The Man Sounds extremely rude..! there's no doubt bout that!
Watu wa aina yake huwa na over confidence ambazo hupelekea wao kujisahahu!
Over confidence iliyomsababisha akafikiri kuwa he can just do anything and no body can dare to ask me a question!
He laso sounded very intimidating!
Sauti yake ilionyesha ukatili pia!
Mukono yuko Finniland ? Nakubaliana an Chenge na wengine kwamba pesa nyingi si za rada .Pesa za rada ni kidogo sana pesa nyingi na asehemu kubwa ni za IPTL .
Nyani kwa uzoefu wangu wa kusikiliza mahojiano kati ya mwandishi na kiongozi then naweza kusema sauti yake ilionyesha ukatili flani hivi na ubabe!Now you're exaggerating....
Ni kitu gani nilicho exagerate hapo Nyani?Now you're exaggerating....
Kwa watu kama Chenge ni bora wakafa tu kwani hawana utu hata kidogo wewe
Thats what it is.. watoto wa Chenge wataendelea kusoma Waterford na UK private schools.. yule wakike anamalizia masters sasa so its all good..and about the BILLIONS 4get it.
The Man Sounds extremely rude..! there's no doubt bout that!
Watu wa aina yake huwa na over confidence ambazo hupelekea wao kujisahahu!
Over confidence iliyomsababisha akafikiri kuwa he can just do anything and no body can dare to ask me a question!
He laso sounded very intimidating!
Sauti yake ilionyesha ukatili pia!
Unaniuliza nilikuwa ninataka nini kwenye mahojiano na Chenge!Kamanda, Chenge kapokea simu kauliza inapigwa na nani, katoa kwa ufupi taarifa yake kuwa ni mzima, kawasalimu watz wote wa marekani...
Huo ukatili wake upo wapi? au ulikuwa unataka nini zaidi...?
Well,, I find him to be a bit rude, kwa nini asiongee kawaida tu mtu kuzushiwa ndo awe 'mkali' kiasi icho? eti 'natoka ahera narudi tanzania'...