The Radar Scandal: Investigation & Progress

....Zeenam, hapa sina uhakika napo ndugu..... wewe haya; utapata wagomvi wengi kwa maneno kama haya mwenzangu... pls watch ya emotions, they ain't advisable artillery in a debate...

emotions? English is the global language of communication at the moment regardless of what people may wish, in Tanzania it has become mandatory among many corporations and business sectors? I'm merely re-instating the obvious.
 
Kila mtu ni msafi hadi hapo shutuma zake zitakapothibitishwa, Upo Ndio maana kumewekwa vyombo vya sheria, Sasa nyie mnakuwa wasoma mashtaka, mawakili, watoa hukumu hivi nchi itaenda kweli kama kila kidole kikinyoshwa basi mtu ana hatia?
 
Kila mtu ni msafi hadi hapo shutuma zake zitakapothibitishwa, Upo Ndio maana kumewekwa vyombo vya sheria, Sasa nyie mnakuwa wasoma mashtaka, mawakili, watoa hukumu hivi nchi itaenda kweli kama kila kidole kikinyoshwa basi mtu ana hatia?

mimi ningependa kujuwa kwamba katika habari zote kuhusu chenge, vingapi ni vya kweli na vingapi vimerushwa kwasababu ya wivu au hofu kutokana na uwezo wake? maana nadhani hivyo viwili vya mwisho vimechangia kupita kingine chote
 
Au nikubaliane na mtoa hoja mwingine kuwa mna matatizo binafsi na huyu mzee wa vijisente au tuhella. Au ndi yale kuwa huyu kabla ya kuingia siasa hakuwa mtu? mtu ni nani kuliko mwenzake? hii dharau ya kudharaulina waafrika ndio inayotuua, hatutakiani mema kazi yetu majungu tu fitina na kukusa mwelekeo wa kimaendeleo
 
Mwanakijiji naona umeiwekea na sound effect imekuwa kama vile ni preview na movie yenyewe iko njiani!Duh!Safi sana..previews ni muda mfupi tu hiyo inatosha..Tunaomba utuletee movie nzima baadae maana si amesema anatokea ahera kuja Tanzania?
Sasa kama kesha fika salama na maluweluwe ya ahera kumwisha..then tunaomba umalizie movie ili tupate kujua hatma ya mlolongo wote wa vijisenti!kwi kwi kwi!Movie naona litakuwa bomba kwa saana tu! kwi kwi kwi kwi
 
Mh hebu ngoja sasa nimepata kamwanya. Kweli Chenge hakuwa kwenye siasa, miaka yote alikuwa serekalini. Lakini alipoamua kuingia kwenye siasa tu na kuchaguliwa kuwa mbunge wa Bariadi, haikupita muda mh. rais kamteua kuwa waziri. Akaja akambadilisha tena kutoka afrika mashariki kwenda Miundo mbinu. Lakini pia muda mfupi tu akachaguliwa kuwa mjumbe wa NEC tena kwa kura lukuku, kisha kamati kuu, kisha maadili.... weweee umepanda kwenye siasa haraka kama uyoga? mmmmmh weweeeee ndio maana unataka kuwa katishio oooooooooooooMbio hizi naona ndizo zimewapa hofu hawa wanaokujadili kwa hasira hapa.
 
Brazameni yuko wapi atupe commercial break.....
 

Sasa wewe hayo mambo unayoyajua wewe kuhusu uwezo wake Chenge kufundisha nje, ni wangapi wanajua (yaani Millions of tanzanians)?

Taifa linategemea SFO (ambao by the way wako chini ya Attorney General wa UK, unataka kuniambia Chenge hatakuwa na contact na AG wa commonwealth country?). Whether kuna evidence or not, mfano hii dili ina-implicate vigogo wote wakubwa, SFO wakitaka ku-push forward, UK wanaweza wakatishiwa vitega uchumi vyao hapo Tanzania. Ingawa majority wanafikiri UK wanatoa tu pesa kutusaidia, wakati wanachukua zaidi kutoka kwetu. Sasa imagine scenario, kwamba, 'the powers that be' hapo nyumbani waseme, listen, huu uchunguzi wa SFO hatutaki mtuingilie kwetu maana italeta matatizo a, b, c.....mkiendelea na vitega uchumi vyenu tunawapatia wachina.....
Waarabu mbona walitshia? Ingawa wanaendeleza zali, hii itazimwa tu.

Sasa ikishazimwa kimakubaliano, ina maana kusukwa story version tofauti kwa watanzania ni rahisi sana (namaaisha watanzania majority, sio mimi na wewe - we are nobodies). Na mtu kujiuzulu akae pembeni inapunguza makelele sana. Watu wameshamsahau Balali lol.

So, cha muhimu hata kama hiyo pesa imeingia, kama walitumia akili, hiyo trail inaweza ikawa imeenda shule.
 
Brazameni yuko wapi atupe commercial break.....
.... hata kidogo mimi hapa sikutegemea thread hii ingekuwa ndefu kiasi hiki..... duuh, naona Nzoka kazua jambo...... lol,...... brazameni naona kabadilika rangi leo na kuwa siasameni.......( 😉 hint)
 


Acheni kufuru ndugu zangu Ditto kafa sasa unataka kesi yake ipelekwe ahera unapotoa hoja hama hii jamani ndugu zangu chonde chonde kesi ya dito haikuwa imefungwa akiwa hai. Ehe shule naoa muhimu hapa unapochangia tofautisha mazingira ndugu yangu. Mwacheni Ditto apumzike salama hakuomba kufa bali ni ahadi
 
.... hata kidogo mimi hapa sikutegemea thread hii ingekuwa ndefu kiasi hiki..... duuh, naona Nzoka kazua jambo...... lol,...... brazameni naona kabadilika rangi leo na kuwa siasameni.......( 😉 hint)

Ebanae kwenye siasa ndio kuna kila kitu....
 


Unataka aseme nini kwa wakati huu ehe neno subirini matokeo haliko kwenye vocabulary yako? hebu mtafute mkono akueleze sheria inasemaje katika hili
 

Unadiriki kusema Madiba OVERRATED?
Unamshabikia Denzel Washington au Steve Biko? Unaijua kweli filosofi ya Black Consciousness? Mbona sikukuona kwenye thread juu ya kifo cha Aime Cesaire, muasisi mwingine wa negritude? Utaweza kweli kumkana Martin Luther ati kwa sababu unamhusudu Malcolm X?

Nyie vijana wa sound bites nyie! Mnakoelekea kubaya huko!

Nakuwekea hapa chini machache aliyoyafanya Madiba (kutoka Wikipedia) pengine utaelimika.





Alisema haya kwenye korti ya makaburu ambao kweli walikuwa na uwezo wa kumnyonga!

Whilst in prison Mandela undertook study with the University of London by correspondence through its External Programme and received the degree of Bachelor of Laws.



Hakukaa tu jela akihesabu chawa. Alipasua mawe kama wafungwa wengine. Na muda wote huo yeye na wenzake hawakuacha kuendeleza mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa makaburu.

Mandela became the oldest elected President of South Africa when he took office at the age of 77 in 1994. He decided not to stand for a second term as President, and instead retired in 1999, to be succeeded by Thabo Mbeki.

Tema mate chini, bwana mdogo!
 
Unataka aseme nini kwa wakati huu ehe neno subirini matokeo haliko kwenye vocabulary yako? hebu mtafute mkono akueleze sheria inasemaje katika hili

Mkono atatwambia nini Watanzania!? Fisadi Mkono si kajichotea bilioni nane za kifisadi pale BOT na CAG kishasema kwamba amekuwa overpay. Ametakiwa atoe breakdown ya masaa aliyofanya kazi kwa niaba ya BoT na kiasi anachocharge kwa saa mpaka leo anabwabwaja tu hana lake fisadi yule!
 

Sikia, tukubaliane tuwe tofauti, ila usining'ang'anize unachoamini wewe, wala kuniambia niteme mate chini na imani zako hizo. NIMEMSOA biography ya Steve Biko (I was 13), nimesoma Biography ya Mandela (iliniboa). Naheshimu Mandela kukaa miaka yote hiyo jela. Lakini pia katoka jela haelewi dunia inaenda vipi. Ndio huyo huyo hero wake hakuamini aendeshwe na rubani mweusi....hero wako huyo. Naheshimu sacrifice aliyopitia kukomboa South Africa.

Mandela hajaongoza SA, kaongozwa. He was symbolic with no clue of what was going on. Sio kwamba sio intelligent, ni kwamba, kutojua kwakwe na vijana wake, na ushamba wao wa power, ndio kimewafanya south africa wawe wachovu mpaka leo hii. Wanatia aibu kwa waafrika. Yeye na timu yake wamezidi kuonyesha kwamba bila ya mzungu waafrika hatuwezi kujiendeleza. Walivyochezewa huko kwao, ndio wanatuletea hao makaburu watuchezee kwetu.

On that note, ndio maana nasema, naweza jifunza zaidi kuhusu ulimwengu, nikikaa na Chenge kuliko nikikaa na Mandela (miaka 27 ndani sio mchezo hata uwe na akili gani). Thats my belief, its not disrespecting, that is what I believe. Kama wazungu wamekupa propaganda umwabudu Mandela hiyo juu yako!!

Sijaongelea MLK na Malcolm X.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…