then what next?
Mimi nadhani tunahitaji viongozi waliotofauti na sifa ulizotaja ili wawezi kuliondoa Taifa kwenye hili bwawa la matatizo. Its true kwamba tatizo letu kubwa lipo kwenye fikra. most of Tanzanians are opportunists, but we must get out of this pool. Tusikate tamaa, tupige moyo konde.
- Huu ni wakati muafaka kwa wasomi, wana-dini, na viongozi wetu wa siasa kukaa chini na kujaribu kutafakari kwa makini, kwa sababu sio siri kwamba taifa letu limekumbwa na crisis kubwa sana ya character, Mwalimu alitupatia national ID basi lakini nationally kwenye character kwa maoni yangu tume-fail miserably.
- Sisi wananchi ni waongo, I mean taifa zima ni waongo, wezi, waumini wa uchawi, wanafiki, halafu masikini ya Mungu tunategemea viongozi wetu wa siasa wawe tofauti na sisi wananchi, it does not work tumekwama maana sasa nani wa kumfunga kengele paka?
- Hili ni taifa gani ambalo wote tumeharibikiwa?

Hell no, huna haki ya kusema wananchi wana sifa hizo. Wewe ni nani umewajudge (sijui vipi) na kuwaongelea wananchi wote. kama wewe ni katika hao waongo, wezi, waumini wa uchawi, wanafiki; ujue na uelewe vizuri kwamba tuko wananchi ambao ni wakweli, waadilifu, hatuamini uchawi na sio wanafiki hata kidogo.
Watu wa tabia zenu ndio mmetupelekea Taifa letu likafika hapa, mnajifanya mna uchungu kwa Taifa kumbe ni unafiki mtupu. Mungu hamfichi mnafiki na za mwizi ni 40. At lat umeconfess.
FMES, mkuu you have had some very harsh words, but I think that we definitely need them. Lazima tuanze kubadilika, lakini kwa kuwa hata kuharibikiwa kwetu was top to bottom, basi hata mabadiliko lazima yaanze juu kwenda chini.
I know that mimi binafsi huwa nachekwa sana na kuitwa mshamba kwa kuwa si mtoto wa mjini na si mjanja, lakini sikubali kuyumbishwa katika principles zangu. Lakini simhukumu mtu ambaye anaamua kuyumba na kushawishiwa kuchukua kitu kidogo. After all kama viongozi wetu wana-behave as if that is normal then that is what it is NORMAL, lakini when viongozi wetu wata-behave that it is unacceptable, that is what it will be. Kwa hiyo issue ya Chenge na wenzake kukubali na kujiuzulu au to step aside ni jukumu lao na hawawezi kutumia general morality ya jamii ya watanzania kama sababu.
- Huu ni wakati muafaka kwa wasomi, wana-dini, na viongozi wetu wa siasa kukaa chini na kujaribu kutafakari kwa makini, kwa sababu sio siri kwamba taifa letu limekumbwa na crisis kubwa sana ya character, Mwalimu alitupatia national ID basi lakini nationally kwenye character kwa maoni yangu tume-fail miserably.
- Sisi wananchi ni waongo, I mean taifa zima ni waongo, wezi, waumini wa uchawi, wanafiki, halafu masikini ya Mungu tunategemea viongozi wetu wa siasa wawe tofauti na sisi wananchi, it does not work tumekwama maana sasa nani wa kumfunga kengele paka?
- Hili ni taifa gani ambalo wote tumeharibikiwa?
- ..........- Sisi wananchi ni waongo, I mean taifa zima ni waongo, wezi, waumini wa uchawi, wanafiki, halafu masikini ya Mungu tunategemea viongozi wetu wa siasa wawe tofauti na sisi wananchi, it does not work tumekwama maana sasa nani wa kumfunga kengele paka?
- Hili ni taifa gani ambalo wote tumeharibikiwa?
Kinachoweza kuwabadilisha watu ni kusimamisha sheria...
Sisi sote ni reflection ya viongozi wetu kwa sababu sheria zetu ni butu, lakini kama tunaweza kuchukia Ufisadi kama tunavyochukia vibaka wa Kariakoo basi bila shaka wananchi wote kwa ujumla tutabadilika...
Ni kweli kabisa kuwa hujuma yoyote dhidi ya uchumi wa Taifa huitwa ujanja..ni sifa kubwa kuvuta deal serikalini ukifahamu kwamba nyayo zako ziko covered na sheria butu.
Mimi nina hakika kabisa kusimamisha sheria ndio msingi wa mienendo ya binadamu wote..maneno matupu na viapo kuwa rushwa ni adui wa haki - sintatoa wala sintapokea rushwa ni hadithi tupu kama hakuna sheria na utamaduni unaofikisha ujumbe huu kwa wananchi wote...Na kwa bahati mbaya CCM wamekuwa mbele kuweka ubani kufukiza azimio lao la Zanzibar...
Mnategemea nini kama kiongozi wa chama mtu kama Makamba anayekuja wambia wananchi wake kwa ujeuri na majigambo kuwa chama ni safi isipokuwa kuna baadhi ya watu ndio wachafu wakati mwongozo wa chama chake unasisitiza kuwa:-
"Kiongozi wa CCM katika kukijenga na kukilinda Chama ni kubwa. Athari katika Chama za Kiongozi kutenda maovu, au kutotimiza wajibu, ni kubwa kiasi kwamba Maadili yake yakitetereka Chama kitavurugika; na nchi itakwenda mrama."