The Interview: mshana Jr.

Mkuu nami swali langu ni

Kuna somo la machale takutag
 
Mshana nataka unifundishe namna ya kuwaroga meridianbet wanirudishie pesa zangu pls. Mpaka nimelia kama mtoto.
 
Mkuu ,kuna watu wanalalamika kuwa kuna nguvu zinawakaba usiku yaani mtu anajikuta amegandamizwa hata kugeuka hawezi na sauti haitoki ,je hizi nguvu zitokea wapi na ni zipi njia za kuziepuka?
 
Mungu mmoja katika utatu mtakatifu
Mkuu,hapo ndo unapo waaancha wengi njia pandaa,maana kwa jinsi uelewa wako wa haya mambo wengi wanashangaaa unaposema una mwamini mungu mmoja katika nafsi tatu.pamoja sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…