KakindoMaster
JF-Expert Member
- Dec 5, 2006
- 1,356
- 91
kakindomaster;
Kwi kwi kwi... si tayari hili linafanyiwa kazi... at least mutafute mwingine fisadi mwingine huyu yuko kwenye mikono salama as far as wananchi is concern... hili linafanyiwa kazi... twende mbele...
Kwa mawazo yangu Bill. 1 kwa uchumi wa nchi ni hela ndogo sana... tutafute tuchape kazi tulete mawazo mengine tujenge nchi....
1.
Kama vile mtu anapotumia majina 40, ndani ya hii forum wakati mimi ninatumia jina moja tu, sasa eti tunaweza kuwa na a decent debate na huyu majina 40? au decent debate on logic
Hawakukosea kuita data kama hii upupu!
Weka majina 40...forget 40. Only 2 yanayotumika.
2.
GT huwa ana hoja, dataz na facts, na sikumtaja kabisa kwenye hili, ndio tatizo la majina 40, huwezi kukumbuka yote na maneno uliyosema kwenye majina mengine, ndio maana sasa unafikiri nilimtaja GT, kumbe nilimsema mtu mwingine kabisaa, what a shame na majina 40!
GT is not the issue here. The issue is you belittling logic. Read again...
3.
Masikini ya Mungu, maneno yako mwenyewe yanajiosema kuwa hata ubadili majina 40, bado ni juha tu, sasa kama kazee kanalikisha dataz then what is the beef for, maana sasa si zitakuwa ni za ukweli au? Halafu huwa kapo wapi hako kazee kwamba kila dataz za serikali kanakuwa nazo?
Naomba Watanzania wenzangu hasa mnaoishi nje ya nchi, mpatapo nafasi ya kutembelea bongo, tembeleeni vijijini na mitaa ya uswahili. 1bln inapowekezwa ktk huduma za jamii inaweza kuleta impact kubwa.
Habari nzima aliyoandika Mkulu ES ni kweli!!,Hamtopata jibu rahisi kwa baadhi ya maswali ya kiutendaji mnayouliza "eti nani alisaini search Warrant",hata Polisi Lance Koplo pale Central Police anaweza kusaini warrant ikiwa tu atapata Go ahead kutoka kwa Wakuu wake....
Ni kweli kwamba Mzee Chenge yupo London,na siku nzima ya Jana (Ijumaa) alikuwa tight kwa masuala ya ushahidi.Kesi hii ni kubwa,na kuna wengi wanahusika,Tutegemee aibu kubwa kwa baadhi ya Viongozi wakuu wa nchi.Kwa mara ya kwanza na Mheshimiwa JK ametajwa,nae alihusika kiaina alipokuwa Foreign Minister,naomba nisiulizwe kivipi,kama upo makini na unafuatilia issue hii utaelewa.Mama Maria kejo nae anaingia humu,(Tumpe pole kuna taarifa kuwa Jumatano amefiwa na kaka yake),nae atakwenda London baada ya shughuli za Msiba.Mzee Mwanyika nae moto upo Mgongoni mwake,kwa mujibu wa datas alitoa kauli za uongo alipoonana na watu wa SFO.
Wakubwa stay tuned mambo makubwa yanakuja mbele!!,Mzee wa vijisenti ataondoka na wengi,na ndio mtakumbuka kwa nini alijibu "Muulizeni Rais" mara baada ya kurudishwa kwenye Cabinet baada ya Cabinet kuvunjwa kutokana na Lowassa kujiuzulu.....Anajua kila uchafu wa hawa wakubwa,na sasa atayaanika yote wazi....Hala hala tu serikali isije ikavunjwa tena !!
Mzee ES waambie vijana,nini kinajiri huko,kwa sababu vyanzo vyako vya habari ni makini....
Mzee mbona unagongana na 'dataz' za ES , yeye kasema JK anafanya mambo chinichini..wewe unasema JK na yeye kama former foreign affairs minister had a hand?? Au na yeye anachunguzwa? he eh ehhehe
Mzee mbona unagongana na 'dataz' za ES , yeye kasema JK anafanya mambo chinichini..wewe unasema JK na yeye kama former foreign affairs minister had a hand?? Au na yeye anachunguzwa? he eh ehhehe
Kwani Chenge ni nani sasa hivi ktk nchi hii, Mzungu anaujua ubunge wake??????,Swali:::
Issue nzima ya diplomatic immunity inatumika vipi ukiwa uko nje ya nchi??
Hawa MPs, CC mbrs status zao ziko vipi??
Je wamevuliwa??
Sheria za kimataifa zinasema vipi?? why mtu wa level ya Chenge akubali kwenda london kwa sheria ipi?? Au ilikuwa rendition??? SFO mipaka yao ni ipi???
Mzee ES nakuaminia siku zote endelea kutuletea dataz maana zinatusaidia kujua mengi.
.... Kwi kwi kwi... Wabongo bwana sasa mzee wa Vijisenti Akishughulikiwa tutakuwa tumemaliza matatizo yetu ya Uchumi wa Bongo?
Swali:::
Issue nzima ya diplomatic immunity inatumika vipi ukiwa uko nje ya nchi??
Hawa MPs, CC mbrs status zao ziko vipi??
Je wamevuliwa??
Sheria za kimataifa zinasema vipi?? why mtu wa level ya Chenge akubali kwenda london kwa sheria ipi?? Au ilikuwa rendition??? SFO mipaka yao ni ipi???
Mzee ES nakuaminia siku zote endelea kutuletea dataz maana zinatusaidia kujua mengi.
Kapinga,
Labda huwaelewi wakoloni, kwa Waingereza hata akitajwa Kikwete, usitegemee yeye kuchunguzwa.
Hawa jamaa wanajua kulinda watu ambao wanakubaliana nao, kama JK amewapa go ahead
ya kuwahoji mawaziri wake, usitegemee hata siku mmoja wamchunguze JK. Ya JK yatafunikwa labda kama JK ndiye alikuwa kinara kwenye hiyo deal, vinginevyo watajifanya hawaoni kama walivyofanya kwa Mkapa.
Hawa wazungu wanajua yote yanayofanyika third world ila huwa wanaangalia, kama ni ya Mugabe watatoa siku hiyo hiyo, kama ya rafiki yao basi yanafunikwa.[/QUOTE]
kweli kabisa mtanzania...
hayo madini uliyoyatema na mi nimeyapigia mstari ni ya ukweli kabisa, na hapo ndo mugabe anapowaita marais wenzake wanaoburuzwa kuwa ni vibaraka...
hayo ya chenge yatakwendaa kisha yatanyamazishwa na msishangae kwa siku za usoni jamaa akala cheo kingine na kuendelea kuvikusanya vijisenti tu.
Mkuu Kishoka,
Heshima mbele, unajua unahitaji kuziona hizi DVD za bunge, ndio utaelewa kuwa wabunge wetu wanachukua talking points zao nyingi sana kutoka hapa JF, yaaani haya yote uliyoyasema yamerudiwa na wabunge kama yalivyo kwenye mjadala wa Lowassa kujiuzulu, na exactly kama tulivyosema hapa,
Nimemalizwa na Ndesamburo, ambaye yeye amerudia maneno yote tuluyoyasema hapa kwenye topic ya viongozi wa China na sheria zao jinsi zilivyo kali, anawaaambia Lowassa na mafisadi wenziwe kuwa ingekuwa China wote wangepangwa mstari na kupigwa risasi kwenye public, kwa hiyo binafsi I am very much at peace kuwa hapa hatupotezi muda na sikutegmea kabisa of how much political influence sasa hivi JF tunai-command as far as hoja nzito is concerned.
..sidhani kama Raisi anasaini-saini tu kila kibali na search warrant.
..nilitegemea IGP, AG, au PS ofisi ya Raisi, ndiyo wenye mamlaka na wajibu wa kutoa kibali hicho..
Haya, BBC1 in a moment wanasema bosi wa BAE yuko chini ya ulinzi.Nachubiri nichikie.
Wewee mbona umechelewa...... this happened over 4 days ago, jitahidi sometimes ukipata muda uwe unasoma gazeti la huko kwenu la The Gurdian na the Times, achana na tabloids za News of the World na Daily Star!!!