Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Watu washakuweka status huku.
Laizer aache kuchimbachimba. Bil 7 hazimtoshi. Atakuja atuue
Screenshot_20200812-212312_YoWhatsApp.jpg
 
Ila hawa wenzetu wapo mbele sana

Mara hii malink kibao tayari yameshawekwa kwenye google
20200812_212508.jpeg
 
Tayari baadhi ya vyanzo vya ripoti duniani vimeripoti


People near the epicenter reported that the quake came in two waves; first there was "around 8 to 10 seconds of vibration and then a 2 second long shock", a user told us.
Within 30 minutes, more than 200 reports have come in so far. The interactive map below plots location and reported intensity, which gives a good idea about the impact of the quake. So far, there are no reports of major damage or injuries, fortunately
 
Poleni sana mlio Dar kwa kukubwa na tetemeko...
Duh! Ni mwaka wa uchaguzi mwaka wa Corona
Mara tetemeko....
 
Back
Top Bottom