Ukiambiwa ukapimwe akili unadhani dakitari kakosea!
no africa ni maskini kwasababu watu kama wewe hawataki kufanya kazi kwa bidi juu ya kazi, wanaona darasa limejaa nyuki na viti vina upupu,pata shule kidogo in fact pata shule sana
Ndio shida ya wengine mkikunwa mnakimbilia watu wakapime, Unapoongea kitu uwe na uhakika wewe unabwata tu umejipima kama una akili kamili. Au ndio nyie wenye hasira kuwa umaskini wenu umeletwa na kina chenge? Kabla hujasimulia kitu kifanyie utafiti uwe na uhakika sio kubuni tu kufurahisha ukurasa
Yaa tumia kiswahili ueleweke kuliko kubaka lugha ya wenzio!
kingereza ndio lugha ya dunia sasa kwahiyo kama unaona I'm raping the language you simply confirm my intial comment regarding your foolishness, education is the key dear
There is a lot of guys out here who will stand by him. Wale ambao tumechoka na dhana yha ujinga huu wa umaskini. Huhitaji kuwa chenge kujua haya unahitaji kusoma japo kidogo tu na kuacha ushabiki.
no africa ni maskini kwasababu watu kama wewe hawataki kufanya kazi kwa bidi juu ya kazi, wanaona darasa limejaa nyuki na viti vina upupu,pata shule kidogo in fact pata shule sana
Kweli kabisa. Hawa ndio wale ambao baba zao walikuwa madarakani huko nyuma na hawakutaka kusoma wakidhani kuwa tanzania itaendelea kusimama hawakujua kuwa ulimwengu huwa hausimami. Kasomeni nyie ndugu,
Sasa wanaona wenzao wanakazana hata kusomesha watoto wao wanapata donge
Ndio shida ya wengine mkikunwa mnakimbilia watu wakapime, Unapoongea kitu uwe na uhakika wewe unabwata tu umejipima kama una akili kamili. Au ndio nyie wenye hasira kuwa umaskini wenu umeletwa na kina chenge? Kabla hujasimulia kitu kifanyie utafiti uwe na uhakika sio kubuni tu kufurahisha ukurasa
Bebeh ngosha, vipi tena... mbona unakubali uBongo wako halafu unakuwa kama umekunywa chang'aa kwa kutumia sinia vile na kujing'atua kwa ghafla?! ......kinehe egeteh?!!!
Ngosha, hapa hamna u mr nice wa kisuku. To deal with this issue is simple. Dont follow the rules, dont follow the law. You try and follow the law with someone who has money, you are screwing yourself.
The will of the Tanzania people is not strong for change. Mimi na wewe, JF, we are nothing. The majority of people who can make a massive change wako vijijini, unions etc......hao wanaohesabika, ndio wamelala. Sina huruma na mtu aliye mzito wa akili kujiletea mabadiliko maishani.
Tanzania hamna utafiti hata kwenye habari, watu wanataka kurukia habari tu ilimradi wapate chakusema. kujielimisha kabla ya kufungua mdomo ni kitu kigumu it seems
Wewe ulijua mkono anapata pesa hiyo? Si mpaka mlipopewa mahesabu hapa juzi? Chenge akitoa mahesabu je?
Nyerere alikuwa mjamaa, hangeweza kutengeneza pesa hiyo kwenye peak yake. Labda angekuwa mzima leo hii angefikiri kibepari angeingiza pesa hiyo kiulaini. Kwanza wazungu hawakumpenda, zaidi ya labda wascandinavia. Kwanza walikuwa wanamwona mzibaji wa dili za kuiba bongo. Nina uhakika Mandela akitaka kuingiza hela hiyo sasa hivi ataingiza (labda anaingiza), na hana ujuzi wa maana.
Usifananishe nafasi aliyokuwa nayo Chenge, na PM Sumaye. Infact, we una uhakika gani hiyo pesa Sumaye hana nje? Tuliza boli.
I am real surprised at the fact that most people in here dont realise that Chenge is a gold-mine of information and he can command that money if he made the right moves. If you cant see that, then you are really underestimating the value of africa to the west.
Ungejielemisha kabla ya "kujisajili" na kuanza kujiabisha hapa, ungekuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa ushauri. So far inaonekana wewe unayejiita Havard alumni (in my sleep) ndiye unafaa kujielemisha.
Haya mawazo yako yana nafasi yake kuleeee........!
vijisent (sent) ni fraction ya kile ulichonacho. Kwa maana hii Chenge anazo zaidi ya zile zilizopatikana katika akaunti husika ya vijisenti.
Hypothetically inawezekana. Lakini kwa nafasi ya AG wa Tanzania na bila kuwa na international exposure yoyote katika uwanja wa kimataifa hiyo degree yake ni sawa na digrii za kutoka vyuo vingine tu. Na hata hapo Tanzania bila kujiingiza kwenye siasa hakuwemo kwenye daftari ya who's who.
Sikutaka kuingia humu lakini kwa hili imenibidi! Unamlinganisha Chenge na Madiba? Inaelekea wewe kipimo chako ni fedha, basi niambie Bill Gates,Steve Jobs, Ted Turner,Carlos Slim n.k. wana madigrii mangapi na kutoka wapi? Hata huyo unayemtetea atakuona punguani akisikia unamlinganisha na Madiba!
With all due respect, hiyo font of knowledge aliyoipata kama Attorney General Tanzania ni ipi ambayo itamfanya Mheshimiwa awe hot cake katika the lecture circuit? Mchango wake katika fani yake hapa DUNIANI ni upi?
Wakati mwingine naona JF walifanya makosa kutuvisha hivi vilemba vya ukoka vya SENIOR EXPERT MEMBER maana wengine kweli tunaanza kuamini kuwa kweli ni wakali wakati hamna kitu!
dah hata kusoma ngumu kwako sindiyo. nimesema nimeeda harvard, nilisema kusoma? wewe umefika ukauliza the law faculty kama chenge is part of the alumni, maana mimi nimefanya! Je wewe unaushahidi gani kwamba chenge ana mabilioni? magazeti yamekuambia, magazeti hayo hayo yanojulikana kuzusha hadithi ili kuuza? subiri matokeo dada? hivi aliuwa wangapi kwenu tena?
..... kwa hiyo utatumia mbinu zote including elimu yako kum-squeeze mtu asiyeelimika/masikini hadi abadilike rangi na kuwa wa manjano na adondoke kama bua la mhindi lililo kavu?!........ Wakoloni ndivyo walivyotufanyia hivi, kwa maandishi yako nasi tuamue kufanyiziana sisi kwa sisi na siyo kuwafanyizia wao....duuuuh.... ng'wanone, ngoja tu nikuache na dhana yako ya ushing'weng'we/shirikale hiyo!! lolNgosha, hapa hamna u mr nice wa kisuku. To deal with this issue is simple. Dont follow the rules, dont follow the law. You try and follow the law with someone who has money, you are screwing yourself.
The will of the Tanzania people is not strong for change. Mimi na wewe, JF, we are nothing. The majority of people who can make a massive change wako vijijini, unions etc......hao wanaohesabika, ndio wamelala. Sina huruma na mtu aliye mzito wa akili kujiletea mabadiliko maishani.
Naona unakana 'elimu' yako baada ya joto kuzidi jikoni sio!