Hapo unatafuta ugomvi na Passion Lady.
​nina mpango wa kukupora sumbawanga ujue!!Mbona sikuelewi?
Passion Lady si yupo na Ruttashobolwa?
Rudi kwangu nikupe vitu adimu kama vya wakati ule,usijifanye umesahat.
​si umesema humtakiAchana na mume wangu.
Mbona sikuelewi?
Passion Lady si yupo na Ruttashobolwa?
Rudi kwangu nikupe vitu adimu kama vya wakati ule,usijifanye umesahat.
nikufafanulie nini? Kwani huyaonagi macho yangu yakiwa malegevu?