The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

I am afraid that the wapelelezi wanaweza kuwa wanapoteza muda wao bure kwani serikali imeshasema kuwa inawaogopa mafisadi
Hili ndo tatizo jingine katika kukabiliana na wezi wetu. But see what, we (Tanzanians) are ready for it. Once our gov't doesn't do anything over these scandals we'll offer them something in few days to come.

Never underestimate people. We're awake... Pinda will do nothing if not forced by we journalists and dedicated Tanzanians. Let's give him facts, let our 'dedicated' lawyers do the needful help on this.

Enough is enough... The laws doesn't suit? Then something will help them laws to work accordingly!

Inachosha jama
 
Mr Clean and company kaeni mkao wa kula, twaja kwenu soon. Labda hizo mali mzitoe kwa yatima na wakfu kuvuruga ushahidi...mkiwapa wajukuu zenu haitasaidia kwani twawajua

Watakapomtia hatiani Mkapa hapo ndio nitajua rasmi kwamba sasa Tanzania hakuna aliye juu ya sheria. Kuna ushahidi chungu nzima dhidi ya fisadi Mkapa kama walifikiri hili la Mkapa litasahaulika basi wao warie tu, tutalipigia kelele kila kukicha mpaka kieleweke maana Watanzania wa 2008 siyo sawa na wa mwaka 47 ambao walikuwa wanamezea, lakini pia miaka hiyo ufisadi kama huu unaofanywa sasa hivi haukuwepo.
 
Hii imetulia, hila huyu Kikwete anataka aambiwe na nani kuwa huyu Bwana Chenge amurudishe nyumbani kwao? Mtu kila mtu anajua hafai, kikwete anaona anafaa kuwa waziri.

Nina wasiwasi na Usafi wa JK?
 
But see what, we (Tanzanians) are ready for it. Once our gov't doesn't do anything over these scandals we'll offer them something in few days to come.

Never underestimate people. We're awake... Pinda will do nothing if not forced by we journalists and dedicated Tanzanians. Let's give him facts, let our 'dedicated' lawyers do the needful help on this.
kweli kabisa, watakuwa scrutinized mmoja baada ya mwingine. Hii itakuwa mfano kwa kizazi chetu kujali maslahi ya umma zaidi na kuzifukia kabisa tamaa za utajiri binafsi. What goes around comes around. We have to be responsible for our actions.
 
Kikwete anataka kuwa raisi wa kwanza Tanzania kumuhukumu mtu kwa kutafuta ushahidi kamilifu. I think ni vizuri na inaonyesha tumepiga hatua kidogo....

Matunaini yangu ni kuwa huo ushahidi utakuwa kamilifu kumfikisha kizimbani na kumfilisi yeye na familia nzima.

Hopes zangu zipo chini mpaka pale mtuhumiwa atakaposimama kizimbani na kukutwa na hatia.
 
Watangaze hadharani kwa majina kama wale jamaa walivotoa pale MWEMBE YANGA DAR majina ya mafisadi na tuhuma zao.
Pia serikali ya JK na vyombo vya usalama wampe majina KATIBU MKUU KIONGOZI,BW PHILEMON AATUTANGAZIE kwamba akaunti za WAZIRI FULANI NA FULANI ZIMEGANDISHWA.NA WALE WALIOBA PESA,WAZIRI FULANI NA FULANI WAMERUDISHA PESA NA SASA WAKO MAHABUSU KEKO AU UKONGA.

Lakini hii ya kimya kimya na kuandika magazetini kwa mafumbo haya ni Mazingaombwe na uchawi wa kuroga wananchi wa Tanzania mchana kweupe, kuwa mchanga unageuka kuwa sukari na binadamu anataga yai.

TUNAHITAJI KUONA NGUVU MPYA IKITUMIKA KUTAJA HAYA MAJINA HADHARANI.SIRINI HUKO HAKUFAI,WATU WATAENDELEA KUPORA,WAANIKWE HADHARANI.UONGOZI WA WATU NI DHAMANA.KWA HIYO UKISHINDWA HIYO DHAMANA UNASHITAKIWA HADHARANI KWA WANANCHI ULIOWAKOSEA.
 
Hii imetulia, hila huyu Kikwete anataka aambiwe na nani kuwa huyu Bwana Chenge amurudishe nyumbani kwao? Mtu kila mtu anajua hafai, kikwete anaona anafaa kuwa waziri.

Nina wasiwasi na Usafi wa JK?

Mkuu huoni hapo kuwa JK hakutaka kumfanyizia kabla hajawa na ushahidi..hebu tusubiri tuone. Ila kwa sasa naona kama vile hayo ndio malengo ya JK lakini this is politics in Tanzania..time will tell.
 
Kikwete anataka kuwa raisi wa kwanza Tanzania kumuhukumu mtu kwa kutafuta ushahidi kamilifu. I think ni vizuri na inaonyesha tumepiga hatua kidogo....

Matunaini yangu ni kuwa huo ushahidi utakuwa kamilifu kumfikisha kizimbani na kumfilisi yeye na familia nzima.

Hopes zangu zipo chini mpaka pale mtuhumiwa atakaposimama kizimbani na kukutwa na hatia.

Mkuu Yebo Yebo..... naona umeondoa kabisa neno preemption au kujihami katika vocabulary yako 🙁
 
Kikwete anataka kuwa raisi wa kwanza Tanzania kumuhukumu mtu kwa kutafuta ushahidi kamilifu. I think ni vizuri na inaonyesha tumepiga hatua kidogo....

Matunaini yangu ni kuwa huo ushahidi utakuwa kamilifu kumfikisha kizimbani na kumfilisi yeye na familia nzima.

Hopes zangu zipo chini mpaka pale mtuhumiwa atakaposimama kizimbani na kukutwa na hatia.

Sasa hili nalo lilihitaji kumrudisha Chenge kwenye cabinet? Hivi wewe una imani na dedication ya Kikwete at this point?
 
Sasa hili nalo lilihitaji kumrudisha Chenge kwenye cabinet? Hivi wewe una imani na dedication ya Kikwete at this point?

Sijawahi kuwa na Imani na JK tangu akiwa waziri lakini Ripoti ya Mwakyembe, kumuweka Zitto kwenye kamati ya madini, kupunguza size ya Cabinet ni baathi ya mambo ambayo yamenifanya ni-smile kidogo. Sasa kwa hili la chenge nimekaa mkao wa busara kuona anataka kulishughulikia vipi.

That said, sijui kwa nini alimrudisha kwenye cabinet. Hilo hata mimi bado linanitatiza kulielewa; lakini hebu tusubiri tuone kwa kuwa Waingereza au niseme WAFADHILI wetu wanahusika kwenye huo upelelezi basi pengine mafaili hayatashika vumbi makabatini.
 
Leo ni Ijumaa Kweli,na lazima tutakalale tukifikiria ni nnini kitajiri jumatatu,Ni maswali Magumu tu ambayo hayajibiki kirahisi na ukizingati amkuu wa nchi ndio kaanza safari huko China,

Je ni nani kati ya hawa mawaziri anahusika na utajiri huo sababu hawa wamekuwa watumishi wa umma kwa muda mrefu na wamkutwa n kashfa mbali mbali za kujitajilisha kutokana na pesa ya UMMA.
Nimewafumbua macho

1.Seif Mohamed Khatib.
2.Stephen Wasira
3.Mustafa Mkulo
4 Andrew Chenge
5.Prof Juma Kapuya .
6.Mark Mwandosya
7.Peter Msola
 
Kikwete anataka kuwa raisi wa kwanza Tanzania kumuhukumu mtu kwa kutafuta ushahidi kamilifu. I think ni vizuri na inaonyesha tumepiga hatua kidogo....

Matunaini yangu ni kuwa huo ushahidi utakuwa kamilifu kumfikisha kizimbani na kumfilisi yeye na familia nzima.

Hopes zangu zipo chini mpaka pale mtuhumiwa atakaposimama kizimbani na kukutwa na hatia.

Yebo Yebo,

Kwenye siasa ushahidi sio lazima ili kukumwondoa mtu madarakani. Perception ya watu juu ya mhusika ni sababu tosha kumwondoa waziri madarakani. Kwa Chenge nafikiri ilikuwa makosa makubwa kumrudisha kwenye uwaziri wakati tayari kulikuwa na tuhuma nyingi za rushwa dhidi yake.

Kumshitaki mahakamani ndio unahitaji ushahidi au kama sio kazi ya siasa basi kumfukuza mtu kazi unahitaji ushahidi lakini sio kwenye siasa.
 
Hakuna kitu hapa ni usanii tu ,hao pia wanaweza kukutwa na fagio la chuma ili wakae pembeni ,lakini cha muhimu ni kitu gani kinafuatilia waliojiuzulu miezi sasa inaanza kukatika na hakuna kilichofuatilia au ndio kujiuzulu kwao kumehisabika kama ndio tayari sheria imeshatumika.Hivyo hakuna kesi yeyote na mambo yamefungwa.
Kwa mtiririko huo wengi watajiuzulu na kuwa ndio basi yaani wataondolewa kwenye ulaji tu ,na kuwapisha wengine ,yaani mtindo mpya ukijulikana tunakuondoa tu hapo kwenye uwaziri au umeneja na kama zipo feza zimebaki tutakwambia uzirudishe japo kwa maneno.
Kuna uhitaji wa Katiba mpya ili kuwajibika na wizi wa aina hii unaofanywa na serikali ya CCM kama si hivyo maisha yote watapokezana vijiti.
 
Yebo Yebo,

Kwenye siasa ushahidi sio lazima ili kukumwondoa mtu madarakani. Perception ya watu juu ya mhusika ni sababu tosha kumwondoa waziri madarakani. Kwa Chenge nafikiri ilikuwa makosa makubwa kumrudisha kwenye uwaziri wakati tayari kulikuwa na tuhuma nyingi za rushwa dhidi yake.

Kumshitaki mahakamani ndio unahitaji ushahidi au kama sio kazi ya siasa basi kumfukuza mtu kazi unahitaji ushahidi lakini sio kwenye siasa.

Tatizo letu Watanzania hasa tuliokaa nje tutanataka siku moja tuamke asubuhi na kukuta Tanzania yetu inaongozwa kwa Demokrasi sawa na Marekani au UK etc. Taratibu jamani ohh....

Chenge ilikuwa ni makosa kumrudisha kwenye uwaziri lakini tukumbuke kuwa walau sasa tumesikia anachungzwa. Huko tulikotoka hata hizo tuhuma zake tusingekuwa tunazijua leo!!
 
Yeboyebo,

heshima yako mzee!

Naona siku hizi tone imebadilika na unaanza kutetea ufisadi na uovu. Kuna kosa gani kama tukilala na kuamka kukuta nchi inaongozwa kidemokrasia. Kwa nini linalowezekana leo lingoje kesho?

Hii ni bonge la excuse ambayo haitakiwi kabisa katika ulimwengu wa leo!
 
Mkuu yebo yebo hivi kushughulikia wahalifu ni suala la demokrasia ya aina ya US au UK?
 
Wengi wetu tunashindwa kuona 'catalyst' inayomsukuma Kikwete alazimike kuruhusu haya yatokee kwa Chenge, hata kama alikuwa hayupo tayari kuyaruhusu.

Msukumo ni kuhusika kwa SFO> Hapo hana njia; na hawezi kufunikiza kama anavyofanya na EPA na Richmond.
 
Tatizo letu Watanzania hasa tuliokaa nje tutanataka siku moja tuamke asubuhi na kukuta Tanzania yetu inaongozwa kwa Demokrasi sawa na Marekani au UK etc. Taratibu jamani ohh....

Chenge ilikuwa ni makosa kumrudisha kwenye uwaziri lakini tukumbuke kuwa walau sasa tumesikia anachungzwa. Huko tulikotoka hata hizo tuhuma zake tusingekuwa tunazijua leo!!

Bosi wa uchunguzi huo nani???
Mwanyika?? Hosea??.......Changa la Machoooooo.
Dito changa la machooo
 
Jamani, ilisemwa toka mwanzo kuwa Chenge atakuwa toast report ya madini ikitolewa. Jk alimrudisha kama future political points kafara.

Kama JK angemwacha tu kwenye reshuffle asingepata political points atakazozipata atakapombwaga chini hapo baadae.

Chenge everyone knows he will be out soon rather than later.
 
Back
Top Bottom