The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Now the time has come!

Mr.Clean and colleagues,the battle is raging at the door.Will you dispute that vindicated against you??

Yah man, You did not wash body,even legs before sleeping?

People like Chenge must go to sleep now!valueless to this Nation
 
Unajua this is what i am talking about, habari za ukweli I mean hata ukiwa kipofu ukasomewa hii article, you can tell kwamba huu ni ukweli na sio blah! blah! blah! au abla! abla! za kawaida hapa JF.

Waziri Chenge, aliyekuwa mwanasheria mkuu na hatimaye kuwa waziri majuzi tu, ameyapata wapi haya mapesa? Aliwahi kufanya kazi nje? Akiwa mwanasheria mkuu serikali au vyombo vyetu vya usalama vilikuwa aware kuwa huyu mkuu ana mapesa kiasi hiki nje? na kwamba ni zake kihalali? I mean lets be fair, hzio hela nyingi sana kwa kiongozi mbongo kuwa nazo nje, sasa ni lazima iwekwe wazi alzipata lini?

Halafu ni kwa nini yeye anakuwa witness na sio mshitakiwa? Hapo bado sijaelewa?

FMES, kawaida viongozi wote wakihojiwa au kuwa implicated kawaida wanatajwa kama witness..... thereafter mambo yanaweza kubadilika.. lakini pia kunaweza kukawa na shinikizo la kiserikali yakuwa kiongozi wetu ataweza kuhojiwa na SFO tu kama atakuwa witness na siyo suspect...

Pia kama wanavyosema hao SFO, wao wala hawaangaliii hizo hela zake.... wanachojali ni principles zaidi, hizo pounds zake Jersey nisisi wenyewe tutajijua kama tunatoa order zirudishwe hazina au zibakie kugawanwa na viongozi wetu hao hao maana zilishajulikana zilipo (na viongozi huwa hawachelewi kukatiana kidogo ili kusafishana).

SteveD.
 
6. He said he was only involved in minor aspects of the radar deal, which was promoted by other ministries and approved by the Tanzanian cabinet. His bank records, he said, would show investigators that "there is no connection to the BAE Tanzanian radar deal".

Unajua hapa ameweka mkwara mzito, Tanzania tunahitaji sheria za ku-deal na hizi ishu maana huenda hatuna hata sheria za kumbana aseme amepata wapi hizo hela, nafikri nimesikia kuwa TRA siku hizi wamejiwekea hii sheria kuwa ukionekana account zako zinazidi kutuna ukiwa pela, basi ni lazima uatulizwa kisheria umanpata wapi, nafikiri as a nation tunahitaji kuiga TRA.
 
Kama na yeye ahusiki, ni vigumu kuamini kuwa JK anayafahamu mambo haya, otherwise he would have acted long ago
 
Its time tuiwekee bango UK kufunga account za mafisadi na watoto wao kuja kusoma Uk na kufanya shopping kama walivyofanya kwa Robert Mugabe. Huu ujinga hauwezi kuendelea namna hii wakati pesa ya walipa kodi inateketea.
 
Wakulu, $1M kwenye accunt ya Civil Servant, c'mon this stinks amehusika au hakuhusika..... Hivi ile mambo ya viongozi wa serikali kuweka bayana mali zao huyu Mkuu aliweka kweli?? kama aliweka na hakuijumuisha hii $1M then ina maana kwamba amedanganya Serikali na hivyo tayari amejiondoa kwenye Chama (unless CCM hawana kipengele cha Uongozi Bora)!!

Duh, kweli sasa pakacha limeshafunguka tuone viangukavyo.....

Mungu Ibariki Tanzania na waTanzania...........
 
CHENGE

..............................
Mwamapalala...
Lugulu...
Itilima...

Im sorry!!!...
 
Wakulu, $1M kwenye accunt ya Civil Servant, c'mon this stinks amehusika au hakuhusika..... Hivi ile mambo ya viongozi wa serikali kuweka bayana mali zao huyu Mkuu aliweka kweli?? kama aliweka na hakuijumuisha hii $1M then ina maana kwamba amedanganya Serikali na hivyo tayari amejiondoa kwenye Chama (unless CCM hawana kipengele cha Uongozi Bora)!!

Duh, kweli sasa pakacha limeshafunguka tuone viangukavyo.....

Mungu Ibariki Tanzania na waTanzania...........

Hapo patamu!!
 
Hatimaye watanzania baada ya kupiga kelele muda mrefu na kumueleza JK kuwa inakuwaje anafanya kazi na MAFISADI sasa imefika kikomo kwa FISADI aliye uza nchi na mikataba mibovu kungoka.

Nilitegemea leo hii pamoja na kwamba ni Jmosi alale angalau Central Police akisubiri kufikishwa mahakani Jtatu.

Tulisha sema Chenge ametaamia mayai akitoka yataonekana madudu mengi. Sasa naona mayai yanaanza kuchunguliwa kutokea UK.

Sasa asubiri yatakapochunguliwa kutoka jikoni.
 
Either JK is absolutely idiot or he is part of all this!! Being the head of the country, and with all the support network around him, I can certainly say he is both (idiot and part of it)...HUYU NDIO MCHAWI MWENYEWE, hapa jf Chenge has been discussed way back... Inamaana hakusikia?? Kama raisi amechukua uamuzi gani mpaka saa hivi?
 
Hey Chenge, can you please step down from the position you are holding. The accountable and responsible man would have done it all ago! wake up and act wisely

Don't day dream please!!
 
Either JK is absolutely idiot or he is part of all this!! Being the head of the country, and with all the support network around him, I can certainly say he is both (idiot and part of it)...HUYU NDIO MCHAWI MWENYEWE, hapa jf Chenge has been discussed way back... Inamaana hakusikia?? Kama raisi amechukua uamuzi gani mpaka saa hivi?

This is the truth, the whole truth, and nothing but the truth.
 
Kinachonitisha na kuniumiza roho kuliko yote ni hili: ilikuwaje Rais Kikwete akamteua Chenge awe sehemu ya baraza lake la mawaziri, na kikubwa zaidi, ilikuwaje, hata baada ya kupata nafasi ya kubadilisha baraza lake, akamrudisha tena Chenge? I mean what is the wrong with our president? Au mimi ndiyo ninayeshangaza kwa kumshangaza JK?
 
Either JK is absolutely idiot or he is part of all this!! Being the head of the country, and with all the support network around him, I can certainly say he is both (idiot and part of it)...HUYU NDIO MCHAWI MWENYEWE, hapa jf Chenge has been discussed way back... Inamaana hakusikia?? Kama raisi amechukua uamuzi gani mpaka saa hivi?

!!!!!!!!!!!!!!!!!yeah
 
Hii ni picha ndogo sana ya ukweli wa utajiri wa viongozi wetu
Ni naamini karibu viongozi wote wa serikali yetu wanautajiri zaidi ya huu nje ya nchi

Huyu jamaa hata anapokuwa anaongea kwny vyombo vya habari na muonekano wake, anaonyesha dharua na kuwa ni mtu alie ridhika kimaisha na kwamba yuko (Bungeni) na kwamba anakuja tu kupoteza muda pale a.k.a kama yuko kijiweni

Seriously, atuambie kazipataje hizo hela

Sasa hii ni sababu halisi kukubali kuwa kweli JAKAYA MRISHO KIKWETE LIKES RUBBISH..... This man stinks
 
Heko Mr.Chenge......aaaaaaaah samahani....KEKO MR.CHENGE!!!!!!!
 
Unajua hapa ameweka mkwara mzito, Tanzania tunahitaji sheria za ku-deal na hizi ishu maana huenda hatuna hata sheria za kumbana aseme amepata wapi hizo hela, nafikri nimesikia kuwa TRA siku hizi wamejiwekea hii sheria kuwa ukionekana account zako zinazidi kutuna ukiwa pela, basi ni lazima uatulizwa kisheria umanpata wapi, nafikiri as a nation tunahitaji kuiga TRA.

Mkuu naomba msaada, kwa akaunti kuwa nje ya nchi TRA wanaweza kujua?
 
Kinachonitisha na kuniumiza roho kuliko yote ni hili: ilikuwaje Rais Kikwete akamteua Chenge awe sehemu ya baraza lake la mawaziri, na kikubwa zaidi, ilikuwaje, hata baada ya kupata nafasi ya kubadilisha baraza lake, akamrudisha tena Chenge? I mean what is the wrong with our president? Au mimi ndiyo ninayeshangaza kwa kumshangaza JK?

why going around to burst trafic in ur brain system??

Chenge,JK,lowasa,balali,kalamangi.BWM=1
 
why going around to burst trafic in ur brain system??

Chenge,JK,lowasa,balali,kalamangi.BWM=1

+RA+ Mbunge wa Rombo , nk.

Hawa wakirudisha pesa zetu tunaweza kujikuta hatuna tatizo la watoto kusomea chini ya miti na pia barabara zetu zinaweza kuimalika.

Kuanzia mwaka jana tumeweza kuona vizuri sana kwa nini Tanzania bado ni nchi masikini.

Hivi nini kifanyike hili wastaafu kisiasa?
 
Back
Top Bottom