangaa(?!) AC kuwa na fedha zote hizo wakati suti zake amekuwa akiagiza huko UK na kuletewa na DHL?

5. Anayefuata ni Kapuya au Rostam?

Yote kwa yote, bado nasubiri hiyo NEC maalum ya Mei.
 
Nakubaliana na Tundamne kwamba usalama wa taifa ni Fisadi number one.wameshiriki katika ufisadi mwingi pamoja na kuiba kura za CCM
 
analo huyo..na sasa limemshika pabaya..ila sitashangaa nikiona bado anaendelea kudunda serikalini
 
Jamani watanzania tusiwe watu wa ajabu mtu ana 5milioni pound kwenye account moja tunamfukuza anaondoka na pesa za umma.

Kabla ya kufukuzwa inatakiwa akamatwe mara moja na uchunguzi wa kina ufanyike.

Hizo pesa ndizo amekura baada ya kuuza nchi. Inawezekana kuna miaccount mingine ameficha baada ya mikataba mibovu anaweza kusaidia kujua jinsi nchi ilivyoliwa. Baada ya kugundua source hata makampuni yaliyohusika kama yapo Tanzania yashughulikiwe kwa sheria za tanzania.

Hili ndo swali ambalo najiuliza, hivi sheria inasemaje juu ya hili?
- Kwamba makampuni/wawekezaji walikuja wakawashawishi/collude viongozi wetu, na ushahidi ukawa wazi, mfano huyu Chenge, Je haiwezekani hizo kampuni husika zikachukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kuvunja mikataba hiyo kwa vile ilifanya udanganyifu /rushwa??
 
Mimi najiuliza watu wa usalama wako wapi, au nielimisheni kazi yao ni nini???. si nikufichua maovu???

Wee, nani amekwambia hivyo? Hawa kazi yao huonekana wakati wa uchaguzi CCM ikizidiwa kete, ndio maana wengine siku hizi wanawaita usalama wa CCM!
 
And still hakuna tamko rasmi la Chama wala Serikali............

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.........



PCCB tails Chenge


MILLION-DOLLAR MAN: The former Attorney General and currently senior cabinet minister, and (INSET) a component of the 70bn/- radar system, to which he has now been linked as a possible corruption suspect in its 2002 purchase by the government.
-Minister also confirmed as subject of impromptu twin raids of office and residence by radar deal investigators

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE government's anti-corruption watchdog is now in the process of investigating the source of the over $1m (approx. 1.2bn/-) discovered in offshore bank accounts controlled by the Minister for Infrastructure Development, Andrew Chenge.

According to well-placed sources, the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) will amongst other things seek to establish from Chenge himself how precisely he was able to amass such a huge fortune in his foreign bank accounts.

Although the PCCB Director General Edward Hoseah was yesterday not immediately available for comment, insiders have told THISDAY of the bureau's plans to request a 'written explanation' from the minister on the source of the money found not only to be in his possession, but in offshore bank accounts to boot.

The PCCB's move on Chenge is expected to be made once he returns home from an official trip as part of President Kikwete's delegation, now in Beijing for talks on strengthening bilateral ties and other matters with Chinese President Hu Jintao and his government.

The president and his delegation are scheduled to be back home by Saturday this week.

At the same time, government sources have also confirmed that Chenge was recently the subject of impromptu searches of his office and residence in Dar es Salaam, conducted by British and local investigators.

''Investigators from Britain's Serious Fraud Office (SFO) arrived in the country late last month (March) to help organize the twin raids on Chenge's office and home,'' a senior government official told THISDAY.

''The raids were aimed at looking for and securing documents which could link him (Chenge) directly to the radar issue,'' the official added.

It is understood that the SFO is working on clues that may prove that the million-dollar fortune found in Chenge's offshore bank accounts in Jersey originated from the UK arms manufacturer firm BAE Systems, which supplied the controversial 28 million pounds sterling (approx. 70bn/-) military radar system to the Tanzanian government in 2002.

At the time the highly-dubious deal was negotiated and concluded, Chenge was serving as attorney general and therefore chief legal advisor to the third phase government of ex-president Benjamin Mkapa.

Sources say the PCCB has been working closely with the British investigators, who have already released key information on Chenge's offshore bank accounts.

Hoseah himself is reported to have, at an international prosecutors' meeting in Amsterdam last month, agreed to cooperate further with the SFO in its probe against Chenge and any other Tanzanians suspected to have received hefty but illegal kickbacks in the radar deal.

Reports from Dodoma say the Prime Minister, Mizengo Pinda, is in line to face tough questions on Chenge's fate from members of parliament on Thursday this week, during the Prime Minister's Question Time session in the ongoing National Assembly sitting.

Opposition leaders both within and outside parliament have already begun calling for Chenge's resignation, urging the government to thoroughly investigate the corruption allegations now brought directly against the minister.

After the UK Guardian newspaper broke the news over the weekend, the key question now dominating the public domain is how he was able to stash away more than $1m (over 1.2bn/-) in offshore bank accounts, given past and present government salary rates.

Chenge himself has not disputed the money in his Jersey bank accounts, but he has denied suggestions that it came from corrupt payments from BAE Systems in favour of the dubious radar deal.
 
Haya mataizo ya ufisadi yameanza siku nyingi sana toka enzi za mzee JKN kwa sababu yeye ndio aliwaleya na kuanzisha undugunaizesheni.

Sasa umeshupaa na mizizi yake ni mirefu it will take time kuimaliza. I believe(my opinion)kwamba Kisura wetu JK ameanza kuikata hiyo mizizi na hawezi kukata ghafla anatumia mbinu ambazo ni nzito.

Angalia tangu amechukua hatamu mabo mangapi yamejitokeza na watu wame resign? Na wote hawa mafisadi JK alikuwa anawjua lakini kwa vile mizizi CCM ilikuwa inawalinda akawategea mitego na wao wamenaswa...kwa kifupi mimi nampa JK hola kwa kazi yake
 
Aaaah..PCB si ni washkaji tu.
Chenge is very powerful,na ndio maana ali survive hata reshuffle.Haya yote yalikuwa yanajulikana kwa wenzake wote.However, pia naamini kabisa kuwa enzi za Mkapa sidhani kama angekubali Chenge achunguzwe.Sasa sijui nia ya JK ni nini,lakini ntamsifu kwa kuruhusu huyu bwana achunguzwe
 
Back
Top Bottom