Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Hayo ndio matatizo yako..nikiongea na wewe hutaki kunigeukia..unatoa lawama tu mara "baba watu8 unamuona huyu" na sasa nakutongoza unamuita mke wa Ben Saanane!!

Tatizo hujui kutongoza.
Mwaga pesa uone kama atakukataa.
 
Last edited by a moderator:
Akha,
Nitamuonea aibu.
Ananijua kila engo.
Maana ilifikia time tukawa tunalala kitanda kimoja watu 3.
Mimi, yeye na Mme wetu.

Duh Mamndenyi inaonekana mmefanya mambo mengi sana kwa kushirikiana na binamu Madame B, yani hadi hii ya kitanda kimoja mtu tatu? nahitaji ufafanuzi kidogo aisee, hivi hiyo ndo ile kitu nasikia wanaita 3some au ni 2some?
 
Last edited by a moderator:
Duh Mamndenyi inaonekana mmefanya mambo mengi sana kwa kushirikiana na binamu Madame B, yani hadi hii ya kitanda kimoja mtu tatu? nahitaji ufafanuzi kidogo aisee, hivi hiyo ndo ile kitu nasikia wanaita 3some au ni 2some?

Hko kitu kinaitwa 3some.
Ila sharti lake ni lazima uwe na mapafu ya mbwa.
 
Last edited by a moderator:
kelewuiiiiiiiiii
kwi kwi kwiiiiii

Mamndenyi husicheke ati..... Me macho yangu yamelegea kwa huruma kwa Arushaone nili mshauri haache bangi akakataa, sasa wewe unacheka, au unapenda tumpoteze huyu kijana katika tasnia ya Jf bongo?

Najua ulifikilia mbali ndugu yangu, me mchezo huo sina ati.... Am St. Lady doctor!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…