Kiasi fulan hizi tafiti zinasaidia manake wale wakuu wa kupiga kamoja mwez mzima wanaona kias gani inabid wakomae kupiga show?Hakuna formula kikubwa ZINGATIENI nyege zenu tu na wanandoa wasinyimane baaasiiiii....
Mambo ya tafiti kwenye nyege Kama hayana uhalisia vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndoa yako itakuwa haiko sawa hebu haraka sana tafuta ufumbuzi kwa kufanya mawasiliano Kati yenu wanandoa ili mrejee katika upendo wa awali.Ukishakuwa katika ndoa ndio utagundua japo linaitwa tendo la ndoa lakini ni nadra sana kufanyika humo ndoani.
Unaweza kuta watu wanalala kitanda kimoja wakamaliza hata miezi 6 bila hata ya kugusana.
kamia mkuu kwanza ukipiga polepole ndo wanaanza kwenda nyumbani kwa makatibuNikamie ama nini
Safi sana mkuu, huyo mume lazima afurahie.Usiku cha kulalia , asubuhi cha kuamkia safi kabisaaa.🤣🤣
Sie bodaboda kugegeda wake za watu ndio hobby yetu mzeya.😀😀umewah kumchepua mwanandoa?
🤣🤣🤣🤣usisahau kurecord kamkanda cha video kwajili ya ushahidiHawa makatibu wafukuzwe kazi. Wacha nipige show ya maana
Hali ya uchumi inaweza kuathiri hii routine ya 3 kwa wiki?
Nina almost 10yrs, mama watoto yuko active akiwa danger zone.....baada ya hapo mara chache....so wakati wa danger zone ni show show....(bila kuuza mechi) there after hamasa inashukaLegends watupe uzoefu kidogo maana vijana walio single tunamihemko sana tunawaza (attitude) kumwaga moto tu, all the time. Waliooa atleast 5yrs watuambie. Maana unaweza taka show ukakumbushwa ada ya dogo amerudishwa anadaiwa 500k mudi ikakata ghafla ohooo!