Nyangumi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2007
- 507
- 18
Either JK is absolutely idiot or he is part of all this!! Being the head of the country, and with all the support network around him, I can certainly say he is both (idiot and part of it)...HUYU NDIO MCHAWI MWENYEWE, hapa jf Chenge has been discussed way back... Inamaana hakusikia?? Kama raisi amechukua uamuzi gani mpaka saa hivi?
Mkulu hapa hakuna ulichokosea, huyu bwana ndo alivyo.
Ndani ya serikali ya CCM, wanaogopana kumwagiana mboga na ugali.JK si kuwa alikuwa hamjui Chenge, ila wanapigana mikwara humo ndani. Ukishakuwa katika genge moja na majambazi hata ukiwa rais, majambazi wenzio watakupiga mkwara kama jambazi mwenzao na hawata kuogopa kama rais.Wengi wanajua uchafu wa JK na do maana wanamdharau.
Uongozi na Mamlaka tuliyompa kaweka reheni kwa genge hilo la wezi ili uchafu wake usianikwe wazi.Ukishaweka reheni Uongozi na Mamlaka Watanzania waliyokupa unabaki dubwana tu lisilikuwa na meno wala mwelekeo.Ndio maana amebaki kuunda vijikamati ili vimfanyie maamuzi ili yeye akwepe kutoa maamuzi.
Haiwezekani sisi watu wa kawaida tukajua habari za Chenge na wengine yeye asijue.No way!!!
Hapa JF ni vizuri watu wakaelewa kuwa hakuna majungu kwani almost kila kashfa inayoongelewa hapa baada ya muda inakuja kuwa proved correct.Habari nyingi (98%)zinazozungumzwa hapa ni za kweli, tatizo letu linakuwa ni upatikanaji wa ushahidi(Nyaraka za uthibitisho).Na hii haiwezi kuifanya kashfa yeyote iwe ni jungu,kama ambavyo baadhi wanataka tuamini
Haya tunayoyaona sasa ni punje tu ya ukosekanaji wa mwelekeo na uozo wa CCM ambao marehemu Kolimba aliusema.Hawakumuua kwa sababu alisema CCM haina mwelekeo,walimuua kwa sababu he knew alot of dirty stuff about CCM.
Kulitetea hili li chama na serikali yake ni kujichafua na kuonekana huna akili.Walioko jikoni wanakuambia mambo sio mazuri we barazani unapinga.Kama sio utapiamlo wa akili ni nini!!